Ni kwanini bado Waarabu wanatubagua, hata Mwafrika anapokuwa Muislam wanamkatalia kumuoa binti yao?

Wewe muislam wa wapi acha uzumbukuku wako,ccm na chadema tu hapo mitaa ya Lumumba na ufipa ni majirani lkn mnabaguana kiasi Cha Mungu kawalaani nyote. Halafu unataka mwarabu wa makka akupende wewe mwafrika wa Kwa msisi
 
we gonga sepa chana na mambo ya ndoa
 
Wewe muislam wa wapi acha uzumbukuku wako,ccm na chadema tu hapo mitaa ya Lumumba na ufipa ni majirani lkn mnabaguana kiasi Cha Mungu kawalaani nyote. Halafu unataka mwarabu wa makka akupende wewe mwafrika wa Kwa msisi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Sasa kuna mwanamke anayetaka lofa wa kipato?!!Yuko wapi ?!!! Atakua ana mapungufu huyo na si mzuri wa sura na wajihi na ni masikini wa kipato [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Hakuna ambaye alizaliwa na Utajiri. Kuna ambao walikuja zaliwa wakaukuta Utajiri
 
🪓🪓🪓
 
Waafrika sisi ni wabaguzi kuliko Hawa ngozi nyeupe amini kwamba hamna anayetuzidi Kwa ubaguzi.
Nilikwenda kuna nyumba kufata mzigo wangu wale wafanyakazi weusi hawakutaka kunifungulia mlango. Alikuja mtu nae akaingia ndani ya geti nami nikaingia pia wale wafanyakazi walikuwa wakiniangalia kama mwizi😂. Kutokea mwenyewe kuniona tu alikuja kunikumbatia na kupiga nae stori huyu Mama kama mzee wangu alikuwa.

Nilikwenda kutembea kwa jamaa zangu hawa wote ngozi za kiarabu, kuna sheikh aliambiwa na hawao jamaa zangu kama mimi ndugu yao walishangaa sana mpaka ilibidi wenyeji wafafanue udugu wetu ulivyo. Yaani udugu wa damu haswaaa.

Nilikwenda nchi za wazungu nilikutana na black mzaliwa wa hapo alinibagua kuliko wazungu. Weusi tuna ubaguzi sana kuliko hao tunao wasingizia
 
Ni kweli mi Nisha experience hiyo kitu unaeza enda pahali unamsubiri mtu labda ofisini ama Hotel ukaamuwa ngoja nikae hapa nimsubiri na kuna wazungu ama waarabu wamekaa eneo lile,Ila utashangaa mlinzi black mwenzio anakuja kukufukuza wewe anawaacha wale wengine.Sisi waafrica ni wabaguzi sana sema tunataka huruma tu.
 
Wanaume bwana! Kwahiyo chuki yenu kwa Waarabu sababu yake ni kushindwa kuoa wanawake wa Kiarabu?

Mkikubaliwa kuwaoa chuki itaisha? Hamtajali tena mkikaliwa nao si ndio?

Vipaumbele vyenu vinatia shaka sana na mnatia aibu.
Ila sishangai....unajua ukitaka kitu ukiongezee thamani kiwe mysterious in any way....na ndio maana dhahabu ikawa na thamani kwa kuwa kuipata kwake ni tabu....dhahabu huamsha mapenzi nayo na chuki pia kwa sababu ya kutoipata.

Watu hupenda kuyajua vyema magenge na makundi ya Siri....wasipoweza kuwepo humo...huchukia [emoji1787][emoji1787]

Ndio hao waarabu....mtoa mada kwa kuwa anawaona tu "vichuna" mabarabarani...wakiwa na vibaibui ,abaya ,nikab n.k....akiwatongoza na kumkatalia basi anajawa na chuki nao...chuki yake inawafikia mpaka hawa DP WORLD wawekezaji kutoka Dubai.

#MamaAnaupigaMwingi[emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Bonge la POINT....

Kuna wakati we blacks play victims.....[emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Waarabu ni wabaguzi ndio maana huwapa wenzetu tende, haluwa na uji wa pilipili manga ili kuwaslimisha badala ya kuwajengea shule, vyuo vya ufundi na mahospitali km wazungu Wakristo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mmeanza mashambulizi hayo....kuna ukweli ndani yake....japo si kufanya GENERALIZATION....kwanini waarabu wote wawekwe kapu moja....kwanini wazungu wote waingizwe kapu moja ?!!!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…