Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,298
- 7,612
Nilisahau siafu. Nilishawahi toa gauni mbele za watu nikabaki na pichu hawa wadudu hawana maana [emoji23][emoji23][emoji23]
Awekwe makumbusho ya taifa kama vipi.Yani ni kiumbe wa ajabu, yanasumu na asali kwa wakati mmoja,
Ukipata asali yake unaenjoy maisha, ila akikupa sumu yakee wee dunia unaiona iko upside down
Sawa. Asante kwa ofa.Nikupeleke bagamoyo snake park ukawaone mamba [emoji1666]
[emoji23][emoji23]Mwizi
Usiseme kwa sauti sasa 🤓🤓🤓buibui aisee😂
Umeshagundulika!Kuku ,mpaka akipikwa naogopa kumla kama unabisha mkaange niretee tuone.
Chavi chaviDudu washa siwapendiii
Nyoka pia nashangaa mtu anaenda snake farm anabeba wale nyoka mm sithubutu hata kuwasogelea hata nikiambiwa Hana sumu
[emoji23][emoji23][emoji23] hadi weweMende...yale makubwa manene yanayoruka dah!
Hata sijui kwa nini Mungu Aliumba mende aisee maana sidhani kama ana faida yo yote hata kwenye food chain hayumo.
Nikiona limende likubwa chumbani silali mpaka nihakikishe nimeliua...[emoji51]
Sipati picha atokee ukiwa uchibuibui aisee😂
Naskia nyuki... ni wewe tuu na ukorofi wako.. yaani ukiwa mtu cool hata hawana shida na wewenyuki na mjinga mwenzake mavu bila kusahau dondora hawa nikiona wanazisha makazi ninapo ishi lazima nitafute dawa ya rungu na kuwamaliza kabisa
Duuh serious 🤓🙌Nyoka .