Ni kosa gani ambalo utalijutia maisha yako yote?

Baba yangu alimkataa mke wangu kuwa hanifai Mimi nikalazimisha alichokuja kunifanyia natamani nizaliwe upya.
Pole sana mkuu...maisha ndivyo yalivyo...experience is the best teacher.
 
Unawaambia wenzio ww mbona hukujitinza bikra akala mumeo!?
 
Najutia sana mahusinao yangu, sijawahi kupata single. Kila anaekuja ni mme wa mtu tena nakuja kujua badae sana naamua kugive up. Najilaumu sana wapi nilipokosea jamani. Hadi sasa nimeamua kutulia tu.
Unapo kosea ni kukibali kuvua chupi ya rangi nyeupe mwanaume akugegede wakati unajua hakakuoa no kosa kubwa sana wasichana na wanawake mnafanya akisha kufunua huyoo anasepa zake lakini kama angekuwa hujamvulia chupi hata kama angesepa bila kuonja utamu isingekuathiri hata kidogo sasa utamu umempa. Na kusepa amesepa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umeshaliwa wewe
 
yaani badala ya kusikitika nimecheka hapo mwisho "baba unaondoka tena" hahahahaha huyu dogo kama alikuwa anajua unakimbia majukumu hahahahaha
 
Najuta kuna wasichana wawili nimewatafuna baadae nikagundua wameolewa halafu wakaamua kuachika kwa waume zao kisa Mimi,

Thanks God huyo mmoja nimemshawishi arud kwa Mme wake kakubali kesho kutwa anarud

Sitaki tena kugegeda wake za watu Mungu nisimamie
 
Pole sana mkuu. Michepuko sio dili, baki njia kuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…