Moronight walker
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 3,103
- 4,704
Jamani mama edinaUsije ukatumia pesa yooote kwenye ujenzi ukakaa usubiri muijiza.
Kwa mfano una 2mil unataka uingiize kwenye ujenzi. Tumia 1.5 tu 500k iweke pembeni.
Au una 20 Mil. Weka 15mil kwenye jengo 5mil iweke pembeni. Utanielewa baadae
Bila kusahau harufu ya mifugoPia kununua kiwanja karibu na mchaga pia yaani ni shida wao wanachokijua ni kuongeza mipaka hata vimepimwa yani fundi wa kuanzisha migogoro
Kweli kabisa.inabidi ujipange.Kununua kiwanja sehemu sloped kunaongeza sana gharama ya ujenzi
Point za beacons zipo hata kwa wizara ya ardhi kwa sababu kiwanja kilipimwa tayari, mwenyewe akitaka ukuta unavunjwa tuu.Pia kununua kiwanja karibu na mchaga yaani ni shida wao wanachokijua ni kuongeza mipaka hata kama viwanja vimepimwa, hapa nina majirani wawili wote wachaga wote wakati wanajenga ukuta wameongeza mipaka kwa makusudi, kwanza wameng'oa beacons ili kupoteza ushaidi alafu wakajiongezea mipaka.
Mkuuchoo na sitting room vinatazamanaView attachment 2467657
Angalia hii
Kuolewa.Nimeshindwa kuolewa hii
Kuna choo kinatazamana na setting room, yani mtu Akikaa sitting room anamwona mtu wanaingia Chooni na kutoka.Nini haujaelewa hapo mkuu?
Tunaoishi maeneo ya Barid hii sasa ndio nzuri..Pia mkumbuke kuzingatia uelekeo wa kuchomoza na kuzama kwa jua wa eneo husika sio kujenga tu kama ramani ilivyo.
Kuna block yangu ipo shambani hapo Mkuranga master bedroom ipo upande jua linapozama kwahiyo lile jua la jioni lote linatandika chumbani hivyo kama unataka kulala vizuri nasubiri hadi saa nne usiku ndio room inakua imepoa.
Sawa nimekuelewaKuna choo kinatazamana na setting room, yani mtu Akikaa sitting room anamwona mtu wanaingia Chooni na kutoka.
Hatuna wakali wa interior designing na finishing zetu bado sanaWazungu hupangilia nyumba zao vizuri sana.
Sijui twakosea wapi
Dinning iko sehemu isiyo na dirisha, i would my next house dinning room pawe na dirisha.
etiiii enh,... uyo msela lazima awe msela kibopa.mbona kama ni geto la msela
Pesa zilikuwa nyingi nn mkuu.Kujenga bila kupumzka.. nyumba inakua na mapungufu mengi sana
Bei ya tofari ni 1,200Tofauti Elfu 11700 ni uwanja wa mpira wa miguu ulikuwa unajenga?
Sure madam wapoHuhuuu jamen tupo wasafi
Ulitakiw u mix na mpya . Mfano hio ilioatik mifuko miwili mipya mitano mpak sitaKatika ununuzi wa vifaa kwa ajili ya ujenzi ,simenti ndio itakuwa ya mwisho au itanunuliwa siku hiyo hiyo.
Nilijikuta namwaga zege mara mbili baada ya kwanza kuharibika. Kumbe nilinunua simenti muda mrefu na sikuitunza vizuri ikaharibika.
Siku tunaenda kutoa mbao tulikutana na mchanga almanusra imwangukie fundi.Nyingine tulikuta imeganda, nyingine iko kawaida lakini kumbe ilisha-expire.
Hii hali ya kununua vifaa kidogo kidogo inahitaji umakini sana katika uhifadhi wake.