Ni kubwa jinga ila kitandani yako Vizuri sana, nifanyaje?

Tatafuta mwenye akili ila usimwache hilo kubwa jinga ili kutimiza tamaa zako.

Note: binadamu mpka anakufa hajawahi kukamilisha tamaa yake ,yani kufika tamati ya tamaa yake .
Mimi nilifikaga miKa 50 iliopitA, acha uongo
 
Chukua maua yako, ubarikiwe kwa hekima
 
Hivi ushawahi kuwa na mpenzi kubwa jinga akili haimo kichwani?

Lakini kitandani yuko vizuri balaa?

Niambie uliendelea nae kimahusiano au ulimbwaga?
Nawaza tu kwa sauti!!!

Ninan hapo atakuwa kubwa jinga!!!
 
priorities za wanawake kwenye mahusiano zinachekesha sana, na hapo mdada anaweza kumuacha au kumkataa mwanaume mwenye malengo akachagua hilo kubwa jinga stering la kitandani
Mwanamke anataka kuopekechwa mkuu...matokeo mengine ni baadae.
 
Mbona wapo wengi wajinga lakini wanapesa na kitandani hamna kitu lakini wanavumiliwa! Hata wanawake wavumiliwe
 
Kwa mwanamke Ni lazima awe na Mwanamme anaejielewa. sababu mwanamke ni tegemezi kwa mwanamme kimaumbile. na tikuzungumza tegemezi simaanishi kifedha tu, Kwa hiyo kama utaendekeza ngono mbele unaweza kuangukia pabaya.

Kwa Mwanamme anaweza ishi na Mwnaamke vyovyote atakavyokua hapana shida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…