Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Kiongozi ‘if you know, you know’.Wanaongeza number ili wavune kwenye cost recovery. Hapa ngoja niweke mfano mwepesi ili atayepita anaweza kuelewa. Mfano una kiwanja Kariakoo lakini uwezo huna wa kujenga, anakuja mwekezaji mimi nitajenga gharama nitakata kwenye kodi nikimaliza gharama zangu miaka 10 ya faida unasema deal. Anajenga nyumba kwa Bil 1 akimaliza anakuja anakwambia nimetumia Bil 3, msimamizi wako kapewa chake anasema kweli Bil 3 hapo imekula kwako matokeo utalipa mara 3 bila kujuwa. Mwekezaji anapokuja na gharama kubwa ni kwa maslahi yake maana cost recovery ni 100% hapo serikali ni kuwa on top kuhakikisha gharama ni sahihi ukipata wapiga ma deal wanasema wewe andika tu 42 sisi tuna approve nani analipa hizo gharama? serikali.....
Soma post yangu #90 jinsi nilivyowanga michango yao hadi hapo.
Wewe ni mchangiaji wa muda mrefu humu; na sio mara ya kwanza kusema unajua haya mambo.
Taaluma zina lines of reasoning ni rahisi kusoma michango ya mtu na kuona huyu ana abc ya haya mambo na huyu hana. Ni wazi una uelewa wa uwekezaji hasa kwenye oil and gas contracts.
Ndio maana, uwa tunawaambia wengine hakuna analytics inayo ruhusu kutoa mambo kutoka vichwani mwao.
Wenye kuelewa topic wanajua wanaona kwanini wajinga-wajinga uwa nawapa mapande yao (japo hawajazoea).
But then JF kuna wengint ni wasomaji tu, Iła ni watu wenye ya maamuzi ya Nchi. Ni watu ambao kwa michango yako ya akili ushawapa somo.
Shida ipo kwenye national debt, hawawezi dengua tena kwenye huo mkataba wa hovyo, washawekwa kona sana na (WB). Ipe muda,
wataachia tu sio kwakupenda ila kwa madeni waliyo nayo, hawa watu ni easily predictable.