Hizo stand up comedy huwa naziangalia huwa sielewi masista du na matoz wanaoenda humo ukumbini huwa wanacheka nini?!Akili za comedians wengi zinawaza ngono tu kwenye stand up comedy mada ni ngono,regular na VIP, maskini na tajiri.
Ukitoa hizo mada hapo hamna kingine,wakati mwingine mnajilazimisha kucheka kuficha aibu anayoleta comedian
Hili ni tatizo kubwa saaaana. Mziki ni kitu Cha kafurahia na familia yote lakini Hawa wasanii uchwara wameona waongeze na ngono laini ,(soft porn) Ili kuongeza umaarufu wa kijinga na kishetaniImekuwa too much sasa,
Kitu pekee cha kuangalia na watoto ni katuni na mpira
Mambo mengine kama miziki, Muviz, Comedy, n.k. uwe na remote ipo mkononi, kuna uwezekano wa 90% kutakuwa na maudhui ya ngono, vilevi, lugha chafu, n.k.
Akili za comedians wengi zinawaza ngono tu kwenye stand up comedy mada ni ngono,regular na VIP, maskini na tajiri.
Ukitoa hizo mada hapo hamna kingine,wakati mwingine mnajilazimisha kucheka kuficha aibu anayoleta comedian
Mkuu labda wengine wanaenda kwa kuinga kama mambele huko couple kutoka pamoja, ukiangalia standup comedy ya Nigeria au Kenya wanachekesha na unajifunza kitu kipyaHizo stand up comedy huwa naziangalia huwa sielewi masista du na matoz wanaoenda humo ukumbini huwa wanacheka nini?!
Ni aibu tupuMfano Jana Kuna comedian mara akaanza kuzungumzia kijampošsijui kinyampo Dah nilichoka mwingine akazungumzia popo Bawa Yan unajikuta unatukana kimoyo kimoyo
BAKITA yenye dhamana iko hoi bin taaban! Haijitambui haijiwezi..Imekuwa too much sasa,
Kitu pekee cha kuangalia na watoto ni katuni na mpira
Mambo mengine kama miziki, Muviz, Comedy, n.k. uwe na remote ipo mkononi, kuna uwezekano wa 90% kutakuwa na maudhui ya ngono, vilevi, lugha chafu, n.k.
Mleta mada we Acha tu, UKIWA wewe umeamua kuficha mie naanza na kipindi cha Jana wanajiita Watubaki yani hao wachekeshaji. Mchekeshaji Mara baltasar akaunga na kwenye jumuiya mwenyekiti aliangalia mpaka ya 46 natafuta remote mwenzake anadakia Mama naye anasema video mpaka ya 300 uko. .Imekuwa too much sasa,