wastani kwa idadi
JF-Expert Member
- Jun 28, 2024
- 503
- 1,432
- Thread starter
- #41
Siku ni nuru na giza vikipita, Mungu aliumba dunia kw siku 6 ya 7 alipumzika, hivyo baada ya siku 7 unaanza upya kuhesabu, maneno ya jumamosi na jumapili yalikuja baadae/Najua ila why jumamosi??
Sidhani kama wayahudi walikua wanaziita jumatatu/jumanne mpaka jumapili walikua na lugha yao!
Sasa nataka kujua aliekuja kuvumbua kwamba sabato ni jumamosi isiwe ijumaa au juma3 ni nani? Maana sabato maana yake siku ya saba ya awali ambayo Mungu alipumzika baada ya kukamilisha uumbaji . Hakuna mahala ilitajwa ni jumamosi ama lazima iwe jumamosi!
Musa alipopewa amri kumi alishaelekezwa siku ipi itakuwa ya saba ya kuanza rasmi kuiabudu Sabato ambayo kwa sasa ni Ijumaa dakika chache kabla jua halijazama mpaka jumamosi lisaa baada ya jua kuzama