baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 4,178
- 7,591
Mzee wangu Mohamed Said Mwenyez Mungu atakulipa kwa unachofanya, Shukran kwa hii Elimu unayotupa ambayo wengi hatukua tukiifaham.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pengine wewe ndio una chuki? Mpaka Jamiiforums wamempa Tuzo ya Heshima, Melo mwenyewe anatambua mchango wake,Huyo mzee mudi anaumia sana moyo wake kuiona hii nchi inastawi kwa umoja na amani kwa kila raia bila kujari utikadi na imani yake,yeye alitaka nchi zima wavae kobazi,balaghashia na kanzu.
Huyu mzee ni wa kumuonea huruma mana ni fanatic na lunatic. Chuki aliyonayo itamfuata hadi kaburini.
Huna nidhamuBado unang'ang'ania tu ni hizi takataka!
Hao ni Islamophobes.Umepewa historia, mtu amekutana na Kenyata, ameenda Uganda hadi Kuunganisha Uganda na kenya kwenye Screenshot iliyowekwa, Bado unaona mtu ana Akili ya Kariakoo? Mtu alieweza kuanzia Chama nchi nzima na kuweka Branch mikoani na kukusanya Maelfu ya Watu kudai uhuru unahisi fikra zake ziliishia kariakoo?
Mama...Mzee Mohamed ungekuwa na uwezo ungetaka iandikwe kwamba Sykes ndo alipambania uhuru kuliko hata Nyerere. Siku moja kubali tu kuwa Nyerere alikuwa mbali sana kifikra kuliko Sykes na wazee wengine wa Kariakoo. Hatumdharau Sykes ila ndo uwezo wake ulipokuwa umefikia kina Mwalimu Nyerere wakaanzia pale alipoishia yeye.
Umeua uzi haya ni mauaji ya kimbalikuwa ushahidi wa kupigania uhuru wa Kariakoo
Mpe...Umeua uzi haya ni mauaji ya kimbali
Baba...Mzee wangu Mohamed Said Mwenyez Mungu atakulipa kwa unachofanya, Shukran kwa hii Elimu unayotupa ambayo wengi hatukua tukiifaham.
Baba...Pengine wewe ndio una chuki? Mpaka Jamiiforums wamempa Tuzo ya Heshima, Melo mwenyewe anatambua mchango wake,
Msome Prof James L Giblin
History | College of Liberal Arts and Sciences | The University of Iowa
With the geographical breadth of our courses, students in the Department of History at the University of Iowa develop a global consciousness along with key transferable skills such as critical thinking, communication, and empathy.clas.uiowa.edu
Ana Tuzo 17 mbalimbali level za Chuo hadi Nchi, Vitabu na Journal za Kutosha, Speciality yake ni History ya Tanzania na East Africa, Huwezi kuwa Recorgized na Mtu kama huyu kwa kuwa na Chuki tu na udini,
Mama...Hii comment yako sasa ndo imetupa mwanga kamili kumbe suala lako la udini liko katika ngazi ya juu mno. Pole sana Mzee ila muda bado upo unaweza ukabadilika.
Mama...Ulichoandika ni sahihi. Wazee wa Kariakoo fikra zao ziliishia Kariakoo.
Si mpaka uwe nazo hizo akili. Nnachokiona kwako ni ujinga na uoga.Bahati yangu ni kujua darasa lipi la kujifunza na lipi ni la kuvurugana tu akili.
Umeambiwa weka ushahidi unaendelea kuja na porojo zako.EeeenHeeee!
Unaji'promote' kwelikweli.
Katika kujiuza huna mfano wa kukufikia.
Tatizo ni kuweka chumvi nyingi katika baadhi ya mambo na kupotosha mengine kukidhi ajenda zinazokupa msukumo.
Sifa hii ya ku'exagerate' katika baadhi ya mambo, na kwingine kutunga uongo kabisa inaharibu taswira nzima ya unayoyasimamia.
Umeandika uongo umestukiwa na sasa unajishaua.Usiende huko kwa "kujua 'University'"; labda kama unataka kujifunza toka kwangu.
Hizi habari za kujifanya wewe mtaalam wa kuheshimiwa na vyuo mashuhuri duniani kwa kutunga hadithi usidhani kuwa ndio utaalam.
Kama nilivyosema huko nyuma, sifa pekee uliyojaaliwa kama kipaji ni huko kupamba habari ambazo sehemu kubwa ya habari hizo ni uongo.
Siyo "kujari" ni kujali.Huyo mzee mudi anaumia sana moyo wake kuiona hii nchi inastawi kwa umoja na amani kwa kila raia bila kujari utikadi na imani yake,yeye alitaka nchi zima wavae kobazi,balaghashia na kanzu.
Huyu mzee ni wa kumuonea huruma mana ni fanatic na lunatic. Chuki aliyonayo itamfuata hadi kaburini.
Ameshindwa miaka 10 nyuma, ataweza leo? Ma shaa Allah nyuzi anazojikita Alama Mohamed Said hazijakosa wasomaji. Zinaongoza.Umeua uzi haya ni mauaji ya kimbali
Ninakubaliana na wewe, lakini umekosa kufahamu lengo ni nini.Japo na Mimi sikubaliani nae kwenye mambo flani.. lakini si busara kuita takataka maandishi ya huyu mzee..
Mzee aheshimiwe Ni mwandishi mzuri..
Yatanisaidia kitu gani haya mimi!
Mkuu 'Baba-mwajuma', mimi siyo mwanasiasa, na wala sitegemei hata siku moja nitafute sifa maalum za upendeleo toka kwa yeyote. Mimi nawasilisha mawazo yangu, uyapende usiyapende hiyo ni juu yako mwenyewe kufanya uamzi.Hapa umedhihirisha ujinga wako, nilikuwa nakuona mtu wa maana sana na msomi humu jukwaani ila hii imenionesha upande mwengine,
Nimefuatilia mjadala mzima, mzee wa watu anakuomba umuoneshe huo uwongo wake ila huoneshi chochote badala yake unamkashifu, mzee wa watu analeta evidence na Hadi picha kuthibitisha.
Huna Tofauti na wale chawa wa ccm, so sad