Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Nyanda...daaaah huyo said ana moyo mpana
Ukituliza kichwa chako utavuka viunzi vingi bila tabu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyanda...daaaah huyo said ana moyo mpana
Hivi kweli kuna kuna haja na sababu ya kuishi katika jana wakati kesho inatokudolea macho na hatuna hata maandalizi ya kuikabili? Hakuna cha kuzidiana ujanja–––kwa muktadha wowote uliokusudia––––bali hali halisi ya wakati ule. Nyerere alikuwa msomi kuliko wale wazee hasa kama tutatumia mizania ya kikoloni kuwa msomi lazima awe na shahada. Hivyo, Nyerere hakuwazidi ujanja wale wazee wala hapakuna na sababu wala. mazingira ya kufanya hivyo bali kutimiza lengo la kuikomboa nchi. Ni mawazo finyu kudhani kuwa Nyerere aliwazidi ujanja wenyeji wake kana kwamba walikuwa mafala. Tuache kuwadhalillisha wazee wetu bali kushukuru kwa kazi pevu waliyofanya. Yaliiyopita? Basi tugange yajayo badala ya kupoteza muda ku-invent the wheel. Ni ushauri tu. Mzee mwenzangu Muddy Said namkubali japo si kwa kila jambo.Ni wapi Julius Nyerere aliwazidi "ujanja" wazee wa mjini,born town na Watoto wa K'koo? Wazee wake na gwiji wetu wa historia Mohamed Said
Ukifuatilia historia na harakati za Uhuru,unaona kuwa huyu kijana wa Kizanaki,mtoto wa Chief na "mvaa kaptula" alikuja baadae sana Dsm wakati wenzake wakiwa mjini kitambo na harakati za kumuondoa Mkoloni.Wakati Julius anakuja DSM tayari harakati za Uhuru zilikuwa zimepamba moto.
Maelezo mengi ya Wazee yanaonyesha Julius aliaminiwa mapema sana na kupewa madaraka ndani ya chama na hatimaye baadae kuja kuwa Rais wa TAA/TANU na hatimaye nchi.Vijana wenzake waliompokea mjini wakebaki kuwa wao wao watoto wao na wajukuu wao kuwa Julius baada ya Uhuru "aliwasahu"
Wazee wengi wanahisi Julius aliwazidi ujanja na kuwaweka kando baada ya kuchukua nchi.Mitaa ya Kata ya Ng'ambo Tabora,miaka kumi iliyopita nilipata kuwaona wazee wawili,wajanja wa mjini waliompokea Nyerere ktk harakati zake mkoa wa Tabora.Mzee mmoja akiitwa Pacha,akiishi eneo la "filter" pembeni ya kilabu moja maarufu ya pombe mjini Tabora.Mzee mwingine akiitwa Rehani.Huyu kwa heshima kuna mtaa Tabora uliopewa jina lake.Unaitwa mtaa wa Rehani.Kuna Rehani A na Rehani B.
Hawa wote ukikaa nao watakuambia "Julius ni mjanja sana,alituzidi maarifa".Ukija K'koo kuna wazee wengi wapo na malalamiko na wengine wamekufa nayo.Sikumbuki ni Sykes yupi kati ya hao naowasikia.Lkn miaka miwili au mitatu iliyopita...Jijini Nairobi,kwenye Uwanja mdogo wa ndege wa maarufu kama "Wlison Airport" majira ya adhuhuri kuelekea alasiri.Nakutana na Wanawake wawili.Moja Mama wa makamo na mwingine mdada wa umri wa juu kidogo.Huyu Mama bila shaka ni mke wa marehemu na huyu wa pili bintiye.
Hawa wanajiandaa kupakia mwili wa ndugu yao,ni marehemu.Maafisa wa Uhamiaji wanatazama passport zao za kusafiria na kuona ni pass za kidiplomasia. Wanatakiwa kuusafirisha mwili wa ndugu yao kuja Dsm.Wamekodi ndege ndogo aina ya C208. Yenye uwezo wa kubeba watu wanne tu.Lakn wale wanawake wakiwa na ndugu wengine wanakubaliana kubeba maiti na wao kuja DSM.
