Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Nimetaja Germany, Italy ,Russia na Arabs nikizungumzia ubaguzi kiujumla, ila wewe umeona uniulize kuhusu waarabu tu?Waarabu walikubaguwa nini?
Ninauhakika pamoja na kuwaiga dini bado wewe huwezi kukaa na mwarabu akakupa thamani ileile anayowapa waarabu wenzie wakiwa nacho au wasipokuwa nacho, unless uwe na kitu anachokitaka kutoka kwako. NINAWAJUA VIZURI kwakua nimekutana nao sana kwenye Engineering activities.
Mweusi ni mbwa tu mbele ya Mwarabu.