Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 29,909
- 32,414
Hizo stand up comedy huwa naziangalia huwa sielewi masista du na matoz wanaoenda humo ukumbini huwa wanacheka nini?!Akili za comedians wengi zinawaza ngono tu kwenye stand up comedy mada ni ngono,regular na VIP, maskini na tajiri.
Ukitoa hizo mada hapo hamna kingine,wakati mwingine mnajilazimisha kucheka kuficha aibu anayoleta comedian