Ndege ndogo,ktk ubanano na majonzi ya msiba wale wamama wanabanana na maiti ikiwa ndani ya mkeka kuileta Dsm.Ndege ya C206 ni ndogo sana kwa umbali wa Nairobi to Dsm, tena ukiwa na maiti,na hasa kwa wanawake.Kuuliza kwa ndugu waliobaki pale Uwanjani kufanya mpango wa kwenda Jomo Kenyatta ili waje Dsm,wanasema huyo alipata kuwa mpigania uhuru wa Tz,balozi mashuhuri na mwanadiplomasia mbobezi.
Pale pale wanaanza kung'aka kuwa hawa ni wapigania uhuru waliosahaulika na nchi,ndio maana wanabebwa na ndege ndogo aina ya C206 kurudi kwao.Ni malalamiko tu ya "kusahauliwa" muda wote wa maongezi yao.
Akija humu Mzee wangu Mohamed Said, atakutajia kina Mshume Kiyate(?), atataja kina Dosa, mara kina Tewa Said Tewa na wengine wengi kuwa hawa nao hawakufaidi matunda ya Uhuru. Hivi kwani huyu Julius alikuwa na ujanja kiasi gani hawa wote akawaingiza "mjini" wakati wao ndio waliompokea?
Nilitembelea Kilwa,kule kuna Kilwa ya Kivinje na Kilwa Kipatini. Huku Kilwa Kipatini ndio kwao na Kingunge.Huku kuna Kanisa kongwe sana la miaka mingi walijenga Wajerumani. Kanisa hili ndipo alibatizwa Kingunge N. Mwiru. Wengi hudhanj Kingunge hakuwahi kuwa na dini kabisaaa. Kumbe huyu ni mbatizwa ktk Kristo, kabla ya kwenda Usoviet na kuachana na dini.Lkn kwa kubatizwa huyu anaitwa "Ambrose Ngombare Mwiru".
Huku Kivinje kuna watu nao wanasema "Julius alituzidi ujanja". Hivi huu "ujanja" waliozidiwa hawa wote ni kwa sbb ya nini? Ni kwanini walimpokea na kumpa uongozi halafu baadae walalamike?Kwanini wasingemnyima?Je baada ya Uhuru hawa "walalamishi" wote walitaka Julius afanye nini ili walidhike?
Leo ninaomba majibu, nijue, ni wapi Julius, kijana wa Kizanaki aliwazidi "ujanja" hawa vijana wa mjini wa K'koo?
Cc Ngongo UncleBen Barbarosa Ritz
Father...Hivi kweli kuna kuna haja na sababu ya kuishi katika jana wakati kesho inatokudolea macho na hatuna hata maandalizi ya kuikabili? Hakuna cha kuzidiana ujanja–––kwa muktadha wowote uliokusudia––––bali hali halisi ya wakati ule. Nyerere alikuwa msomi kuliko wale wazee hasa kama tutatumia mizania ya kikoloni kuwa msomi lazima awe na shahada. Hivyo, Nyerere hakuwazidi ujanja wale wazee wala hapakuna na sababu wala. mazingira ya kufanya hivyo bali kutimiza lengo la kuikomboa nchi. Ni mawazo finyu kudhani kuwa Nyerere aliwazidi ujanja wenyeji wake kana kwamba walikuwa mafala. Tuache kuwadhalillisha wazee wetu bali kushukuru kwa kazi pevu waliyofanya. Yaliiyopita? Basi tugange yajayo badala ya kupoteza muda ku-invent the wheel. Ni ushauri tu. Mzee mwenzangu Muddy Said namkubali japo si kwa kila jambo.
Utakuwa una kichaa fulani.Kalamu,
Haya ndiyo mambo yanayonistaajabisha mimi kila siku.
Laiti kama nisingekustahamilia nisingefika hapa nilipofika leo.
Chini ya saa moja nina group zote za historia na nimeona moja ina watu zaidi ya 1000.
Darasa la wanafunzi 1000 ni darasa kubwa sana na hili ni group moja tu.
Hawa nao watarusha kwenye magroup mengine.
Waamue mara ngapi?
Hawa tayari wananisubiri mimi nianze kufundisha.
Subra ni kitu kikubwa sana.
