Ni kosa gani ambalo utalijutia maisha yako yote?

Najuta kuoa mke nisiempenda
Pole sana mkuu ila hauko peke yako tupo wengi. Hawa majike mwanzoni hujifanya malaika lakini wakishatia timu ndani hugeuka kuwa nyoka wenye sumu kali. Wanawake ni nyoka kuliko unavyowafahamu.
 
Yeah! Namjua sana mkuu. Ni mwalimu mzuri wa hesabu.
Anajua hesabu lakini hajui kufundisha. Anaandika huku kafunika ubao na matumizi ya ubao hana mpangilio na akiandika kabla hata hujanukuu keshafuta. SEMBUCHE siyo kabisa
 
Ujana ulinipumbaza nikakataa mimba wakat npo nzega...aibu ikaja baada ya miaka miwili npo sehem nimekaa na dada zangu akaja mtoto wa kiume wa miaka 2 ananisalimia"chiikamoo baba" nkiangalia mtoto simfaham ila kafanana na mimi balaa ghafla mama yake ambae ni bint nlikataaga ujauzito akaja!mtoto akazd kunidhalilisha akiniuliza ulikuwa wap baba....nlitaman dunia ipasuke maana aibu ile sitaisahau!!!
 
Huu uzi utaliza watu majumban......nimejikaza kiume ila ningelia maama nimekumbuka makosa yangu mengi sana ambayo nahs siku nkiwahadithia hata ndgu zangu nahs wataniogopa!!!
Ah, usijali mkuu tuambie ,wengine tupate kujifunza kutoka kwako
 
Duh so ulifanyaje mkuu??
 
Aibu sanaa bro dgo saiv ana umri gani??? Dah aibu sana dah so mtoto uko nae?
 
Aibu sanaa bro dgo saiv ana umri gani??? Dah aibu sana dah so mtoto uko nae?
Mm nilibeba hiyo aibu ili kulinda heshima ya mama wa mtoto maana nliahd nafsi yangu kuwa nitabeba lawama zote kama malipo yangu...ila kama ningefungua mdomo kutoa utetez wangu ya kwann nlikataa mimba mama mtoto aibu ilikuwa yake!!!!no dogo kwa ss yupo nzega pale mitaa ya kanisa katoliki na mama yake maana mama yake hakutaka kuludiana na mm!!
 
Dah kaka hila si una mlea dogo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…