Dennis R Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 267
- 372
Unazijua lakini usd Bilioni 42 wewe, nani atukopeshe hio hela? Toka Nchi ipate Uhuru maraisi wote 6 kwa Ujumla wamekopa $34B usd halafu unasema kuna mkopo wa $42B usd?Tanzania kama nchi viongozi wawe na huruma kidogo ni hatari sana kwa nchi maskini kuingia mikataba mibovu ambayo itaiumiza nchi
Serikali kutaka kuingia mkataba wa usd billion 40 kwa mradi mmoja hio haikubaliki hata kidogo; mwanasheria mkuu alitumia sana akili kuweka mapingamizi kwenye huu mkataba
Mfano usd billion 42 unaweza tengeneza miradi ifuatayo na itakua na faida kubwa sana
- Aluminium smelter
- Copper smelter
- Pig iron smelter
- Glass smelter
- Spinning
- Paper pulp
- Oil refinery
- Petrochemical plant
Mbona hawapigi kura ya kutokuwa na imani naye kama hawalitakiTatizo Kwa Sasa hatuna kiongozi wa maono.Huu mradi wa LNG Kila mbunge haitaki lakini huyu mzanzabara analazimisha
Wanaogopa kutekwa.Mbona hawapigi kura ya kutokuwa na imani naye kama hawalitaki
Mimi nadhani kuna watu wanachangia kwa chuki tu, kwanza LNG ni muwekezaji ndiye anajenga kuna kitu kinaitwa PSA ndio serikali inakula pesa, hakuna serikali ikajenga yenyewe eti kwa mkopo. Habari haina mashiko mtu kakurupuka labda kasina gharama ya mradi 42 B kadhani ni mkopo. Japo najuwa sio kweli hakuna gharama ya LNG ikawa 42B. Mtoa taarifa ni vizuri ukatoa habari za uhakika sio kusambaza vitu hujui.Tatizo Kwa Sasa hatuna kiongozi wa maono.Huu mradi wa LNG Kila mbunge haitaki lakini huyu mzanzabara analazimisha
Unajua return on investment yake?Tanzania kama nchi viongozi wawe na huruma kidogo ni hatari sana kwa nchi maskini kuingia mikataba mibovu ambayo itaiumiza nchi
Serikali kutaka kuingia mkataba wa usd billion 40 kwa mradi mmoja hio haikubaliki hata kidogo; mwanasheria mkuu alitumia sana akili kuweka mapingamizi kwenye huu mkataba
Mfano usd billion 42 unaweza tengeneza miradi ifuatayo na itakua na faida kubwa sana
- Aluminium smelter
- Copper smelter
- Pig iron smelter
- Glass smelter
- Spinning
- Paper pulp
- Oil refinery
- Petrochemical plant
Unajua usd billion 42 uiepeleke kwenye mradi mmoja kwa nchi maskini kama TanzaniaUnajua return on investment yake?
Hatq sgr na stigler mlisema kituko
Mnapenda small talks
LNP hapo hujaongelea mabomba ya kusafirishia hiyo gesi tuacheni utani ni gharama kubwa sanaMimi nadhani kuna watu wanachangia kwa chuki tu, kwanza LNG ni muwekezaji ndiye anajenga kuna kitu kinaitwa PSA ndio serikali inakula pesa, hakuna serikali ikajenga yenyewe eti kwa mkopo. Habari haina mashiko mtu kakurupuka labda kasina gharama ya mradi 42 B kadhani ni mkopo. Japo najuwa sio kweli hakuna gharama ya LNG ikawa 42B. Mtoa taarifa ni vizuri ukatoa habari za uhakika sio kusambaza vitu hujui.
Na wewe unayesema hawataki LNG wabunge fafanua hawataki nini? muwekezaji au? mbona chuki zimewajaa hamjui hata mnataka nini kama nchi. Nchi lazima iwe na uwekezaji Tanzania hawana uwezo wa kuchimba Gas, wala kuchakata Gas uwezo wa kipesa wa utaalamu. Hizi ni private sector, ila ni wajibu wa serikali kupata good deal kwenye PSA hilo ndio jukumu la serikali.
