Kete Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 6,656
- 6,886
Aisee wachawi ni mashetani kabisaWachawi tena? Hapana.
Hiko hivi kuna rafiki yangu mmoja amekuja kuomba ushauri.
Kampenda mwanamke wako kwenye mahusiano ya mda sasa, alipo fanya maamuzi ya kuoa wazazi wakamwambia "huyo binti kwao ni wachawi" kwamba kuna scenario mama ake huyo binti alikamatwa akiwanga, wazazi hawataki hata kusikia kuhusu huyo binti.
Mimi kwa sababu siamini uchawi wala sijawahi kumuona mchawi nimemwambia aoe tu maana mama ake anaweza kua mchawi lakini yeye sio mchawi. je nimefanya vibaya kumshauri hivyo?.
Then sisi wazazi ukimzaa mtoto sio vizuri kuanza kuingia kwenye maamuzi yake, maana wazazi wengine wanataka kuweka sheria zao hadi kwenye nyumba za watoto wake.
Mzazi mtoto anapofikisha umri mkubwa unachotakiwa ni kushauri tu.
Nimeshaoa Mkuu Mwaka wa 6 sasa, huyu dogo tunafanya nae kazi ofsiniNajua sio rafiki yako ila wewe mwenyewe. Mkuu usithubutu kuoa ktk familia ya kichawi, watoto wako watachawiwa na mama mkwe utakufa masikini kwa kuhangaika na maradhi yasiyoeleweka ya mara kwa mara ya watoto wako.
Nimechukua huu ushauriAtalia na kusaga meno,kuna jamaa kafukuza mke na watoto hataki yoyote akanyage kwake.
Achawi upo na wazazi wako wana akili kuliko wewe,na wameona mengi kuliko wewe,usioe huyo binti,wanawake wapo wengi sanaHiko hivi kuna rafiki yangu mmoja amekuja kuomba ushauri.
Kampenda mwanamke wako kwenye mahusiano ya mda sasa, alipo fanya maamuzi ya kuoa wazazi wakamwambia "huyo binti kwao ni wachawi" kwamba kuna scenario mama ake huyo binti alikamatwa akiwanga, wazazi hawataki hata kusikia kuhusu huyo binti.
Mimi kwa sababu siamini uchawi wala sijawahi kumuona mchawi nimemwambia aoe tu maana mama ake anaweza kua mchawi lakini yeye sio mchawi. je nimefanya vibaya kumshauri hivyo?.
Then sisi wazazi ukimzaa mtoto sio vizuri kuanza kuingia kwenye maamuzi yake, maana wazazi wengine wanataka kuweka sheria zao hadi kwenye nyumba za watoto wake.
Mzazi mtoto anapofikisha umri mkubwa unachotakiwa ni kushauri tu.
ndio ivo jamaa alianza kurogwa na mke wake nusu afe kaponea kwa waganga,akapata ushaidi mke wake ndio anamroga,akamfukuza bdae akawa anakuja kwa kigezo cha kusalimia watoto,jamaa na watoto kawafukuza baada ya kushndwa masharti ya kuonana na mama yao.Nimechukua huu ushauri