Ni kubwa jinga ila kitandani yako Vizuri sana, nifanyaje?

Ni kubwa jinga ila kitandani yako Vizuri sana, nifanyaje?

Tatafuta mwenye akili ila usimwache hilo kubwa jinga ili kutimiza tamaa zako.

Note: binadamu mpka anakufa hajawahi kukamilisha tamaa yake ,yani kufika tamati ya tamaa yake .
Mimi nilifikaga miKa 50 iliopitA, acha uongo
 
Kama ni mpenzi tu endelea naye. Ila kama mna mipango ya mbeleni kumbuka shughuli za kitandani zinaanza kupungua makali at 40-45 mnakua busy na maisha...... Fikiria utaendelea kubebana au niaje...

Uamuzi ni wako wanasema kipenda roho hula nyama mbichi.... Sembuse kutokua na akili....
Chukua maua yako, ubarikiwe kwa hekima
 
Hivi ushawahi kuwa na mpenzi kubwa jinga akili haimo kichwani?

Lakini kitandani yuko vizuri balaa?

Niambie uliendelea nae kimahusiano au ulimbwaga?
Nawaza tu kwa sauti!!!

Ninan hapo atakuwa kubwa jinga!!!
 
priorities za wanawake kwenye mahusiano zinachekesha sana, na hapo mdada anaweza kumuacha au kumkataa mwanaume mwenye malengo akachagua hilo kubwa jinga stering la kitandani
Mwanamke anataka kuopekechwa mkuu...matokeo mengine ni baadae.
 
Mbona wapo wengi wajinga lakini wanapesa na kitandani hamna kitu lakini wanavumiliwa! Hata wanawake wavumiliwe
 
Kwa mwanamke Ni lazima awe na Mwanamme anaejielewa. sababu mwanamke ni tegemezi kwa mwanamme kimaumbile. na tikuzungumza tegemezi simaanishi kifedha tu, Kwa hiyo kama utaendekeza ngono mbele unaweza kuangukia pabaya.

Kwa Mwanamme anaweza ishi na Mwnaamke vyovyote atakavyokua hapana shida.
 
Back
Top Bottom