wastani kwa idadi
JF-Expert Member
- Jun 28, 2024
- 503
- 1,432
- Thread starter
-
- #41
Siku ni nuru na giza vikipita, Mungu aliumba dunia kw siku 6 ya 7 alipumzika, hivyo baada ya siku 7 unaanza upya kuhesabu, maneno ya jumamosi na jumapili yalikuja baadae/Najua ila why jumamosi??
Sidhani kama wayahudi walikua wanaziita jumatatu/jumanne mpaka jumapili walikua na lugha yao!
Sasa nataka kujua aliekuja kuvumbua kwamba sabato ni jumamosi isiwe ijumaa au juma3 ni nani? Maana sabato maana yake siku ya saba ya awali ambayo Mungu alipumzika baada ya kukamilisha uumbaji . Hakuna mahala ilitajwa ni jumamosi ama lazima iwe jumamosi!
Weka aya ya Biblia inayoeleza kuwa sabato inaanza IJUMAA jioni mpaka JUMAMOSI.Mambo ya kujua dunia ina siku tayari yalikuwemo kwenye maagano ya kale, nuru na giza ndio siku moja, siku ya 7 Mungu akapumzika ni kwamba baada ya hapo huanza upya kuzihesabu.
Na sio kwamba ni jumamosi bali kwa muda mwingi inaangukia jumamosi,
Sabato inaanza jua linapokaribia kuzama siku ya ijumaa mpaka jumamosi lisaa baada ya jua kuzama.
Mungu anajua mwenyewe kwanini aliamua iwe hivi na ndio utaratibu uliofatwa na kina Musa na Yesu.
Siku ni nuru na giza vikipita, Mungu aliumba dunia kw siku 6 ya 7 alipumzika, hivyo baada ya siku 7 unaanza upya kuhesabu, maneno ya jumamosi na jumapili yalikuja baadae/Nimesoma Bible mwanzo mpaka ufunuo, hakuna neno jumamosi wala jumapili.
Mungu aliamuru kuwa siku ya saba iwe siku ya sabato, maana yake watu wa Israel wanaweza kuamua kuwa jumamosi ndiyo siku yao ya saba na itakuwa sabato.
Watu wa America wanaweza kuamua alhamisi iwe siku yao ya saba na hivyo ikawa sabato.
Ulijuaje kama Sabato ni siku ya Jumamosi na wala siyo Ijumaa aua Jumapili; leta ushahidi.Moja ya amri kumi ni kuabudu siku ya sabato, Siku takatifu iliyotengwa na Mungu kuturuhusu KUPUMZIKA nasi tunamshukuru kwa kujumuika kwenye shughuli za kumshukuru na kumuabudu kisha tunarudi makwetu kupumzika, Kila siku ni siku ya Mungu lakini sio kila siku ni sabato kwasababu si kila siku ya kupumzika, kazi nazo muhimu.
Ni tangu enzi za Nabii Musa alieshuka na amri 10 aliabudu sabato siku ya Jumamosi, Hata Yesu aliikuta siku hio na kuiabudu na hadi sasa ukienda Israel siku ya jumamosi maduka hufungwa.
Inashangaza kuona baadhi ya wakristo wanaabudu jumapili wakati sio siku ya sabato
Kwahiyo mimi nikiamua kufanya kazi kuanzia jumatano halafu alhamisi nikapumzika na kumuabudu Mungu kwa kufuata sheria zote za sabato je nitahesabiwa haki,au nitahesabiwa dhambi kwasababu sijasali jumamosi kama wayahudi?Siku ni nuru na giza vikipita, Mungu aliumba dunia kw siku 6 ya 7 alipumzika, hivyo baada ya siku 7 unaanza upya kuhesabu, maneno ya jumamosi na jumapili yalikuja baadae/
Musa alipopewa amri kumi alishaelekezwa siku ipi itakuwa ya saba ya kuanza rasmi kuiabudu Sabato ambayo kwa sasa ni Ijumaa dakika chache kabla jua halijazama mpaka jumamosi lisaa baada ya jua kuzama
Siku ni nuru na giza vikipita, Mungu aliumba dunia kwa siku 6 ya 7 alipumzika, hivyo baada ya siku 7 inaanza upya siku ya kwanza, Musa alipopewa amri kumi alishaelekezwa siku ya kuanza rasmi kuiabudu Sabato ambayo kwa mfumo wa majina ya kisasa ya siku huanza Ijumaa dakika chache kabla jua halijazama mpaka jumamosi lisaa baada ya jua kuzama, ndio maana huwezi kukuta neno jumamosi wala ijumaa kwenye biblia.Ulijuaje kama Sabato ni siku ya Jumamosi na wala siyo Ijumaa aua Jumapili; leta ushahidi.