Nakushukuru sana kwa msaada wako.
Kalamu,Utakuwa una kichaa fulani.
Hizi ni takataka.
Takataka.Kalamu,
Nimekusikia.
Muda wote unaandika maneno hayo.
Mimi nawasikiliza na wasomaji wangu wengine.
Wao hawaoni hivyo.
![]()
Apollo Theatre
Harlem New York
Kalamu,Takataka.
Ngoja nizungumze na wasomaji, siyo wasomaji wako kama unavyoodai ikiwa ni utapeli ule ule unaokusumbua.
Msomaji, inanilazimu nieleze kwa nini nipo hapa. Usishangae kuona ninayoandika dhidi ya uhuni wa huyu mzee.
Sikubaliani na lolote analosimamia,
Sababu inayofanya niendelee kuwepo hapa niliahidi kwa dhati kabisa, wakati wowote akijibu nilichoandika, hiyo ni kunikaribisha nije na kumpa maneno yale yale niliyompa toka mwanzo, kwamba anayojaza humu, tena kwa kurudiarudia ni TAKATAKA.
Kwa hiyo, uwepo wangu hapa, na ninachoandika hapa ni kutimiza yale niliyoahidi kwa huyu mzee.
Naomba uelewe, bila kujali wewe unasimamia wapi kuhusu maandishi yake, sitaacha kumjibu kila mara anapojibu chochote nilichoandika hapa.
Mzee, kwa sababu zake kaona hawezi kukufikishia ujumbe anaotaka kukufikishia bila kupitia kwa jina langu. Nami nipo tayari kabisa kumpa fursa hiyo, kama ndiyo njia anayoona inafaa kukufikishia wewe takataka zake.
Kwa hiyo, amua mwenyewe utakachotaka kuamua.
Takataka kama kawaida yako.Kalamu,
Hakuna tatizo.
Tuendelee na mjadala.
Mimi nitaweka hapa kitabu changu chote wasomaji wetu In Shaa Allah wasome.
Nitaweka pia picha kama zinavyosuhubiana na yaliyoko katika kurasa.
Sikupata kufanya kitu kama hiki hapo nyuma.
Huu ni mwaka wa 25 toka kitabu kuchapwa London mwaka wa 1998.
Hadi leo kitabu kimechapwa mara nne.
Hii haijapata kutokea naelezwa na wataalamu.
Nakaribisha maswali kutoka kwa wasomaji.
Kalamu,Takataka kama kawaida yako.
Kazi yangu ni nyepesi sana.
Natimiza wajibu wangu.Kalamu,
Mimi sikutakii uzito katika mjadala huu.
Natimiza wajibu wangu.
Nipo hapa kwa mwaliko wa mzee Mohamed Said.
Anahitaji msaada wangu kumkumbusha mara kwa mara kwamba uandishi wake ni talkataka na yote anayodai katika uandishi huo ni matokeo ya kipaji alicho nacho, yaani utapeli wa kutisha.
Nitaendelea kumfanyia kazi hiyo, hadi hapo atakaporidhika mwenyewe.
Hata Babu yangu Mzee Tambaza pia alisahaulika, lkn ukifuatilia historia za harakati za Uhuru kwa Dar es salaam! ambako vugu vugu lilikuwa juu kiasi ukitofautisha na maeneo mengine, wanadai Kambarage aliwazidi ujanja Babu zetu kwa ulaghai wa Kuunda Serikali kwa usawa wa nusu kwa Nusu, akimaanisha Waislam na Wakristo, lkn inasemekana baada ya Uhuru kupatikana akawageuka na kuwasaliti, kiasi cha Mzee wetu wa pale Ilala Suleiman Taqadiri kuitwa Suleiman Mtakadini[emoji24][emoji24], nasikia mzee Taqadir alikuwa amejielekeza sana kwa Mungu wake na akawa anasali ili Mungu amchukue asije shuhudia hayo ya baadae! Mungu alipokea dua yake na akaaga Dunia.Ni wapi Julius Nyerere aliwazidi "ujanja" wazee wa mjini,born town na Watoto wa K'koo? Wazee wake na gwiji wetu wa historia Mohamed Said
Ukifuatilia historia na harakati za Uhuru,unaona kuwa huyu kijana wa Kizanaki,mtoto wa Chief na "mvaa kaptula" alikuja baadae sana Dsm wakati wenzake wakiwa mjini kitambo na harakati za kumuondoa Mkoloni.Wakati Julius anakuja DSM tayari harakati za Uhuru zilikuwa zimepamba moto.
