Ni kosa kumlinganisha Rais Samia na Hayati Magufuli

Idadi ya watu inaongezeka, shughuli za kiuchumi, mahitaji ya huduma, nguvu kazi, uvunaji wa maliasili na hata wageni vivyo hivyo.
Mapato huongezeka sambamba na muda tangu zamani.
 
Kwanza kabisa neno "hovyo" sio tusi wala nini....Ni neno linalotumika kueleza jambo au mtu ambaye hafanyi sawa

Kutwa kucha kuzurura tu

Ufisadi wa kutupwa

Kuuza rasilimali za Watanganyika kwa mikataba ya kimangungo

Matumizi mabaya ya rasilimali za nchi kwa mambo yake binafsi na faragha zake

Nchi kwenda kama gari bovu huku yeye hajali

Kugeuza nchi kuwa ya kifalme na mali ya familia

Mamilioni yanayotumika kuhonga machawa yangetosha kumaliza shida za hosptali watu wanakufa kwa kukosa matibabu


Shame on you SSH.
 
Idadi ya watu inaongezeka, shughuli za kiuchumi, mahitaji ya huduma, nguvu kazi, uvunaji wa maliasili na hata wageni vivyo hivyo.
Mapato huongezeka sambamba na muda tangu zamani.
Shughuli za kiuchumi zinaongezeka kutokana na mazingira Bora ya biashara.

Kwani awamu ya 5 idadi ya watu ilikuwa haiongezeki Hadi Ikahiraji miaka 5 Kuzalisha Bilioni 700 vs miaka 3 ya Samia?

Na Kwa taarifa Yako tuu mwaka 2025 ,makusanyo yatakuwa 2.5T Kwa mwezi yaani Samia atakuwa ameongeza Trilioni 1 Kwa miaka 4?5 tuu.

Mwisho acheni kulinganisha Samia na mkome kabisa.
 
Kumbe Magu hakufanya lolote? Huo ndio uelewa wako mkuu!!! Kazi kweli kweli!!
Alifanya kiasi tofauti na sifa mnazompa.

Pia mnaposema Samia hajafanya lolote wakati amefanya kuzidi Mwendazake mnakuwa na maana gani?

Hapo Juu nimetoa mifano michache sana lakini Kila sekta Samia amefanya kumzidi Mwendazake zikiwemo Barabara za Vijijini.

Acheni uzushi,ujinga,fitina na chuki kisa Mzanzibari
 
Arguments zako ni za kichawa chawa too much. Bidhaa kuwepo dukani kwa bei isiyoshikika ndiyo mafanikio ya kujivunia?
Jibu hoja wewe,kama Dola zimeadimika ,madukani hakuna bidhaa au wewe umekosa bidhaa au Huduma gani Kwa sababu hakuna Dola?

Mwisho unajua kwamba Samia anajenga Vyuo Vikuu au katawi ya Vyuo Vikuu Mikoa yote ya Tanzania?

Je unajua kwmba Samia amejenga Vyuo vya Veta Wilaya zote za Tanzania?

Hizo ni rekodi hakuna Rais aliwahi fikia except Samia.

Na lazima mtoto wangu mmjawapo nimpe jina la Samia Kwa heshima ya kazi kubwa ya kuifungua Nchi aliyofanya ambayo Mwendazake na ujamaa wake aliharibu.
 
Barabara za kijiji kipi jamaaa?
Acheni kumfananisha Baba yetu mdogo wa taifa la Tanzania na raisi Samia.
 
Vyuo vikuu vinakusaidia nini kama hata hai wasomi wanap maliza wanafanana na akinananiliii tu.
Sisi tunataka Maendeleo au mageozi ya kimtaala ili tulipuke kama China mambo yawe bam bam.
Acha kukasirika kuna mengi unatakiwa ujifunze kutoka kwa Magufuli fans so chukua kiti ukae kitako nikupe facto.
 
Rudia kusoma na kama wewe ndio unategemewa kuja kujadili hoja na Mimi basi waambieni waliokutuma kwmaba mmefeli

Je ni lini Tanzania imewahi ku export zaidi ya ku import? Weka takwimu ambazo najua huna Kwa sababu unaropoka tuu maana huna Cha kuniambua Mimi nafahamu Kila kitu.

Pili hivi unajua kwmwba sekta ya manufacturing ndio inaongoza kwa Ukuaji hapa Tanzania? Hujaona Rais akizindua viwanda vya magari,vioo,bidhaa za chuma,mbolea nk? Vyote hivyo havikuwepo kabla ya Samia.

Mwisho inflation ipi unayoizungumzia tofauti na takwimu za NBS? Tanzania Kuna inflation? Au imported inflation ambayo Serikali Ina deal nayo Kwa private sector kuanzisha import substitu industries?

Hiki hapa ni kishindo Cha Samia kwenye sekta ya Kilimo,maelfu ya irrigation schemes Zinazidi kuanzishwa hakuna Rais mwingine Toka uhuru wa Tanzania amewahi wltenga kwenye Bajeti ya Kilimo Trilioni 1,kama unamjua jitajie nipe ninywe mkono wako.πŸ‘‡πŸ‘‡



Msirudie kulinganisha Samia na loosers,muwe mnawaambia wajinga wenzenu.
 