Sio kila kitu kimerekodiwa kuhusu kila kitu Musa alipoenda patakatifu, Ni maelekezo aliyopewa kwamba siku flani ndio itaanza kuwa sabato rasmi kwajili ya amri ya kuabudu siku hio, na haya maneno ya siku kama jumamosi na jumapili yalikuja baadae sana ndio maana huwezi yakuta kwenye maandikoUlijuaje kama Sabato ni siku ya Jumamosi na wala siyo Ijumaa aua Jumapili; leta ushahidi.
that is muslim way umetumia lie lie lie only stupidy anaweza kuamini upuuzi wako... umefundishwa msikitini au kwa waganga wa kienyeji? ukiongopa unaitwa Devil even Jesus alimuita Peter Shetani kajifunze maandiko yanasemaje na siyo ku fabricate upuuzi hadharani.. ili iweje watu wacheke au kudaganya uma?Wasabato walimuua Yesu ili wasali KWA uhuru jumamosi yao Yesu akiwa kaburini
Kama Yesu alifufuka jumapili na ndio siku ya Bwana wa Sabato
Ndio siku ambayo Bwana alikuwa na furaha ya kuukomboa ulimwengu
Siku ya sabato ni amri na amri 10 ni kwajili ya wote sio waisrael tu.Hiyo Amri ya Sabato ni siku ambayo Wana wa Israeli waliamriwa katika Torati kupumzika shughuli zote za mikono,(Kutoka20:8-10)
Wakolosai2:16-18 zinazungumziwa sikukuu za sabato zilizofanyika kila mwaka kama ilivyo kwa ezekieli 45:17, wala sio sabato ya kila wiki iliyowekwa kwenye amri.Ile Siku haiko tena,ile ilikuwa Kivuli cha Ile Sabato ya Kweli iliyokuwa inakuja,
(Wakolosai2:16-18)
(Waebrania4:4-9)
Kumwamini Yesu ni Pumziko letu hata tunapofanya kazi nzito lakini Sabato inahitaji pumziko la mwili pia, Utaacha shughuli zako upumzike na kuabudu.Katika Agano Jipya sasa kila iitwapo LEO ni Sabato,Yesu Kristo ndiye Sabato (Pumziko) yetu! Alikuja kutupumzisha na kutuweka huru mbali na Utumwa wa dhambi,na anasema
(Mathayo11:28-29)
(Yohana8:34)
Zinatakiwa kuwa nyingi zaidi kulingana na kasi ya dunia inavyoenda, wingi wake ni maboresho wala hakuna madhara, ni kama yalivyo majina, unadhani tutaendelea kuwa na majina ya kizamani.Kila mtu ashinde match zake hapa duniani , biblia zenyewe zipo aina nyingi
USSR
Sijawahi kuelewa ni kwa nini watu hupenda kwenda kinyume na maagizo ya Mungu tena yanayotekelezeka kirahisiMoja ya amri kumi ni kuabudu siku ya sabato, Siku takatifu iliyotengwa na Mungu kuturuhusu KUPUMZIKA nasi tunamshukuru kwa kujumuika kwenye shughuli za kumshukuru na kumuabudu kisha tunarudi makwetu kupumzika, Kila siku ni siku ya Mungu lakini sio kila siku ni sabato kwasababu si kila siku ya kupumzika, kazi nazo muhimu.
