Ni kwa namna gani Raia anaweza kutumia Ndege ya Kijeshi kwa Shughuli binafsi ?

Ni kwa namna gani Raia anaweza kutumia Ndege ya Kijeshi kwa Shughuli binafsi ?

Ikiwa kama Jeshi la Wananchi wa Tanzania linakataza kabisa Raia wa Nchi hiyo kuvaa nguo zinazofanana na sare zake , huku likichukua hatua kadhaa za kuwadhalilisha waliozivaa kwa kuwavua nguo hizo hadharani na kuwaacha uchi wa mnyama , Inawezekanaje Jeshi hilo hilo likamwazima Ndege halisi ya kijeshi ( siyo inayofana ) Raia ?

Sijui kama naeleweka , Ni hivi , inakuwaje Raia aliyekatazwa kuvaa fulana ya Jeshi la Marekani aliyoinunua kwenye mitumba , kama zile walizozivaa Wenge Musica kwenye Album ya Pentagon , lakini aruhusiwe kutumia vifaa halisi vya kijeshi ikiwemo Ndege ( hatujui kama kwenye ndege ile mlikuwa na makombora yaliyobebwa au la )

Naomba Majibu .

View attachment 2810972

========
Hapo awali jeshi la wananchi liliwahi kutoa waraka huu hapa

View attachment 2811662
Keki ya Taifa
 
Kwamba kabla ya Tulia hakukuwa na maspika waliomtangulia ?
Huyu wa sasa ni raisi wa mabunge yote duniani. Hivyo jeshi letu la JWT lazima limulinde kwa namna yo yote ile. Sugu kama bado munampenda, mutafutieni jimbo lingine la kugombea ubunge mbali na raisi wa mabunge duniani.
 
Ujinga mtupu !
 
Back
Top Bottom