Yaani, sasa ukimpata asiyemuelewa anatuona wasumbufu anatubwaga tu๐ชUpo kama mkewangu, dawa ya watu kama nyie ni kujishusha zaidi yenu na kubembeleza hata kama kosa ni langu.
Mzee ya Ban umerudi, habari ya mapumzikoni?๐Mapema sana mzee๐๐๐
Salama tu bebe vipi za huku uraiani?Mzee ya Ban umerudi, habari ya mapumzikoni?๐
Huku kwema kabisa, ila tu nishapata bebe mwingine mimi sikuweza kuvumilia hiyo bann ya mwaka๐๐Salama tu bebe vipi za huku uraiani?
๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ siku tano tu ushauza utu? Aisee kweli Marage ya MbeyaHuku kwema kabisa, ila tu nishapata bebe mwingine mimi sikuweza kuvumilia hiyo bann ya mwaka๐๐
Jamani nimeshakua mwee huu ulikua Ni utoto [emoji1787]Huna kazi
Siku tano bila bebe si rahisi ujue๐๐ maharage ya mbeya maji mara moja๐๐๐๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ siku tano tu ushauza utu? Aisee kweli Marage ya Mbeya
Glasi moja ya maji wahuni washaepua wananyongea ugali!Siku tano bila bebe si rahisi ujue๐๐ maharage ya mbeya maji mara moja๐๐๐
Hahahahah wivu ni mzuri ila ukizidi ni keroWivu kama nikimpenda mtu alaf nakua too caring ile kutaka kuchat kila saa kutaka kuwasiliana kila mda inakua kama ni usumbufu kwa mwingne
๐๐ ndiyo ukome kupata pata bann, next time utakuta nishaolewa na watoto juu๐Glasi moja ya maji wahuni washaepua wananyongea ugali!
Hahahahah haya rudi nyumbani haraka nakungoja hap๐๐ ndiyo ukome kupata pata bann, next time utakuta nishaolewa na watoto juu๐
Narudi ngoja nimuage huyu babe mpya๐Hahahahah haya rudi nyumbani haraka nakungoja hap
PumbafNarudi ngoja nimuage huyu babe mpya๐
Heee tatizo hilo! Yani we kuomba msamaha huwezi ila unataka uombwe mrembo?Sio mpk mahusiano ya kimapenzi ila mtu akiniomba msamaha kwa kutamka nisamehe niko dhaifu sana hata kabla hajajielezea Sana akisema tu naomba unisamehe najikuta mdogoo km piriton,, ila mie sijui kuomba msamaha kirahisi rahisi,
Ahaa sirudiii kwanza penzi jipya tamu kuliko la zamani๐๐Pumbaf
Baki huko huko ngoja nimuite miss pablo aje kuniliwaza mieAhaa sirudiii kwanza penzi jipya tamu kuliko la zamani๐๐
Yaani, sasa ukimpata asiyemuelewa anatuona wasumbufu anatubwaga tu[emoji25]
Hata mimi na hivyo visa vimenikuta sana kisa anaona yupo peke yake ila mimi hivyo visa ndivyo vinanifanya nihamie tawi nyingine. Sitakagi kero za makusudi.Yes na mimi nina hii. Yaani kucheat naona kama ni usumbufu flani. Sipendi maisha ya kujificha ficha na kujibanana misa una watu wengi.
Sema sasa mwanamke akishajua una yeye peke yake visa vinakuwa vingi
Kuna mtu anakaribia kupigwa na kitu kizitoNimezaa namwanamke anawivu Hadi magomvi yakudhuru mwili,yaani kwaukorofi ule nahalizangu zakutokua namwanamke mmoja ,sidhani kama nitatoboa,