Ni kitu gani unakiona kama udhaifu wako mkubwa hasa kwenye mahusiano?

Mkuu you are so true.A man need space,hili jambo wanawake hawatuelewagi kabisa!!!Welcome to no strings attached relationship
 
Mi udhaifu wangu sijawahi kusamehe yaani Tunaweza kuanza mahusiano Leo kesho nikakupiga chini... kawaida sana kwangu siangalii chura wala konokono mie.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahhha eti chura wala konokono
 
mi napenda mwanamke awe na wivu kwangu all time, mawasiliano all time... and I do the same..

nilimpata binti mmoja mrembo sana kutoka Loliondo, alinipenda, nikampenda pia sana..

tatizo alipoanza kutaja jina la X wake kila muda, akaanza na mawasiliano nae, daaah, nikampiga chini tena na ukweli nikamwambia..
Huyo dada yuko single hadi muda huu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…