Ni kituko kuingia mkataba wa USD billion 42 za mkopo kwa ajili ya mradi mmoja tu wa kutengeneza natural gas refinery

Usipotumia akili yako kisawasawa utapitwa na fursa na utaishia kuwa Mr Malalamiko huku wenzio wanapiga hatua.

Hata Wamalawi wasio na kisomo wameona Tanzania fursa lakini bado wewe unajadili maono ya Rais.
Wewe unajuwa fursa niliyo pewa na taifa hili hadi niwe hapa niipofikia sasa? Wewe unadhani nipo hapa kulamba miguu ya mtu yeyote?
Fursa niliyo pewa na nchi hii, ndiyo ninayo tegemea waTanzania wengine, hasa hiki kizazi kinachoingia wakati mgumu wa uongozi kama huu tulio nao sasa. Itaniumiza sana kuona kizazi hiki kinaishia kuwa watwana tu wa watu wengine.
Hizo unazo ziita wewe fursa wanazopata waMalawi, ndizo Samia anazo watafutia waTanzania sasa hivi! Inanisikitisha sana na kunifadhaisha kwamba hata huoni uchungu au hata aibu kuyaandika haya unayo andika.
 
Tusipangiane nani wa kumunga mkono, ninawajibika na maoni yangu.
 
Man, hii inchi isingekuwa huku kwa wapumbavuu yaani ingekuwa hata Bara la Asia, leo hii inafukuzana na mataifa kama France,Japan,Uk na mengine makubwa unayoyajua wewe kiuchumi na global influence.

Tunaambiwa kilimo ndio backbone ya uchumi wa nchi hii, lakini tangu tumepata uhuru miaka 63 iliyopita ni 15% ya arable land ambayo ndio watanzania wanaitumia kwa kufanyia kilimo na hapo hapo Bado tuna import zaidi mazao ya chakula kuliko hata ya biashara.... Yaani tunaagiza Michele kutoka kwa vinchi kama Thailand? Na watu tunaowaita watunga sera hapa nchini wapo tu wanakula mishaara na posho????

Nchi ndogo kama Estonia Ina wawekezaji wengi kuliko Tanzania ilihali population yao haizidi hata 2m na rasilimali tumewazidi, mind you Hawa Estonia walikuwa kwenye USSR, Kuna mambo ukiwaza mpaka unajiuliza watunga sera wetu huwa wanawaza nini...

The fact that nchi hii haijawahi kuvurugwa na vita vya aina yoyote ile zaidi ya ile ya Kagera lakini mpaka leo hii zaidi ya 70% ya wanainchi wake hawana stable accessibility ya maji safi na salama majumbani mwao licha ya kuzungukwa na Maziwa pamoja na bahari ni Moja ya maajabu ya dunia...!! Yaani Kuna vitu ambavyo haviitaji kabisa kutumia nguvu Wala akili nyingi ni commitment tu basi, lakini sisi tumeshindwa.

Nchi za kiarabu(Middle Eastern countries)hazina wataalamu kulinganisha na nchi za magharibi, ila wao wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana kutumia rasilimali zao(Mafuta) kupunguza umasikini kulinganisha na sisi.

Na waarabu waliweza kufanya hilo kwa kuwa na sera thabiti tu basi, mtu anakuja kuchimba mafuta ila mnufaika mkubwa ni serikali, ambapo serikali inatumia fedha hizo kuboresha maisha ya jamii kwa ujumla(general wellbeing of the society) kwa maana ya kuhakikisha huduma zote muhimu zinapatikana kwa usahihi kabisa.

Njoo kwetu sisi hapa, ku utilize hizo rasilimali lukuki tulizonazo hatuwezi, sera zenyewe tulizonazo ni za kipuuzi na kinyoji na wanyonywaji ni sisi wenyewe... Pesa tunazopata kwenye rasilimali zetu ni kidogo sana na Bado hizo hizo kidogo zinaishia kwenye matumbo ya watu wachache, Sasa hapo kwanini tusiwe na idadi kubwa ya watwana?

Viongozi wetu wanachoweza kufanya ni kutunga ineffective policies pasipo kuangalia mustakabali mzima wa taifa hasa vizazi vya mbeleni, mathalani tu hizo sera zinawanufaisha wawekezaji na wao wenyewe binafsi baasi na ukihoji unatukanwa au kupotezwa kabisa.

Leo tunatamani kuwakabidhi Kila kitu wageni ndio watuendeshe kisa na mkasa eti sisi hatuwezi na tunaendekeza sana wizi na hivyo kupeleka ufanisi kukosekana..... Sasa kama tumeshindwa kuzuia huo wizi sisi kwa sisi ndio hao wageni watashindwa vipi kutuibia??? Kuna maswali huwa najiulizaga kuhusu mambo yanayoendelea kwenye hii awamu nnabaki kuuma meno tu.

Kuhusu kwamba eti sijui Kuna siku tutatoka kwenye huu ujinga tulionao sio leo Wala kesho kaka, hiyo kitu sahau.. sana sana tu tutazidi kudumbukia shimo zaidi hapa... Sasa hivi sio vijana Wala wazee wameamua kudadecate kwenye uchawa hili wale kirahisi na watawala kama hili lisen.ge tunalobishana nalo hapa
 
Tusipangiane nani wa kumunga mkono, ninawajibika na maoni yangu.
Kama ninavyo "wajibika na maoni yangu", au siyo!

Mkuu 'Stuxnet', naona hatuna la ziada la kujadili kati yetu tunaloweza kubadilishana maoni kwa manufaa ya taifa letu, Tanzania.
Tuyaache haya kabla hatujaanza kutumia lugha kama hiyo ninayo iona hapo juu kati yetu.
 
