Ni kwa namna gani Raia anaweza kutumia Ndege ya Kijeshi kwa Shughuli binafsi ?

yaan speaker ambae pia anaweza kuwa Rais au kukaimu urais ikiwa Rais hayupo nchini unahoji kutumia dege la Jeshi?

au hukusoma uraia,ikiwa Rais hayupo nani na nani wanaweza kukalia kiti kwa Mujibu wa katriba..
Hujajibu
 
Halafu wanakuja kusema nyenyenye mambo ya kijeshi hajadiliwi hadharani. Wanatuona washenzi sana hawa viongozi na wenye power by law nchi hii.
 
Umesema ni Jeshi la Wananchi! Yule ni mkuu wa kati ya mihimili 3 nchini hivyo hakuna ajabu hapo!
 
Kuna mtu kutoka Executive, Mwingine kutoka Judiciary na Mwingine kutoka Legislative wanaweza tumia midege ya Jeshi kwasabb wanastahili kuwa marais at any time kulingana na katiba na hivyo wako privileged....

Waziri wa ulinzi na hata wa mambo ya ndani wanaweza kutumia midege ya Jeshi pia....

haina maana mawaziri wengine hawaruhusiwi la hashaa wanaruhusiwa.

Zingatia pia, ni wakati gani unaweza tenganisha urais na mambo yake binafsi? hilo haliwezekani na halitakuepo
 
ndio maana Elimu ya Katiba inatakiwa kutolewa miaka mitano safi,
kama mtu haelewi nani ni nani baada ya nani kutoka muhimili gani na ana sifa ya nini na wap
Kwamba ukiwa Spika tayari umekuwa kaimu Rais ? labda uwadanganye wajinga wenzio
 
Kwamba ukiwa Spika tayari umekuwa kaimu Rais ? labda uwadanganye wajinga wenzio
kweli wew unajua kwamba kuna executive, judiciary na legislature? au unajua tume ya uchaguzi tyuuuu 😜
 
Kwamba ukiwa Spika tayari umekuwa kaimu Rais ? labda uwadanganye wajinga wenzio
elewa kwamba Makamu wa Rais, Speaker wa Bunge au Jaji Mkuu wanaweza kuongoza nchi endapo Rais hayupo kwasabb yeyeote ile.....

so wako entitled na privileged kutumia resources ikiwa ni pamoja na midege ya Jeshi hada dege la Rais kwasabb yeyeote ile.
Ndio maana siku zingine huko nyuma mlisema dege la Rais sijui limeonekana nchi gani huko, that was speaker looking for endorsement and IPU votes
 
Tangu upate akili ni lini nchi hii iliwahi kuongozwa na Spika ?
kazi ni kubwa sana kupata katiba mpya.
mi nadhani Elimu itolewe polepole, taratibu sana kwa miaka 10 kama watu ndio hawa
 
Speaker yupo katika mihimili mi3 mikuu ya serikali.. udimchukulie poa mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]

Au ukisikia MTU Ni yupo usalama WA taifa huwa unawaza huyo MTU yupoje?
 
Haya nenda kapande na mumeo kama ni rahisi
 
Speaker yupo katika mihimili mi3 mikuu ya serikali.. udimchukulie poa mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]

Au ukisikia MTU Ni yupo usalama WA taifa huwa unawaza huyo MTU yupoje?
Ndugai kabla ya kutimuliwa alikuwa Mhimili gani ?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kama ni hivyo ni kipi kilifanya Ndugai atimuliwe mithili ya nyau aliyekunywa maziwa ya mtoto njiti ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…