Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Ndezi kabisa!ukamsikiliza?Nilikatazwa kupaka lipstick [emoji28]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndezi kabisa!ukamsikiliza?Nilikatazwa kupaka lipstick [emoji28]
Dah umenikumbusha kuna ex wangu alikua anapenda singeli mno hadi mama yake. Akishika simu ni singeli kuna nyimbo ya mzee wa bwax inaitwa mzuka sijui, alikua anaipenda mno.Mimi alinikataza nisiwe nasikiliza singeli wala kucheza. Akasahau siku ya kwanza kuniona aliniona nacheza singeli ndio akanipenda[emoji57][emoji57]
Ndio namim najiuliza yani ni sawa na kuukataa uhaiKwa Nini Sasa ukatae?
hahaha 😆 😂 😆 😂
Usithubutu kumtaghahaha 😆 😂 😆 😂
Hata Kama ni uchizi weeeee akili huwa zinarudi😀Usithubutu kumtag
🤣😂😂 kwanini?Hata Kama ni uchizi weeeee akili huwa zinarudi😀
Huyu kikongw unamsikia au unamjua? ana maneno ya shombo unaweza jikuta kila thread utakayopost unanuka shombo watu hawachelew kukukariri kama walivyomkariri aposto😀 hujawah kupita 18 zake 🤣🤣😂😂 kwanini?
Ndezi kabisa!ukamsikiliza?
😂🤣 ngoja nifanye kama namuita @f su basi 🙌Huyu kikongw unamsikia au unamjua? ana maneno ya shombo unaweza jikuta kila thread utakayopost unanuka shombo watu hawachelew kukukariri kama walivyomkariri aposto😀 hujawah kupita 18 zake 🤣
Ukimuita nakuachia soo. Anachamba hatari sijui mzanzibar.😂🤣 ngoja nifanye kama namuita @f su basi 🙌
Mkuu mi sitii neno zaidi 😂😂Ukimuita nakuachia soo. Anachamba hatari sijui mzanzibar.
Kuna tetesi yeye ni Mama rais😀 cheza na serikali jela hakuna JF 🤣🤣🤣
Mkuu mi sitii neno zaidi 😂😂
Tabura rasa - ni nadharia kwamba watu huzaliwa bila maudhui ya akili yaliyojengwa, na hivyo maarifa yote hutokana na uzoefu au mtazamo.TABURALASA
Hongera kwa kutunza penzi😅siiku utashangaa umebamba na girl mwingine midomo inameremeta kwa lipstic😂😂😂Yaah nikamsikiliza napakaga tu ile vaseline lip therapy ya Pink [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wengi wanakuwa wanatongozwa sana hivyo wanaona wao niwa thamani sana, na anayopata kwako anaweza kuyapata kwa mwingine tena zaidi ya unavyompa na wengine wanakuwa wanatamani sana kujalibu kwa wanaume wengine, ....ila ukimwacha akijionea mwenyewe ndo baadae wanaanza kujuta...[emoji119] hawa tunaowabikiri tukiwaonesha upendo wanatuonaga mafala sana sijui ni kwa sababu ya wanalack expirience ya mahusiano? Wangu nae alizinguaga ila now usumbufu mwingi
Wanazinguaga sana wakishapigwa na kitu kizito ndio kidogo akili huwakaa sawa vinginevyo wanasumbua sana.Wengi wanakuwa wanatongozwa sana hivyo wanaona wao niwa thamani sana, na anayopata kwako anaweza kuyapata kwa mwingine tena zaidi ya unavyompa na wengine wanakuwa wanatamani sana kujalibu kwa wanaume wengine, ....ila ukimwacha akijionea mwenyewe ndo baadae wanaanza kujuta...
Wangu alifkr siwez kupata mwanamke mwingine kama yeye kumbe wakati nipo naye nilikuwa na mwenzie aliyemkuta ila yeye niliamua kumpa thamani kutokana na hali ya kujitunza kwake,...nilivo ona hakajitambui ,utoto mwingi nikaoa wa kwanza.
😂😂 hongera sana mtu kama huyo hafai alikuona hauna ujanja wa kuishi bila yeye kumbe alikua anajidanganya. Mtu wa hvyo hata kama unampenda kwa kauli hizo bora ukubali maumivu tu ili aone yeye sio Mungu mtu.Aliniambia sina akili za shule wa za maisha....
Kwaiyo kwakwe nitarejea tu, hata kama tutaachana ipo siku nitamuomba msamaha...
Kwa kweli nilimuaibisha shetani wake, saizi yeye ndy kaparara na sina habari naye akiniona ananikimbia...
Godfrey Mungu siyo baba yako nyau weweeeeeeeee