Ni kwa namna gani Julius Nyerere aliwazidi "Ujanja" wazee wa Kariakoo waliompokea kwenye siasa za Dar es Salaam?

Ni kwa namna gani Julius Nyerere aliwazidi "Ujanja" wazee wa Kariakoo waliompokea kwenye siasa za Dar es Salaam?

Kalamu,
Ninayoandika hapa ni historia inayopendwa na wasomaji wengi.
Angalia uzi huu watu wangapi wanaingia.

Wanakuja kusoma historia ambayo inayowafurahisha.
Naandika kwa faida ya wasomaji wa Ukumbi wa Historia.

Mchana huu nimeweka hapa historia ya babu yangu Salum Abdallah siku alipoongoza mgomo wa railways mwaka wa 1947.

View attachment 2558183
Viongozi wa TRAU
Kulia kwa Salum Abdallah ni Kassanga Tumbo​
Jaza tu mauchafu yako humu, mimi hayanipi shida yoyote.
 
Jaza tu mauchafu yako humu, mimi hayanipi shida yoyote.
Kalamu,
Ikiwa hupati shida na niandikayo hiyo ni furaha kwangu.
Sipendi uteseke kwa kuona kalamu yangu.

Howard Hughes naamini unamfahamu.
Alikuwa na maradhi ya akili akiona uchafu mahali haupo.

Waliokuwa karibu na yeye wakimwambia kuwa mbele yake iliyopo ni sahani ya chakula kizuri.

Kwa kuwa ni maradhi yeye akaendelea kuona uchafu hadi anafariki.
 
Niteseke? Labda useme niudhike kwa kuona takataka unazolazimisha nizijibu.
Kalamu,
Mimi siwezi kukulazimisha chochote.
Kwa nini nifanye hivyo?

Ninachoandika kama kinakuudhi hii ni bahati mbaya sana.
Njia ya kujikinga ni kuacha kunisoma.

Utakuwa umesalimika.
Acha kunijibu utakuwa umesalimika.
 
Nishakwambia wazi, 'as long as you're around, responding to my posts, you will get it, no doubt about that'!
 
Ulistaafu kazi gani? Ya utapeli?

Nishakwambia wazi, 'as long as you're around, responding to my posts, you will get it, no doubt about that'!
Kalamu,
Mimi sina tatizo na hilo.

Tutakuwa sote na watu watasoma uandikayo wewe na yangu.
Hii ndiyo raha ya JF.

Ningekuwa sikutaki ningetoa taarifa upigwe ''ban'' kwa ''name calling'' na matusi.
Sijatoa taarifa kwa kuwa sijakuona kama tatizo lisiloweza kustahamiliwa.

Tuendelee kuwa sote hapa Jukwaa la Historia.

1679242455618.jpeg

Geneva​
 
basi sawa, tupa takaraka, nami nazirudisha zilikotoka.
 
Naamini sababu ni:
  • Nyerere alitoka familia ya chifu, hivyo alikuwa na nguvu za asili za utawala;
  • Alikuwa ameonja 'utamu' wa madaraka, na akawa anatafuta fursa;
  • Alikuwa msomi na mwenye kuielewa dunia kiasi
 
basi sawa, tupa takaraka, nami nazirudisha zilikotoka.
Kalamu,
Unarudisha vipi neno lililoko mtandaoni?

Unapoweka kitu JF angalia watu wangapi katika muda mchache watakuwa wamesoma na wengine wamewarushia wengine na huko imerushwa kwengine.

Mitandao ina nguvu ya ajabu.
Huwezi kuzuia kitu kikishaingia mtandaoni.

1679255145968.jpeg

AZAM TV Mornig Trumpet​
 
View attachment 2558589
AZAM TV Mornig Trumpet​
naona hizi takataka zimejaa huko ulikodhihifadhi, na unaamua kuzileta hapa jukwaani.
 
naona hizi takataka zimejaa huko ulikodhihifadhi, na unaamua kuzileta hapa jukwaani.
Kalamu,
Nina maktaba kubwa sana ya picha zangu binafsi kuanzia niko mtoto wa miaka 2 hadi hivi sasa mzee wa miaka 71.

Picha nilizopiga katika safari zangu katika nchi nyingi nilizotembelea duniani.

Nina picha pia za harakati za uhuru ambazo nimekusanya kutoka sehemu mbalimbali za Tanganyika.

Nashukuru kuwa baada ya kufahamika siku hizi naletewa picha na wasomaji wangu hapa JF.

