Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujajibuyaan speaker ambae pia anaweza kuwa Rais au kukaimu urais ikiwa Rais hayupo nchini unahoji kutumia dege la Jeshi?
au hukusoma uraia,ikiwa Rais hayupo nani na nani wanaweza kukalia kiti kwa Mujibu wa katriba..
Kuna mtu kutoka Executive, Mwingine kutoka Judiciary na Mwingine kutoka Legislative wanaweza tumia midege ya Jeshi kwasabb wanastahili kuwa marais at any time kulingana na katiba na hivyo wako privileged....Hujajibu
View: https://youtu.be/QpjJUS9j8bA?si=23PDukF0dobSkA4D
Haya ni matumizi mabaya ya vyombo vya jeshi.
Ni kinyume na sheria!
Ni kinyume na katiba!
unaweza ukaweka kifungu chochote ?Umesema ni Jeshi la Wananchi! Yule ni mkuu wa kati ya mihimili 3 nchini hivyo hakuna ajabu hapo!
ukweli ni upi ?jamaa muongo wewe dah
ndio maana Elimu ya Katiba inatakiwa kutolewa miaka mitano safi,ukweli ni upi ?
Kwamba ukiwa Spika tayari umekuwa kaimu Rais ? labda uwadanganye wajinga wenziondio maana Elimu ya Katiba inatakiwa kutolewa miaka mitano safi,
kama mtu haelewi nani ni nani baada ya nani kutoka muhimili gani na ana sifa ya nini na wap
kweli wew unajua kwamba kuna executive, judiciary na legislature? au unajua tume ya uchaguzi tyuuuu 😜Kwamba ukiwa Spika tayari umekuwa kaimu Rais ? labda uwadanganye wajinga wenzio
Tangu upate akili ni lini nchi hii iliwahi kuongozwa na Spika ?kweli wew unajua kwamba kuna executive, judiciary na legislature? au unajua tume ya uchaguzi tyuuuu 😜
elewa kwamba Makamu wa Rais, Speaker wa Bunge au Jaji Mkuu wanaweza kuongoza nchi endapo Rais hayupo kwasabb yeyeote ile.....Kwamba ukiwa Spika tayari umekuwa kaimu Rais ? labda uwadanganye wajinga wenzio
kazi ni kubwa sana kupata katiba mpya.Tangu upate akili ni lini nchi hii iliwahi kuongozwa na Spika ?
Speaker yupo katika mihimili mi3 mikuu ya serikali.. udimchukulie poa mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]Ikiwa kama Jeshi la Wananchi wa Tanzania linakataza kabisa Raia wa Nchi hiyo kuvaa nguo zinazofanana na sare zake , huku likichukua hatua kadhaa za kuwadhalilisha waliozivaa kwa kuwavua nguo hizo hadharani na kuwaacha uchi wa mnyama , Inawezekanaje Jeshi hilo hilo likamwazima Ndege halisi ya kijeshi ( siyo inayofana ) Raia ?
Sijui kama naeleweka , Ni hivi , inakuwaje Raia aliyekatazwa kuvaa fulana ya Jeshi la Marekani aliyoinunua kwenye mitumba , kama zile walizozivaa Wenge Musica kwenye Album ya Pentagon , lakini aruhusiwe kutumia vifaa halisi vya kijeshi ikiwemo Ndege ( hatujui kama kwenye ndege ile mlikuwa na makombora yaliyobebwa au la )
Naomba Majibu .
View attachment 2810972
Haya nenda kapande na mumeo kama ni rahisiHata wewe kwenye Mafuriko unapanda.
Huyo amekuja kama shujaa akitoka kuiwakilisha Taifa, Hiyo Jesgi la wananchi wamempa heshima(hajaomba) ya kumsafirisha mpaka jimboni kwake.
Kumbuka huyu ni Kiomgozi wa Mhimili mzee, Anayeweza kushika madaraka ya kuongoza nchi.
Yanga walialikwa Ikulu na mkuu wa nchi, sasa kama amiri jeshi mkuu aliagiza apewe hiyo heshima kuna shida.
Yanga wakichukua Champions League Africa, wakirudi wakapokelewa na kupelekwa dodoma kwa ndege ya jeshi kama heshima ni vibaya.?
Mbona tunapandaga Defender kama lift?
Vipi pale Mwenge , hujawagi ona Raia wamepewa lift kwenye Karandinga au Bus ya JWTZ?
Tuache ujinga , hilo ni jeshi la Wananchi wa Tanzania, lipo kwa ajili yetu.
Ndugai kabla ya kutimuliwa alikuwa Mhimili gani ?Speaker yupo katika mihimili mi3 mikuu ya serikali.. udimchukulie poa mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]
Au ukisikia MTU Ni yupo usalama WA taifa huwa unawaza huyo MTU yupoje?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ikiwa kama Jeshi la Wananchi wa Tanzania linakataza kabisa Raia wa Nchi hiyo kuvaa nguo zinazofanana na sare zake , huku likichukua hatua kadhaa za kuwadhalilisha waliozivaa kwa kuwavua nguo hizo hadharani na kuwaacha uchi wa mnyama , Inawezekanaje Jeshi hilo hilo likamwazima Ndege halisi ya kijeshi ( siyo inayofana ) Raia ?
Sijui kama naeleweka , Ni hivi , inakuwaje Raia aliyekatazwa kuvaa fulana ya Jeshi la Marekani aliyoinunua kwenye mitumba , kama zile walizozivaa Wenge Musica kwenye Album ya Pentagon , lakini aruhusiwe kutumia vifaa halisi vya kijeshi ikiwemo Ndege ( hatujui kama kwenye ndege ile mlikuwa na makombora yaliyobebwa au la )
Naomba Majibu .
View attachment 2810972
Kama ni hivyo ni kipi kilifanya Ndugai atimuliwe mithili ya nyau aliyekunywa maziwa ya mtoto njiti ?elewa kwamba Makamu wa Rais, Speaker wa Bunge au Jaji Mkuu wanaweza kuongoza nchi endapo Rais hayupo kwasabb yeyeote ile.....
so wako entitled na privileged kutumia resources ikiwa ni pamoja na midege ya Jeshi hada dege la Rais kwasabb yeyeote ile.
Ndio maana siku zingine huko nyuma mlisema dege la Rais sijui limeonekana nchi gani huko, that was speaker looking for endorsement and IPU votes