Maelezo mengi ya Wazee yanaonyesha Julius aliaminiwa mapema sana na kupewa madaraka ndani ya chama na hatimaye baadae kuja kuwa Rais wa TAA/TANU na hatimaye nchi.Vijana wenzake waliompokea mjini wakebaki kuwa wao wao watoto wao na wajukuu wao kuwa Julius baada ya Uhuru "aliwasahu"
Wazee wengi wanahisi Julius aliwazidi ujanja na kuwaweka kando baada ya kuchukua nchi.Mitaa ya Kata ya Ng'ambo Tabora,miaka kumi iliyopita nilipata kuwaona wazee wawili,wajanja wa mjini waliompokea Nyerere ktk harakati zake mkoa wa Tabora.Mzee mmoja akiitwa Pacha,akiishi eneo la "filter" pembeni ya kilabu moja maarufu ya pombe mjini Tabora.Mzee mwingine akiitwa Rehani.Huyu kwa heshima kuna mtaa Tabora uliopewa jina lake.Unaitwa mtaa wa Rehani.Kuna Rehani A na Rehani B.
Hawa wote ukikaa nao watakuambia "Julius ni mjanja sana,alituzidi maarifa".Ukija K'koo kuna wazee wengi wapo na malalamiko na wengine wamekufa nayo.Sikumbuki ni Sykes yupi kati ya hao naowasikia.Lkn miaka miwili au mitatu iliyopita...Jijini Nairobi,kwenye Uwanja mdogo wa ndege wa maarufu kama "Wlison Airport" majira ya adhuhuri kuelekea alasiri.Nakutana na Wanawake wawili.Moja Mama wa makamo na mwingine mdada wa umri wa juu kidogo.Huyu Mama bila shaka ni mke wa marehemu na huyu wa pili bintiye.
Hawa wanajiandaa kupakia mwili wa ndugu yao,ni marehemu.Maafisa wa Uhamiaji wanatazama passport zao za kusafiria na kuona ni pass za kidiplomasia. Wanatakiwa kuusafirisha mwili wa ndugu yao kuja Dsm.Wamekodi ndege ndogo aina ya C208. Yenye uwezo wa kubeba watu wanne tu.Lakn wale wanawake wakiwa na ndugu wengine wanakubaliana kubeba maiti na wao kuja DSM.
Ndege ndogo,ktk ubanano na majonzi ya msiba wale wamama wanabanana na maiti ikiwa ndani ya mkeka kuileta Dsm.Ndege ya C206 ni ndogo sana kwa umbali wa Nairobi to Dsm, tena ukiwa na maiti,na hasa kwa wanawake.Kuuliza kwa ndugu waliobaki pale Uwanjani kufanya mpango wa kwenda Jomo Kenyatta ili waje Dsm,wanasema huyo alipata kuwa mpigania uhuru wa Tz,balozi mashuhuri na mwanadiplomasia mbobezi.
Pale pale wanaanza kung'aka kuwa hawa ni wapigania uhuru waliosahaulika na nchi,ndio maana wanabebwa na ndege ndogo aina ya C206 kurudi kwao.Ni malalamiko tu ya "kusahauliwa" muda wote wa maongezi yao.
Akija humu Mzee wangu Mohamed Said, atakutajia kina Mshume Kiyate(?), atataja kina Dosa, mara kina Tewa Said Tewa na wengine wengi kuwa hawa nao hawakufaidi matunda ya Uhuru. Hivi kwani huyu Julius alikuwa na ujanja kiasi gani hawa wote akawaingiza "mjini" wakati wao ndio waliompokea?
