92 jerrie
JF-Expert Member
- Feb 28, 2022
- 7,273
- 16,705
Ni raia akiwa kwake ila huyo ni kiongozi wa muhimili mkubwa kabisa nakushangaa unaposema raia wakati pale ni kiongozi. Unasumbuliwa na ugonjwa wa wivu alafu hayo madude ya jeshi mbona tunayachezea sana ww tu na ushamba wako unaona wajeda kama mungu vile kumbe ni masela na lifti wanatoa kw araia ije kua maagizo kutoka kwa amir mkuu wa jeshi.