S sysafiri JF-Expert Member Joined Sep 19, 2019 Posts 6,845 Reaction score 10,071 Jun 5, 2023 #21 Mbele za Mungu wanawake wana haki sawa na sisi,isipokuwa wasichoruhusiwa ni kututawala!
adden JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 7,033 Reaction score 15,638 Jun 5, 2023 #22 Surat an nisaa:al rijal ak amunaa an nisaa. Tafsiri..na mwanaume atakuwa ndio kiongozi wa mwanamke.