Ni kosa gani ambalo utalijutia maisha yako yote?

Hujachelewa Mkuu...
 
Kuzaa na mtu nisiyempenda kwa kufuata mkumbo wa ushoga wa kishuleshule inanicost hadi leo mpk sijui kama nitazaa wala kuolewa tena!
 
Kuzaa na mtu nisiyempenda kwa kufuata mkumbo wa ushoga wa kishuleshule inanicost hadi leo mpk sijui kama nitazaa wala kuolewa tena!
Utaolewa tu kama unataka,,,,ni vile tu unavojiweka. Mimi najua wapo single mothers wanaojielewa kuliko hata hawa wanaoitwa "fresh women"
 
Mungu hana kisasi ukitubu kwa dhati anasamehe na kusahau kabisa
 
Nilivyolewa bia na kumtongoza mamdogo(26) mimi(23) miaka ya nyuma
Du hayo majanga kwa kweli. Sasa mkuu ulikula mzigo au ilikuwaje? Je pombe zilipoisha ulijisikiaje? Uliweza hata kumtazama usoni kweli?
 
Utaolewa tu kama unataka,,,,ni vile tu unavojiweka. Mimi najua wapo single mothers wanaojielewa kuliko hata hawa wanaoitwa "fresh women"
Yaani jamaa ana roho mbaya mpk amenifanya kughaili make tangu tuliposhindwana akarudishiwa mahali siijui hata mia ya matunzo ya mtoto alafu ana kejeli na dharau mpk kwa wazazi wangu duh sijui nilikosea wapi![emoji135] hata kwenye mawasiliano hamtafuti mtoto akinitafuta nikamtolea nje mimi na familia yangu tunaoga matusi mpk hamu sina I hate him aisee!
 
Sometimes huwa tunaamini hatuwezi kuishi bila watu wengine,,,but trust me, kuna watu wapya wapo sehemu wanakusubiri ili uungane nao ila tu wewe hujui
 
Du pole sana mkuu. Mijianaume mingine ni mikauzu kuliko dagaa. Usikate tamaa utampata anayekujali mpaka ushangae.
 
Du hayo majanga kwa kweli. Sasa mkuu ulikula mzigo au ilikuwaje? Je pombe zilipoisha ulijisikiaje? Uliweza hata kumtazama usoni kweli?
Yani ni aibu nikimuonaga naweka sura ya kazi..
Ile siku aliniambia kama niko serious tuongee kesho ilikuwa likizo ya chuo so kesho akili ilivyorud niliondoka home wala sikuaga mtu na hamna mtu aliyeniona naondoka nilipigiwa simu na mzee nikadai chumba changu kilivunjwa na wadokozi nje ya chuo nilitokomea 2yrs bila sababu za msingi
Mpaka leo najiulizaga hivi alikubali kweli nimgegede
[emoji20] [emoji20] [emoji20] [emoji20] [emoji20]
 
Siku ambayo ni ngum kuisahau,ni ile siku nilipo zuiliwa kuingia katika masomo ya vitendo (practical) kwa kukosa ela ya mchango na paper ya National ilibakia wik moja kufanyika.
 
Inawezekana yeye hakuwa amelewa na alijua kwamba umemtokea kwa sababu ya pombe ndio maana akataka muongee kesho kwa 7bu alijua pombe zitakuwa zimekuisha. Hakuna haja ya kumuogopa sana nadhani ameishakusamehe and life goes on. Ila kwa kweli hii ni noumer sana i see!
 
Siku ambayo ni ngum kuisahau,ni ile siku nilipo zuiliwa kuingia katika masomo ya vitendo (practical) kwa kukosa ela ya mchango na paper ya National ilibakia wik moja kufanyika.
Pole sana mkuu. Kwa hiyo ilikuwaje? Ulifeli hilo somo?
 
Hivi mkuu unajua kutongoza plus kumpapasa matiti na mapaja na makalio..
Huwa akiniona anasmile back mbaya japo naweka sura ya kazi
[emoji20] [emoji20] [emoji20] [emoji20]
 
[emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]
1.
siku nipolala na sugarmamy natamanigi hii kitu initoke kichwani kwan najutiaga sana, ila story yake ni ndefu.
2.kuna binti nilimkata utepe nikamwahidi ningemuoa, mwisho wa siku tamaa zikazidi nikamwacha, leo ame0lewa , so nikikumbuka najuta kumwahidi uongo kumbe mie ilikuwa nikate utepe tu.

3.Kumshauri binti atoe mimba, leo hii hawezi kuzaa tena na sikuwa na malengo nae, ila nae kaolewa ila ndio hivyo kanipa taarifa hawezi zaa tokana na utoaji mimba alioufanya tukiwa nae[emoji24] [emoji24] [emoji24] (Mungu nisamehe dhambi hii nilishatubu sana)
 
Hivi mkuu unajua kutongoza plus kumpapasa matiti na mapaja na makalio..
Huwa akiniona anasmile back mbaya japo naweka sura ya kazi
[emoji20] [emoji20] [emoji20] [emoji20]
Mmh! Kama ni hivyo basi naye alikuwa anataka na huenda hadi leo anategemea umuulize...kama ulipapasa na akakukubalia, alikuwa anataka...kesho yake ungemshtua ungekula mzigo. Kumbe ndio maana ukimuona unavaa sura ya kazi? Sasa nimeelewa. Inawezekana hata leo ukijichetua ukadai mzigo utapata ndio maana akikuona ana smile. Ila mkuu nakushauri usijaribu hiyo kitu isije ikakuachia laana.
 
Du mkuu muombe sana Mungu akusamehe.
 
Mimi mwenzenu kwanza kila siku lazima nilie na Mungu, maishayangu ni shida sina ajira vyet nnavyo, ndoa yangu haina amani sjui nifanyeje niwe na raha mana napungua kilo kila siku.
Pole sana binti, ila yakupasa utambue tumeumbwa kuyapitia matatizo na ili uyashinde huna budi kuyakabili!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…