Ni kwamba imeshindikana kutengeneza miziki, comedy, n.k. bila vionjo vya Ngono, Vilevi, n.k. ? Tunapata taabu sana kuangalia tv na watoto

Akili za comedians wengi zinawaza ngono tu kwenye stand up comedy mada ni ngono,regular na VIP, maskini na tajiri.

Ukitoa hizo mada hapo hamna kingine,wakati mwingine mnajilazimisha kucheka kuficha aibu anayoleta comedian
Hizo stand up comedy huwa naziangalia huwa sielewi masista du na matoz wanaoenda humo ukumbini huwa wanacheka nini?!
 
uko sahihi mkuu.. sijui itakuaje tukifika 2030.
Kibaya zaid, watoto mpaka wamekariri mashairi ya hizo nyimbo.
 
Imekuwa too much sasa,

Kitu pekee cha kuangalia na watoto ni katuni na mpira

Mambo mengine kama miziki, Muviz, Comedy, n.k. uwe na remote ipo mkononi, kuna uwezekano wa 90% kutakuwa na maudhui ya ngono, vilevi, lugha chafu, n.k.
Hili ni tatizo kubwa saaaana. Mziki ni kitu Cha kafurahia na familia yote lakini Hawa wasanii uchwara wameona waongeze na ngono laini ,(soft porn) Ili kuongeza umaarufu wa kijinga na kishetani
 
Mfano Jana Kuna comedian mara akaanza kuzungumzia kijampo😂sijui kinyampo Dah nilichoka mwingine akazungumzia popo Bawa Yan unajikuta unatukana kimoyo kimoyo
Akili za comedians wengi zinawaza ngono tu kwenye stand up comedy mada ni ngono,regular na VIP, maskini na tajiri.

Ukitoa hizo mada hapo hamna kingine,wakati mwingine mnajilazimisha kucheka kuficha aibu anayoleta comedian
 
Hizo stand up comedy huwa naziangalia huwa sielewi masista du na matoz wanaoenda humo ukumbini huwa wanacheka nini?!
Mkuu labda wengine wanaenda kwa kuinga kama mambele huko couple kutoka pamoja, ukiangalia standup comedy ya Nigeria au Kenya wanachekesha na unajifunza kitu kipya
 
Mfano Jana Kuna comedian mara akaanza kuzungumzia kijampo😂sijui kinyampo Dah nilichoka mwingine akazungumzia popo Bawa Yan unajikuta unatukana kimoyo kimoyo
Ni aibu tupu
 
Imekuwa too much sasa,

Kitu pekee cha kuangalia na watoto ni katuni na mpira

Mambo mengine kama miziki, Muviz, Comedy, n.k. uwe na remote ipo mkononi, kuna uwezekano wa 90% kutakuwa na maudhui ya ngono, vilevi, lugha chafu, n.k.
BAKITA yenye dhamana iko hoi bin taaban! Haijitambui haijiwezi..
 
Imekuwa too much sasa,

Kitu pekee cha kuangalia na watoto ni katuni na mpira

Mambo mengine kama miziki, Muviz, Comedy, n.k. uwe na remote ipo mkononi, kuna uwezekano wa 90% kutakuwa na maudhui ya ngono, vilevi, lugha chafu, n.k.
Mleta mada we Acha tu, UKIWA wewe umeamua kuficha mie naanza na kipindi cha Jana wanajiita Watubaki yani hao wachekeshaji. Mchekeshaji Mara baltasar akaunga na kwenye jumuiya mwenyekiti aliangalia mpaka ya 46 natafuta remote mwenzake anadakia Mama naye anasema video mpaka ya 300 uko. .
Sijajua mamlaka zinalitizama jambo ili kwa upana kiasi gani. Ila ni moja ya majanga ya taifa ambayo tunayatengeneza kwa kulazimisha.
Tamthilia kibao ni za Hovyo
Comedy Hovyo
Music Ndio usiseme.
 
Back
Top Bottom