Ni kubwa jinga ila kitandani yako Vizuri sana, nifanyaje?

Ni kubwa jinga ila kitandani yako Vizuri sana, nifanyaje?

Kwa mwanamke Ni lazima awe na Mwanamme anaejielewa. sababu mwanamke ni tegemezi kwa mwanamme kimaumbile. na tikuzungumza tegemezi simaanishi kifedha tu, Kwa hiyo kama utaendekeza ngono mbele unaweza kuangukia pabaya.

Kwa Mwanamme anaweza ishi na Mwnaamke vyovyote atakavyokua hapana shida.
Niliondoka kwetu nikakakae na mwanaume mbovu kitandani au??
 
Back
Top Bottom