Usisahau pia kuwa Magufuli alikuwa-
1. Alizuia shughuli halali za vyama vya siasa hususan mikutano na maandamano
2. Alikuwa ameitisha Mahakama iamue kwa kuipendelea Serikali
3. Aliliteka Bunge likawa kama kitengo cha Ikulu
4. Alinyang'anya fedha za wafanyabiashara na kuwatupa rumande bila makosa
5. Alikuwa MWONGO sana kwa kuwa alijuwa Watanzania ni wajinga. Alidai anajenga miradi kwa fedha za ndani kumbe anakopa kwenye mabenki ya nje
6. Alidhibiti uhuru wa maoni na kuvitisha kuvifungia vyombo huru vya habari ambavyo vingeripoti kinyume na matakwa yake
7. Aliiba uchaguzi wote wa 2020 na kutuachia wabunge aliowateua yeye

Samia ni chaguo la Mungu na kamwe asilinganishwe
 
Shujaa alikuwa mwiz wa kura
 
Hoja yangu siyo ulinganifu wa Samia na Magufuli, ni matumizi ya akili ya kawaida kujadili mambo.
Kwa mtu mwenye akili nzuri, anaweka mbele jamii yake na taifa kwa ujumla katika kujadili haya.
Nchi na watu wake vilikuwepo, vipo na vitaendelea kuwepo hata kama Magufuli na Samia wasingekuwepo.
Hizi ndizo fikra tunazohitaji watu wetu wawe nazo na warithishe vizazi vijavyo.
Lazima wananchi wajue kwamba wana uwezo wa kujipanga na kufanya Mambo kurekebishana hali zao badala ya kulalamika na kutegemea mtu mmoja au kikundi kidogo (fikra za kitumwa).
 


Kwa hiyo China iliendelea Kwa kupuuza Elimu ?

Maendeleo yanaletwa baada ya kunoa na kupunguza ujinga

Ndio maana Samia ameruhisu usafiri 24hrs watu wanapiga hela Kila siku Bandari imejaa magari na Mabasi ,booming business every sector.

Nitajie Sekta iliyodolola awamu ya Samia nikuoneshe nyoka mwenye miguu.
 
Kwa hiyo hapo ndio umeongea nini? Mada inasemaje? Mbona unahamisha magoli?

Kuweka maslahi ya Nchi mbele si ndio kazi ya Rais au? Kwani wewe unaona maslahi ya nani Yako mbele?πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/reel/C8AVx4LI3j7/?igsh=MTgzZWl3NDgwMTdkeA==
 
Barabara za kijiji kipi jamaaa?
Acheni kumfananisha Baba yetu mdogo wa taifa la Tanzania na raisi Samia.
Baba yenu mdogo? 🀣🀣🀣🀣

Walioko Vijijini wanajua na wanaona,wewe wa mjini Utajua nini?

Bajeti ya Tarura miaka yote ya Magufuli ni 274 bln

Miaka yote ya Samia 850 bln

Kwa akili ya standard Two,nani amejenga Barabara nyingi? Au unabisha nianze kukuonesha picha?

Narudia tena,usirudie kumlinganisha Samia yeyote,Samia ni mtu wa kazi sio propaganda Wala majigambo Wala kujimwambafy ,got it?
 
No more comments, these are fact. Halafu kuna mtu utasikia umetumwa kumchafua. Ningependa hoja zijikite kunarrate kwa nini hoja zako sio sahihi kama ni suala la kukataa hoja
 
Sijaandika ili kubishana. Watu wengi hutumia akili zao na muda wao vibaya wakielekeza lawama nyingi au nyimbo za sifa kwa Rais badala ya kuongeza tija kwenye uzalishaji ili jamii na taifa lipate maendeleo.
Uchawa kwa pande zote (serikali na upinzani), bila facts zenye kuwaletea wananchi maendeleo ya moja kwa moja ni upumbavu.
 
Toa reliable sources kwani hizi takwimu zako hazimake sense.Hivi kuna kiongozi yeyote hapa tangia walioanza na watakaoanza anaweza kuzidi performance ya ujenzi wa vituo vya afya, hospitalai za wilaya na mikoa na rufaa. Huyu bwana alifunga kazi. Ila inategemea unamaanisha nini. Angalau mimi niko upande huu na nilikuwa sehemu ya kuona mafanikio yake na ya mama yetu.
 
Taja Uliko ambako unasema hujaona mafanikio Mimi nikuoneshe.

Pili source zangu ni rasmi kutoka Tamisemi/Wizara ya Afya.

Nyie mlikuwa mnalishwa propaganda maana hakuna stori nyingine tofauti mlisikoa zaidi ya porojo za Kumsifia Mwendazake maana alidhibiti vyombo vyote vya habari tofauti na Sasa.

Soma hizi takwimu kutoka Wizara ya Afya na Tamisemi πŸ‘‡



Mwisho soma hapo idadi ya Vituo alivyojenga MagufuliπŸ‘‡πŸ‘‡



Kati ya hivyo Vituo vya Afya 352,takribani nusu yake vilikuwepo isipokuwa viliongezewa majengo mapya Ili vianze kutoa Huduma ya upasuaji Kwa kina mama tofauti na Samia anajenga Vituo bioya kabisa kwenye kata za kimkakati na lengi lake ni kujenga Vituo 500 Hadi 2025 na Mwaka wa 204/25 zaidi ya Vituo vya Afya 100 vitajengwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…