Nilitembelea Kilwa,kule kuna Kilwa ya Kivinje na Kilwa Kipatini. Huku Kilwa Kipatini ndio kwao na Kingunge.Huku kuna Kanisa kongwe sana la miaka mingi walijenga Wajerumani. Kanisa hili ndipo alibatizwa Kingunge N. Mwiru. Wengi hudhanj Kingunge hakuwahi kuwa na dini kabisaaa. Kumbe huyu ni mbatizwa ktk Kristo, kabla ya kwenda Usoviet na kuachana na dini.Lkn kwa kubatizwa huyu anaitwa "Ambrose Ngombare Mwiru".
Huku Kivinje kuna watu nao wanasema "Julius alituzidi ujanja". Hivi huu "ujanja" waliozidiwa hawa wote ni kwa sbb ya nini? Ni kwanini walimpokea na kumpa uongozi halafu baadae walalamike?Kwanini wasingemnyima?Je baada ya Uhuru hawa "walalamishi" wote walitaka Julius afanye nini ili walidhike?
Leo ninaomba majibu, nijue, ni wapi Julius, kijana wa Kizanaki aliwazidi "ujanja" hawa vijana wa mjini wa K'koo?
Cc Ngongo UncleBen Barbarosa Ritz
Nimeshindwa kujua ni hoja gani hasa iliyo nyuma ya uzi huu. Mwandishi wa uzi anataka kutupa ujumbe gani? Ni la maana lipi Great Thinkers wa jamvi hili watatoka lao kwa kutafakari uzi huu?Ni wapi Julius Nyerere aliwazidi "ujanja" wazee wa mjini,born town na Watoto wa K'koo? Wazee wake na gwiji wetu wa historia Mohamed Said

Ng'wa....Nimeshindwa kujua ni hoja gani hasa iliyo nyuma ya uzi huu. Mwandishi wa uzi anataka kutupa ujumbe gani? Ni la maana lipi Great Thinkers wa jamvi hili watatoka lao kwa kutafakari uzi huu?
MAISHA NA NYAKATI ZA ABDULWAHID SYKES
(1924 – 1968)
1
SHUKRANINinatoa shukrani kwa waasisi walioleta mabadiliko ya siasa katika sehemu za kusini ya Tanganyika, Said Alley Mwalimu na marehemu Mohamed Ali Abdallah ‘’Makarios’’ wote wawili wanatoka Mikindani; na kwa Salum Mpunga na Yusufu Chembera wa Lindi wote hawa sasa ni marehemu.
Watu hawa wamenisaidia sana kwa kunieleza maisha yao katika siasa wakati wa ukoloni katika majimbo ya kusini; na kwa Tewa Said Tewa, Dossa Aziz, Zuberi Mtemvu na Sheikh Haidar Mwinyimvua kutoka Dar es Salaam halikadhalika wote hawa sasa ni marehemu.
Natoa shukuruni kwa marehemu Yusuf Olotu maarufu kwa jina la Yusuf Ngozi wa Moshi; Mohamed Kajembe, Rashid Sembe na Mmaka Omar wote hawa kutoka Tanga na wote sasa ni marehemu, kwa kunipa maelezo ambayo si wengi wanayajua kuhusu hali ilivyokuwa wakati wa ukoloni.
Ninatoa shukurani vilevile kwa Omar Suleiman, Haruna Taratibu na kwa marehemu Hassan Suleiman, kiongozi shupavu aliyeishi kati ya Vita Kuu mbili za dunia.
Vilevile nilipata bahati ya kuongea na marehemu Germano Pacha, katibu wa mwisho wa TAA Jimbo la Magharibi na muasisi wa TANU.
Pacha alinifunulia jinsi walivyounda TANU.
Halikadhalika natoa shukurani kwa marehemu Rashid Mussa ambae katika mazungumzo yetu, yeye bila kufahamu kuwa mimi ni mjukuu wa Salum Abdallah Popo alinieleza habari za babu yangu wakati anaanza siasa na jinsi alivyoongoza mgomo wa kwanza wa Tanganyika nzima pale Tabora mwaka 1947.
Napenda kutoa shukrani maalum kwa Bilal Rehani Waikela, muungwana wa Kimanyema na Muislamu wa kweli.
Waikela akiwa na umri wa miaka ishirini na tano mwaka 1955, alikuwa mmoja wa waasisi wa TANU mjini Tabora.
