NI KOZI ZIPI KWA CHUO KIKUU ZENYE SOKO KWA SASA ZINAMFAA MTU ALIYESOMA HGE?

NI KOZI ZIPI KWA CHUO KIKUU ZENYE SOKO KWA SASA ZINAMFAA MTU ALIYESOMA HGE?

sikujua

sikujua mbele kuna nini mkuu hasa kwa hiki kipindi cha kuomba vyuo
Sawa wahi NIT ukasome Logistic & Transport Management

Au nenda ARDHI ukasome Land Management and Valuation au Urban and Rural Planning

Unmatured wengi watakwambia Accounting, Banking and Finance, Procurement na the likes of wapuuze
​
 
Hizo ndo watu matured sio, 🤔
 
Habarini za wakati huu wanajukwaa?
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu,naombeni kujua ni kozi zipi zenye soko kwa sasa ambazo anaweza kusoma chuo kikuu mtu aliyesoma HGE advance?
Aende VETA akasomee Plumbing kisha aende Veta Shinyanga akasomee kuoperate mitambo akimaliza anitafute.
 
Wanyama pori - chuo kipo moshi, kazi ni za mbugani, Tanapa kuna pesa ndefu

Uhasibu - ajira zinatangazwa mara nyingi sana ila competition nayo imekuwa kubwa wahitimu wanazidi kuwa wengi

Ualimu wa sayansi na hesabu - walimu wa haya masomo bado ni wachache wana soko

wengine wataendelea
 
Hiyo ya tatu , ajira zake (Namanisha wago wa kujiajiri na fursa zake) zipoje?
PM AIR CARGO
OUR CHINA ADDRESS
广州市越秀区环市西路202号之三第十一层1148铺(美博体育用品市场)-Patrick 19584669781

Tafadhali mpatie supplier wako address hii kwa mizigo itakayosafiri kwa njia ya ndege kutoka China kuja Tanzania.
WhatsApp/Calls +255 755 18 48 73
 
•Bachelor of Arts in Urban and Regional Planning

•Bachelor of Arts in Public Administration or Political Science

•Bachelor of Logistics and Transport Management
Hizo ndio zenye soko?
 
Wanyama pori - chuo kipo moshi, kazi ni za mbugani, Tanapa kuna pesa ndefu

Uhasibu - ajira zinatangazwa mara nyingi sana ila competition nayo imekuwa kubwa wahitimu wanazidi kuwa wengi

Ualimu wa sayansi na hesabu - walimu wa haya masomo bado ni wachache wana soko

wengine wataendelea
Hivi wewe ni mzima kichwani kweli?yani mtu kasoma HGE unamshauri akasome ualimu wa sayansi?
 
Back
Top Bottom