Ni kituko kuingia mkataba wa USD billion 42 za mkopo kwa ajili ya mradi mmoja tu wa kutengeneza natural gas refinery

Kiongozi ‘if you know, you know’.

Soma post yangu #90 jinsi nilivyowanga michango yao hadi hapo.

Wewe ni mchangiaji wa muda mrefu humu; na sio mara ya kwanza kusema unajua haya mambo.

Taaluma zina lines of reasoning ni rahisi kusoma michango ya mtu na kuona huyu ana abc ya haya mambo na huyu hana. Ni wazi una uelewa wa uwekezaji hasa kwenye oil and gas contracts.

Ndio maana, uwa tunawaambia wengine hakuna analytics inayo ruhusu kutoa mambo kutoka vichwani mwao.

Wenye kuelewa topic wanajua wanaona kwanini wajinga-wajinga uwa nawapa mapande yao (japo hawajazoea).

But then JF kuna wengint ni wasomaji tu, Iła ni watu wenye ya maamuzi ya Nchi. Ni watu ambao kwa michango yako ya akili ushawapa somo.

Shida ipo kwenye national debt, hawawezi dengua tena kwenye huo mkataba wa hovyo, washawekwa kona sana na (WB). Ipe muda,
wataachia tu sio kwakupenda ila kwa madeni waliyo nayo, hawa watu ni easily predictable.
 
Tanzania umeikuta utaiacha
Hata ikija kuwa nzuri
Utaiacha tena
Pambana kusurvive
Kama kunawatu wanaifaidi jiunge nao.
Ayo madini na mali za duniani ziliwekwa wenye nguvu wazifaidi,
Haki dunia hii hutakaa uipate
Unajipotezea muda
Pambana wewe na familia yako muishi vizuri kwishaa.

Hio Tanzania unayoiwaza nakuitaka haipo,nahaitakaa iwepo maisha yako yote
 
You
You mean more than Tshs 100T!?
Can't be....
 
Sio 42B bali ni dola Bilioni 42 yaani zaidi ya Trilioni 100 za kitanzania. Hatuna uwezo wa kufanya huo mradi hata kwa kukopa,
Hivi ile habari ya kuwa Kikwete alishauza gas yetu na hii binafsi sijaielewa naomba kuelimishwa
 
Sijui kama Hawa watu wanaona haya na kuwaingia akilini. Mafuta crude ya Hawa jamaa tunaweza kabisa tukajenga refinery hapo Tanga, tukasafisha haya mafuta ya Waganda tukayauza hapa nchini na hata kwa majirani pia. Lakini Hawa "wajinga" tunaowaita viongozi wanayo haya maono!?
 
Cost recovery based on CAPEX, kama 42 Billion imetumika kwenye mradi hiyo pesa inarudi yote kwa mwekezaji kupitia mgawanyo wa faida. ndio business.
 
Aisee ni kweli. Nimeona ni 20 billion za USD
 
Sasa hapa umeandika nini!? Umerudi kule kule kuwa huo mradi ni mkopo.
 
Tatzo wenye akili mpo back Benja
 
Dollar bilioni 42 si masikhara ninyi ,hiyo ni entire GDP ya baadhi ya mataifa kadhaa ya Afrika combined kabisa ,let alone hapo risk ya uzoefu wa operations kama hizi za drilling, extraction na processing ya gesi ili kupata refined products .
Tpdc hawana ubavu huo , hapa cha kufanya ifanyike partnership tu kama hivyo , hayo makampuni matajiri na makongwe tu kama Exxon ,Shell wapo dunia nzima ,kwanini hamjuulizi hawakuamini kuingia wao wazima tu pekee yao bila kufanya partnership ?
Acheni masikhara
Daladala tu za Mwendokasi tu hawa wapuuzi zinawashinda waje watolee wapi ethics ,utashi na mitaji ya kufanya serious operations kama hizo ?
Cha muhimu ni ethics za representative WA serikali kusimamia agreements Kwa weledi na uaminifu mkubwa kwa maslahi ya taifa , biashara zifanywe na private sector ,hii ya kutaka kuenvolve serikali katika kila biashara ni upuuzi na ndio maana Madudu hayaishi , serikali ibaki kwenye regulations na kutoa huduma muhimu na miundombinu ya kussupport basi na si full involvment , serikali kufanya biashara ndio hutumika kama kichaka cha upigaji kwa washenzi flani humo serikalini miaka yote .
Zifanyike public private partnership kama hivyo ,maana kwenye partnership watu wanaweka fedha zao na hawako tayari kuona upuuzi unafanyika , wako serious .
 
DP WORLD ndiyo imetoka hiyo subiri tu mapato kuongezeka in terms of port operations.
 
Kinachoshangaza ni kutoka usd billion 30 mpaka billion 43 hapo hawajaanza kazi waje tena na stori zao za gharama kuongezeka usipokua makini watafika usd billion 50 kwa mradi mmoja tu

Afrika kuendelea ni ngumu sana hapohapo kule geita kuna watu tuliwapa migodi ni zaidi ya miaka 25 ukienda geita kuna umaskini wa kutisha
 
Alafu oil refinery inakupa bidhaa nyingi sana kuliko hata natural gas refinery
 
Una point usipuuzwee
 

#Period
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…