Waikela alinieleza jinsi Waislam kwa umoja wao walivyomuunga mkono Julius Nyerere na harakati za uhuru.
Vilevile alinieleza kwa muhtasari siku zake kizuizini pamoja na babu yangu Salum Abdallah katika gereza la Uyui, Tabora kwa kile kilichoitwa kosa la ‘’kuchanganya dini na siasa.’’
Nina deni kubwa kwake kwa kunipa picha za wakati ule na nyaraka zake binafsi juu ya ‘’mgogoro,’’ wa EAMWS uliozushwa mara baada ya Tanganyika kupata uhuru wake mwaka wa 1961.
Natoa shukrani kwa Waikela kwa kunitia hima na kunipa moyo kuandika kitabu hiki.
Waikela tofauti na watu wengine waliozungumza na mimi aliniruhusu pia kumnukuu kwa jina bila ya woga wowote.
Alifurahi kuona kwamba historia ya kweli ilikuwa inaandikwa na habari alizonieleza zitakuja kutumika katika kuhifadhi historia ya nchi yetu kwa faida ya vizazi vijavyo.
Vilevile Waikela alinikutanisha na wazalendo wengine kama Mohamed Mangiringi, marehemu Ramadhani Singo na wengineo ambao nilizungumzanao kwa kirefu.
Itaendelea In Shaa Allah…
Kalamu,Takataka toka kwenye mlima wa taka.
Mzee Mohamed Said, taka zinaendelea kumiminika hapa JF.Kalamu,
MAISHA NA NYAKATI ZA ABDULWAHID KLEIST SYKES
(1924 – 1968)
2
Kazi hii isingewezekana kama isingekuwa kwa msaada wa hali na mali nilioupata toka kwa Ally Sykes.
Ally Sykes alinipa wasaa wa kuzungumzanae kila nilipotaka, akanieleza madhila ya ukoloni pamoja na kuwa ni mtu wa shughuli nyingi.
Yeye hivi sasa anaendesha biashara yake toka ofisi yake iliyoko katikati ya mji wa Dar es Salaam.
Aliniruhusu nisome majalada yake binafsi, barua zake, shajara na kumbukumbu nyinginezo za ukoo wa Sykes.
Ally Sykes alinifahamisha kuwa kumbukumbu hizi zilikuwa ndani ya sefu ambayo haikupatwa kufunguliwa kwa zaidi ya miaka therathini.
Nikiyapitia majalada yake nilishangazwa na utaratibu wa Ally Sykes wa kupanga kila kitu na kila kipande cha habari mahali pake hata kingekuwa kidogo namna gani wakati ule wa harakati.
Ally Sykes ana barua ya mwaka 1954 iliyoandikwa kwa penseli kutoka kwa Zuberi Mtemvu kwenda kwake akimtaarifu juu ya mazungumzo aliyokuwanayo (Mtemvu) na Nyerere kuhusu yeye na TANU; stakabadhi ya hundi ya posta toka kwa Ally Sykes kwenda kwa Japhet Kirilo wakati wa Mgogoro wa Ardhi ya Wameru; nakala ya barua isiyokuwa na tarehe kutoka TAA kwenda kwa Malkia Elizabeth iliyotiwa saini na viongozi wote wa TAA: Rais Julius Nyerere, Makamu wa Rais Abdulwahid Sykes, Katibu Mkuu Dome Okochi, Naibu Katibu Dossa Aziz, Mweka Hazina John Rupia, Naibu Mweka Hazina Ally Sykes ikimpongeza Malkia kwa kutawazwa; barua ya mwaka 1952 toka kwa Rashid Mfaume Kawawa kutoka Bukoba kwenda kwa Ally Sykes ikimfahamisha juu ya hali ya siasa katika Kanda ya Ziwa; barua ya mwaka 1963 toka kwa Lady Judith Listowel, Kenneth Kaunda, Julius Nyerere, Kasela Bantu, Chifu Thomas Marealle ...orodha haina mwisho.
Baadaye nilipofanya utafiti kuhusu maisha ya baba yake, Kleist Sykes, nilikuja kufahamu kwamba tabia hii ilirithiwa kutoka kwa baba yake ambae alikuwa akiweka ndani ya jalada kila kipande cha karatasi kilichokuwa na habari iliyostahili kukumbukwa.