Hapa kipara ndio akitaka kutumaliza apate fedha ya kuhonga kununua urais. Mama naona kashtukia. Wapigaji wasiyokua na uzalendo ndio wanatukwamisha kama nchi watu wetu kupata maendeleo. Badala yake wabinafsi hawa wanatafuta maendekeo yao binafsi.
 
Mkuu 'Muhimbu', nimesoma andiko lako lote ulilo weka hapo, na kujiridhisha kabisa kuwa mawazo yako na yangu hayatofautiani kabisa.
Nimeamua kunyanyua aya hiyo hapo juu, kwa sababu umeiweka vizuri sana kuhusu maamuzi ya hawa viongozi wetu.

Kama wanashindwa kufanya mipango ya kuhakikisha kuwa kazi zetu sisi wenyewe zinakuwa na ufanisi kwetu; je, watahakikisha vipi kuwa hao wanaokuja hapa ufanisi wa kazi zao utakuwa kwa manufaa kwetu na wao?

Ni wazi kabisa, kwa hali tuliyo waandalia hawa tunao wategemea watusaidie; sisi wenyewe hatukuandaa chochote kunufaika na ujio wao huo. Tunaendela kujiweka katika hali ya utegemezi milele.
 
Nenda ukapumuliwe kisogoni na mabasha wako, hicho ndicho wakijua.
 
Ndugu hiyo haya ya pili niliyoibold hapo inafikirisha mno na inahitaji mjadala mpana sana ambao washirika wake sio Mimi na wewe tu, Bali mpaka mtoa maamuzi wa mwisho kabisa wa nchi hii hili atupe majibu ya maswali yanayozunguka vichwani mwetu.

Kutoka kwenye hiyo hiyo haya na Mimi nimepata maswali machache yafuatayo;

1.Kama sababu kuu ya ujio wa DP world ni Kutokuwepo kwa ufanisi pamoja na ubadhirifu usiozuilika, na vipi kwenye sekta zingine muhimu kama TRA na TANAPA ambazo tunazoziendesha sisi wenyewe kwa 100% je, nazo pia tuzitafutie wageni wa kuja kuziendesha? Maana ni dhairi matatizo yaliyoko bandarini ndio yako hata kwenye hizo sekta zingine.

2.Na tumejipanga vipi kupokea matokeo ya utendaji wao wa kazi endapo kama yakiwa tofauti na matarajio yetu? Yaani ikitokea final output yao ikawa chini au sawa na ya kwetu ni hatua gani hasa tutazichukua au ndio itabidi tuwe wavumilivu na kusikiliza sababu zao endapo kama Zina mashiko.

3.Wakati tunawakabidhi hao wageni watuendeshe sekta muhimu za kiuchumi kwa sababu tajwa hapo, je sisi wenyewe wenye Mali tuna mikakati gani ya kuzuia huo ubadhirifu na kuongeza ufanisi hili tusiwe dependent maisha yetu yote???

Hivi kwanza tunawezaje kuwasimamia wao wasituletee huo ubadhirifu au aina yoyote ya ujanja ilihali wao wenyewe wanatambua sababu Moja ya wao kuwakaribisha ni sisi kushindwa kuzuia huo ubadhirifu?? Yaani wewe umechoka kuibiwa na mtoto wako ndani, halafu unaamua eti kumkabidhi mtu Baki ndio aendeshe mji wako ukitegemea kwamba pengine yeye atakuwa mstaarabu na hatakufanyia wizi wa aina yoyote ile... Si uwemdowazimu huo?

Hakuna namna Samia anaweza akatuconvice kwamba yeye Hana maslahi binafsi kwenye maamuzi alivyofanya hasa kwenye hili la DP WORLD.
 
Nenda ukapumuliwe kisogoni na mabasha wako, hicho ndicho wakijua.
Wakati wenzako wanautumia ujana wao vizuri kujiandalia maisha yao ya baadae, wewe ulikuwa unamsaidia mama yako kufanya biashara ya ukahaba, yeye anatoumbwa na wanywa gongo wewe unafiriwa na wala urojo wenzio.

Sasa hivi umri umeenda huna lolote la maana Zaid ya mkund mpana tu hapo nyuma yako, umeona njia pekee ya kukufanya wewe uishi ni kuwa chawa na miaka yako 65 pumbavuu kabisa..... Si ajabu hapo ulipo eti wewe Kuna watu wanakuita baba na wengine Babu na wakati ni jinga limoja tu hivi.
 
Nenda ukapumuliwe kisogoni na mabasha wako, hicho ndicho wakijua.
Sasa hivi umri umeenda huna lolote la maana Zaid ya mkund mpana tu hapo nyuma yako, umeona njia pekee ya kukufanya wewe uishi ni kuwa chawa na pumbavuu kabisa..... Si ajabu hapo ulipo eti wewe Kuna watu wanakuita baba na wengine Babu na wakati ni jinga limoja tu hivi.
 
Umelurupuka nani mjinga ataingia mkataba na serikali ya Tanzania wakati gas nyingi sio yetu tena😴
 
Mbona hawapigi kura ya kutokuwa na imani naye kama hawalitaki
Huyu bibi sijui kwanini haipendi Tanganyika,hivi kweli unaweza kuwakaba watumishi wafanye kazi za shida Bure bila malipo,just like that,flip flick all opportunity to Zanzibar,this is sad moment
 
Tatizo ccm wamezoea kukaba bangi na ufisadi tuu,naomba chonde chonde tujifunze umafia wa KIUCHUMI ni wachache wanajua Mexican wanavyopambania maisha USA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…