Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 5,015
- 14,139
Kama hatuko tayari tuache.
Tutafute hela, tujenge refinery plant ya mafuta pale Tanga.
Meli zinazokuja kuchukua crude pale Tanga, zije na crude kwa ajili ya refinery yetu pale Tanga.
Uganda na Total lazima lazima watulize boli, share yetu tunatop up hela wanatupa crude ( TUJIFUNZE UMAFIA WA BIASHARA - HIZI NDIO KAZI ZA TISS ebo).
Ukiwa na refinery, unajiunga na Brics, unanunua crude Russia au Iran, unaflood mafuta nchini kwenye mastorage kila mahala, unashusha bei ya mafuta Tanzania, unafungua milango kihuni Kwa smuggler ( kama hujui vile) wahuni border huko wanajaa TZ kuchukua mafuta ya bei rahisi, at the end EA wote wanaanza kununua mafuta TZ baada ya kuimport.
KUNA MBINU NYINGI SANA ZA KUBORESHA UCHUMI NA KUFANYA WANANCHI MATAJIRI UKIZINGATIA TANZANIA NI VERY POTENTIAIL MAENEO MEEENGI.