•Bachelor of Arts in Urban and Regional Planning
•Bachelor of Arts in Public Administration or Political Science
•Bachelor of Logistics and Transport Management
IT ndiyo kozi gani ndugu? Unaweza kuandika kwa kirefu kama hutojali?Yeye anataka Nini?, kama hajali kuhusu yeye anataka Nini basi asome IT.
kama kuna chuo kinatoa IT, ICT asome
kama kuna chuo kinatoa IT, ICT asome
kama kuna chuo kinatoa IT, ICT asome
Kasome banking and finance pale magogoni
Information Technology.IT ndiyo kozi gani ndugu? Unaweza kuandika kwa kirefu kama hutojali?
Kwa nini ulikimbia EGM?
sikujua mbele kuna nini mkuu hasa kwa hiki kipindi cha kuomba vyuoKwa nini ulikimbia EGM?
Hiyo ya tatu , ajira zake (Namanisha wago wa kujiajiri na fursa zake) zipoje?•Bachelor of Arts in Urban and Regional Planning
•Bachelor of Arts in Public Administration or Political Science
•Bachelor of Logistics and Transport Management
nashukuru kwa ushauri wako mkuuKasome banking and finance pale magogoni