Ni kitu gani unakiona kama udhaifu wako mkubwa hasa kwenye mahusiano?

Hilo ndo tatizo kubwa kwa wadada wa kiafrika. Unavyoonesha upendo zaidi kwao wao wanadhani wamekushika .Poor Africans.
Sasa ndio shida kubwa mkuu, huwez jizuia kupenda ila mtu apendeke basi,yakizidi anaanza kukufanya cartoon!
 

Hapo kikawaida lazima mtu ahisi humpend kwa dhat cuz uwivu uashiria mapenz sometimes
 
Mi udhaifu wangu sijawahi kusamehe yaani Tunaweza kuanza mahusiano Leo kesho nikakupiga chini... kawaida sana kwangu siangalii chura wala konokono mie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…