Siku ni nuru na giza vikipita, Mungu aliumba dunia kwa siku 6 ya 7 alipumzika, hivyo baada ya siku 7 inaanza upya siku ya kwanza, Musa alipopewa amri kumi alishaelekezwa siku ya kuanza rasmi kuiabudu Sabato ambayo kwa mfumo wa majina ya kisasa ya siku huanza Ijumaa dakika chache kabla jua halijazama mpaka jumamosi lisaa baada ya jua kuzama, ndio maana huwezi kukuta neno jumamosi wala ijumaa kwenye biblia.
Utaratibu huu umekuwa ukifuatwa tangu enzi za Musa, Yesu aliikuta aliabudu kwa utaratibu huo huo na hadi sasa ukienda Israel siku ya jumamosi maduka hufungwa.
Inashangaza kuona baadhi ya wakristo wanaabudu jumapili wakati sio siku ya sabato
Dini zimekuwa na nguvu kubwa sana kuzidi imaniSijawahi kuelewa ni kwa nini watu hupenda kwenda kinyume na maagizo ya Mungu tena yanayotekelezeka kirahisi
Inaabudiwa siku au mtu anaabudu kwenye siku hiyo? Pia Yesu alisema kuanzia sasa waabuduo halisi wataabudu kwenye roho na kweli. Siku haikuwekwa kama kigezo cha kuabudu halisi.Moja ya amri kumi ni kuabudu siku ya sabato, Siku takatifu iliyotengwa na Mungu kuturuhusu KUPUMZIKA nasi tunamshukuru kwa kujumuika kwenye shughuli za kumshukuru na kumuabudu kisha tunarudi makwetu kupumzika, Kila siku ni siku ya Mungu lakini sio kila siku ni sabato kwasababu si kila siku ya kupumzika, kazi nazo muhimu.
Siku ni nuru na giza vikipita, Mungu aliumba dunia kwa siku 6 ya 7 alipumzika, hivyo baada ya siku 7 inaanza upya siku ya kwanza, Musa alipopewa amri kumi alishaelekezwa siku ya kuanza rasmi kuiabudu Sabato ambayo kwa mfumo wa majina ya kisasa ya siku huanza Ijumaa dakika chache kabla jua halijazama mpaka jumamosi lisaa baada ya jua kuzama, ndio maana huwezi kukuta neno jumamosi wala ijumaa kwenye biblia.
Hata Yesu aliikuta, aliiabudu, aliisifia na kuitetea (Marko 2), miaka nenda rudi mpaka sasa ukienda Israel siku ya jumamosi wanaabudu Sabato maduka hufungwa na shughuli nyinginezo husimama.
Yesu anaweza kuwa Pumziko letu kiroho hata tunapofanya kazi nzito lakini siku ya sabato tunahitaji pia pumziko la mwili, akili, n.k.
Yaani kabisaaa,kwa akili zako timamu unaamini MUNGU kwa uweza wake mkuu alionao,usiopimika wala kuchunguza kwa akili ya kibinadamu,alifanya kazi siku 6,ya saba akawa amechoka hoiiii.Siku ni nuru na giza vikipita, Mungu aliumba dunia kwa siku 6 ya 7 alipumzika
Aliyekuwepo kushuhudia anapewa hizo amri ni nani? Hizo unazoziita amri ni taratibu zilikuwepo almost kwenye jamii zote labda kwa utofauti kidogo kulingana na mila na desturi.Ndiye
Musa aliepewa amri 10 kutuletea, akiwa huko patakatifu, alielekezwa sabato iwe jumamosi na ikawa hivyo
"Kwasasa ni ijumaa" alisema Musa?Siku ni nuru na giza vikipita, Mungu aliumba dunia kw siku 6 ya 7 alipumzika, hivyo baada ya siku 7 unaanza upya kuhesabu, maneno ya jumamosi na jumapili yalikuja baadae/
Musa alipopewa amri kumi alishaelekezwa siku ipi itakuwa ya saba ya kuanza rasmi kuiabudu Sabato ambayo kwa sasa ni Ijumaa dakika chache kabla jua halijazama mpaka jumamosi lisaa baada ya jua kuzama