Ni jambo la kuhuzunisha kwamba sikuweza kupewa shajara za Abdulwahid ambazo nilielezwa kwamba baadhi ziko katika hati-mkato na hadi leo hazijafasiriwa.
Shajara hizi nimezioana kwa macho yangu lakini kwa kukosa idhini sikuweza kuzifungua na kuzisoma.
Vilevile sikuweza kupata kumbukumbu halisi za Vita Kuu ya Kwanza zilizoandikwa na Kleist Sykes kwa mkono wake mwenyewe.
Hapana shaka yoyote kwamba nyaraka hizi ni hazina zenye thamani isiyo na mfano wake.
Ni matumaini yangu kwamba siku moja nchi yetu itakubali na kuthamini mchango wa Abdulwahid katika taifa la Tanzania na nyaraka hizi kama kielelezo cha harakati dhidi ya ukoloni, zitakubalika na zitawekwa chini ya hifadhi ya Nyaraka za Taifa kwa faida ya vizazi vijavyo.
Kwa miaka kadhaa nimekuwa na mazungumzo na watu mbalimbali katika ukoo wa Sykes na nimeweza kupata mambo mengi muhimu kutokana na mazungumzo yetu ya kawaida tu.
Matokeo ya yote haya ni ile yakini kuwa hii ni simulizi sahihi ya maisha na nyakati za Abdulwahid Sykes; na wazalendo wengine waliosahauliwa ambao taifa letu, Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Julius Nyerere wana deni kubwa kwao kwa namna moja au nyingine.
Ninapenda kuwashukuru wale wote waliokubali kuwahojiwa nami lakini wameomba nistiri majina yao.
Na kwa wale waliokataa kuzungumza nami kuhusu somo hili si kwa ubaya bali kwa hofu, na kwa wachapaji walioogopa kuchapisha kitabu hiki na vilevile kwa wale walioona bora kukaa kimya, lazima nikubali, kwamba hao wote kwa ujumla wao na kwa namna yao ya ajabu wamechangia katika kufanikisha kitabu hiki.
Mwisho napenda kutoa shukurani maalum kwa rafiki yangu Faraj Abdallah Tamim ambaye fikra na mawazo yake yameingiliana sana na yangu katika kazi hii kiasi kwamba nashindwa kupambanua fikra zake kutoka zangu.
Naweza kupambanua fikra zake toka zangu pale tu ninaposoma na kuona katika maandishi yangu mpangilio wa mawazo na fikra kwa ustadi.
Wanaomfahamu Tamim wanakijua kipaji chake cha mawazo usiyoweza kuyalinganisha na yangu kutokana na ufasaha na mtiririko wa maneno ambao umo ndani ya kitabu hiki na katika rejea zangu neno kwa neno.
Kisha namshukuru rafiki yangu mwema na jirani yangu Saeed Bamumin.
Yeye alinisabilia kompyuta na nyumba yake ambayo niliifanya mahali pa kujificha ili nifanye kazi katika hatua za mwisho za kuandika kitabu hiki.
Nina deni kubwa kwake kwa ukarimu na hisani yake juu yangu.
Vilevile nawashukuru wale ambao kwa miaka mingi wamekuwa karibu nami na kamwe hawakuchoka kusikiliza ‘’mihadhara’’ yangu juu ya shujaa wangu, marehemu Abdulwahid Sykes na wazalendo wengine.
Katu haikuwa nia yangu kuandika kitabu na wengi katika wale waliopata kuzungumza nami kwa faragha watashangaa kuona kwamba baadhi ya mazungumzo yao na mimi yapo hadharani kwenye kitabu hiki.
Ninaamini kuwa nimeyatumia mazungumzo yetu kwa jambo lenye manufaa na kwa ajili hii basi hawatakereka.
Dar es Salaam.
Ijumaa 11/8/1995.
Kalamu,Mzee Mohamed Said, taka zinaendelea kumiminika hapa JF.
Taka ni zako siyo za hao wenye picha.Kalamu,
View attachment 2561668
Yusuf Olotu
View attachment 2561670
Julius Kambarage Nyerere
View attachment 2561673