Ni kosa gani ambalo utalijutia maisha yako yote?

pole sana mkuu...PENZI KITOVU CHA UZEMBE!
 
Kupenda
 
wana bahati ilikua sio enzi za ndalichako na mitandao. hao wange "mbeya deyiwa"
 
Eti unampenda hatari....hakika mmeo anayo kazi.
 
siku nilipojifunza pombe.mpaka sasa mi cha pombe mzoefu.maendeleo 0 miaka 35 dah
mmmh! mkuu jitahidi kadri uwezavyo uache pombe, hata ikibidi ukatubu kwa Mungu akusamehe. unywaji pombe ni hatari kwa afya na maendeleo yako.
 
Unakosea kujuta.
Hakuna awali mbovu. Umejifunza sasa. Usipoteze muda kumuwaza tumia muda kujikwamua ulipo. Kumchukia inakurudisha nyuma zaidi. Mtangazie msamaha halafu uone Mungu atakavyokushangaza.
 
Mkuu huna sababu ya kujuta kwakuanza shule ukiwa na umri mkubwa,mwenyewe nlianza la kwanza nikiwa na miaka 10 na sasa nipo serikalini baada yakuhitimu degree yangu mwaka 2014, tofauti kubwa kati yangu na wewe ni kua mimi toka nimeanza pamoja na kusoma kayumba sikuwah kufeli au kustop popote mpaka nkatoboa Udsm so keep it up bado muda unao mkuu
 
Nikiwa form 6 shule flani Moshi nlisoma na dada wa rafiki yangu nlosoma nae olevel, dada wa huyo rafiki yangu alkuwa mlokole sana hivo ikapelekea huyo mshkaji wangu kutaka nmjaribu huyo dada yake hivo nmtongoze.Yule dada na ulokole wake akakubali na alikuja kudata kabisa na Mimi akaanza kutega hadi shule ili mradi apate mda wa kuja kuniona tukakae mahali sisi wawili tu.Ikaenda mpaka akaja kujua kuwa kaka yake ndo amenambia nimjaribu ila bado yule dada hakubadili msimamo yeye bado ananitaka tu.Na mim kipindi hcho tayari Npo katika mahusiano na msichana mwengine toka nkiwa form two.Ikabidi Kaka yake amwambie kuwa mim Nina mwanamke mwengine toka form two Ila bado yule dada alkuwa ananiganda"alkuwa na moyo w ajabu sana Yule dada yani maovu yangu alivokuwa akiambiwa ndo alizidi kuchanganyikiwa na kunipenda zaidi.kuna mda nkahisi labda alipewa maono na mungu kuwa mim ndo ningemfaa.Ikafika karibia na mtihani wa form 6 nkamwambia akae mbali na mim kila mtu apate muda wa kujiandaa na mtihani ila akaona kama namkimbia ila alikubali'tukafanya mtihani Ila hakufaulu vizuri Maana alkuwa PCB me nkiwa EGM na pia nilihisi kuchangia Kufeli kwake.
Muda ukafika wa kwenda chuo yeye akaenda diploma ya laboratory science UDOM na me nkaenda degree yangu, shida ikawa kuna nwanafunzi mwenzake anafanana na mim bhas ndo kila Siku akawa anankumbuka na kila mda ananitafuta.Hata ikabid kumtukana na kumtafutia sababu mpaka kifikia kutoka na ndugu yake mwengine Ila bado yeye aliniganda.Ikabid nije kumwomba sana na sana asipoteze muda kwangu ikaenda taratibu mpaka akanielewa Ila haachi kuuliza naendeleaje pia mahusiano yangu na Yule msichana nlotoka nae toka form two yapoje huku akiamini ipo siku ntakuwa single kwa ajili Yale.

Mungu anisamehe sana ila pia amenifundsha kuwa kuna wanawake wakipenda wamependa na nashukuru sikumvua chupi maana Leo nngejilaumu zaidi.
 
Hatari sana mkuu? Kumbe hukumvua chupi? Ulikuwa unamjaribu tu? Una roho ngumu sana I see. Msichana hadi 'akafeli' kwa sababu yako kumbe hukumsaula kufuli? Ungemsaula lazima ungemuoa. Noumer sana babaake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…