Picha hizi zote ni "catalogued."
Ford Foundation walihusika katika uasisi wa Nyerere Foundation na mtu wao aliyekuja Tanzania kusaidia kuundwa kwa NF aliniomba niipatie NF picha nilizokuwanazo.

Nilifanya hivyo.

Ninazo pia picha kutoka Bailey Collection Johannesburg.

Hizi alinipa Jim Bailey mwenyewe wakati nikihariri kitabu chake cha picha kuhusu Julius Nyerere.

Nina picha kutoka Maktaba ya Mohamed Shebe mpiga picha wa kwanza wa TANU na Julius Nyerere.

Mohamed Shebe alinipiga mimi picha yangu ya kwanza 1953.

Studio yake ilikuwa Mtaa wa Livingstone na Kipata mkabala na nyumba aliyokuwa akiishi mama yangu mkubwa.

Mzee Shebe akiniita mimi rafiki yake.

Ni kisa kirefu na nimekiandika.

Baadhi ya wasomaji hapa wameziona picha za Mzee Shebe alizopiga katika mikutano ya kwanza ya TANU 1954.

Nitaziweka hapa In Shaa Allah kwa faida ya historia ya nchi yetu.
 
Kalamu,
Nina maktaba kubwa sana ya picha zangu binasfi kuanzia niko mtoto wa miaka 2 hadi hivi sasa mzee wa miaka 71.

Picha nilizopiga katika safari zangu katika nchi nyingi nilizotembelea duniani.

Nina picha pia za harakati za uhuru ambazo nimekusanya kutoka sehemu mbalimbali za Tanganyika.

Nashukuru kuwa baada ya kufahamika siku hizi naletewa picha na wasomaji wangu hapa JF.

Picha hizi zote ni "catalogued."
Ford Foundation walihusika katika uasisi wa Nyerere Foundation na mtu wao aliyekuja Tanzania kusaidia kuundwa kwa NF aliniomba niipatie NF picha nilizokuwanazo.

Nilifanya hivyo.

Ninazo pia picha kutoka Bailey Collection Johannesburg.

Hizi alinipa Jim Bailey mwenyewe wakati nikihariri kitabu chake cha picha kuhusu Julius Nyerere.
Ngoja nikukumbushe tena kwa mara nyingine.

Sina muda wa kusoma hizi takataka unazopitishia kwangu; lakini unapoziweka kwa kutumia jina langu ni lazima nikujibu vilevile nilivyoahidi toka mwanzo kuwa nitajibu.
Sithamini chochote unachosimamia wewe, kwa hiyo kuendelea kutumia jina langu ni uchokozi ulio wazi na sitaacha kuujibu huo uchokozi.
 
Siwezi kukufanyia uchokozi.
Huu ni uwanja wazi.

Ikiwa hutaki kusoma niandikayo unachotakiwa kufanya ni kutonisoma basi.

Lakini ukinisoma kisha unanijibu mimi nina haki ya kukujibu.

Nakushauri tena tusitishe huu mjadala kwa wewe kuacha kuniandikia.
 
Uwanja wazi haupo kwangu. Utumie huko huko ulipo uwanja. Ni kama huna akili?
 
Uwanja wazi haupo kwangu. Utumie huko huko ulipo uwanja. Ni kama huna akili?
Kalamu,
Uamuzi ni wako.

''Nina picha pia za harakati za uhuru ambazo nimekusanya kutoka sehemu mbalimbali za Tanganyika. Picha hizi zote ni "catalogued." Ford Foundation walihusika katika uasisi wa Nyerere Foundation na mtu wao aliyekuja Tanzania kusaidia kuundwa kwa NF aliniomba niipatie NF picha nilizokuwanazo. Nilifanya hivyo. Ninazo pia picha kutoka Bailey Collection Johannesburg. Hizi alinipa Jim Bailey mwenyewe wakati nikihariri kitabu chake cha picha kuhusu Julius Nyerere. Nina picha kutoka Maktaba ya Mohamed Shebe mpiga picha wa kwanza wa TANU na Julius Nyerere. Mohamed Shebe alinipiga mimi picha yangu ya kwanza 1953.''

1679277282252.jpeg

Mohamed Said 1953
1679277384671.png

Safari ya Julius Nyerere UNO 1955
Kulia ni Bi. Chiku bint Said Kisusa (mke wa Shariff Abdallah Omar Attas), Bi. Titi Mohamed, Kushoto wa mwanzo ni Bi. Tatu bint Mzee na huyo katikati ni Julius Nyerere
(Jim Bailey Collection, Johannesburg)

1679277677468.jpeg

Mkutano wa TANU Mnazi Mmoja 1955
(Maktaba ya Mohamed Shebe)
 
Back
Top Bottom