Kama kuna mambo huyajui ni bora ukae kimya au uulizeUnazijua lakini usd Bilioni 42 wewe, nani atukopeshe hio hela? Toka Nchi ipate Uhuru maraisi wote 6 kwa Ujumla wamekopa $34B usd halafu unasema kuna mkopo wa $42B usd?
Leta habari kamili. Yaani jina la huo mkataba, unazalisha nini, umesainiwa lini na kama una ushahidi wa document au hata kipande cha gazeti.Tanzania kama nchi viongozi wawe na huruma kidogo ni hatari sana kwa nchi maskini kuingia mikataba mibovu ambayo itaiumiza nchi
Serikali kutaka kuingia mkataba wa usd billion 40 kwa mradi mmoja hio haikubaliki hata kidogo; mwanasheria mkuu alitumia sana akili kuweka mapingamizi kwenye huu mkataba
Mfano usd billion 42 unaweza tengeneza miradi ifuatayo na itakua na faida kubwa sana
- Aluminium smelter
- Copper smelter
- Pig iron smelter
- Glass smelter
- Spinning
- Paper pulp
- Oil refinery
- Petrochemical plant
Hakuna sehemu nimesema umesiniwa tujifunze kusoma uzi na kuelewaLeta habari kamili. Yaani jina la huo mkataba, unazalisha nini, umesainiwa lini na kama una ushahidi wa document au hata kipande cha gazeti.
Kinyume cha hapo ni kutupigia kelele kama nzi wa chooni
Mkuu pole sana kwa kusoma masomo ya sayansi!!Tanzania bado haija-sini mkataba wa kujenga natural gas refinery ila uko mezani mpaka sahivi tunaomba serikali isi-sini huo mkataba iangalie option nyingine
Mfano usd billion 42 unaweza tengeneza miradi ifuatayo na itakua na faida kubwa sana
- Aluminium smelter
- Copper smelter
- Pig iron smelter
- Glass smelter
- Spinning
- Paper pulp
- Oil refinery
- Petrochemical plant
Mradi wa gesi asilia mchakato wake upo tokea enzi za kikweteMkuu pole sana kwa kusoma masomo ya sayansi!!
Umekuja na mada nzuri sana, but maelezo hayajitoshelezi.
Umeandika as if kila mtu anaelewa kwamba Kuna mradi umekwama.
Usipofanya hivyo utapata wachangiaji wachache.
Jazia nyama.
1.Mradi tarajali uko mkoa Gani, na una ujazo cubic meter milioni ngapi, or trion ngapi.
2.Mradi uko mezani Toka lini??
Nini sababu za kukwama kutosainiwa.
3.Ni taifa gani na Kampuni ambayo inataka kutekeleza mradi???
4.Miradi mbadala uwekezaji wake shilingi ngapi?? na tija yake ikoje??
Aksante ππ
Mimi naongea najuwa ni kweli gharama kubwa sana lakini sio 42B na uhakika na hilo ila sio pesa ya kitoto.LNP hapo hujaongelea mabomba ya kusafirishia hiyo gesi tuacheni utani ni gharama kubwa sana
Kwahiyo hujui hiyo gas ipo location ,mkoa gani!!??Mradi wa gesi asilia mchakato wake upo tokea enzi za kikwete
Details za mradi ni ngumu kuzijua sababu kuna usiri mkubwa kwenye mikataba mingi hapa Tanzania ila gharama ya mradi ni usd billion 42 kwa ajili ya kujenga natural gas refinery
July mwaka huu serikali kupitia mwanasheria mkuu ilisema bado inahitaji majadiliano zaidi juu ya huu uwekezaji wa usd billion 42 habari ipo ila jamii yetu haiipi kipaumbele habari za maana na zenye tija ndo changamoto ya nchi hii