Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo mengine bwana, sasa wake za mwinyi ni waarabu? Kuna waarabu wa Kizimkazi? Wale ni wagunya na sio waarabu.Naona watu watu hawaelewi Uarabu ni nini na Waarabu ni nani.
Kama Uarabu ni rangi, si siku hizi kuna mkorogo?
Kama Uarabu ni nyewele, siku hizi si zinabandikwa za kila aina? Pesa zako tu.
Kama Uarabu ni tamaduni, na wasiyo Waarabu si wana tamaduni zao?
Tatizo nini kama Mwarabu hataki kukupa binti yake kwa rangi yako?
Huyu Mzee Mwinyi ana wake wawili, na wote wana asili ya Kiarabu, kulikoni?
Unachotakiwa uwe mstaarabu, cha kukariri ni Qur'an siyo hicho ulichoandika wewe, ukija umekariri hicho ulichoandika wewe hatukupi mke wala mume.Kwa wazungu ndoa za waafrika na wazungu zipo nyingi tu, ni kawaida.
Shida inakuja kwa waarabu, yani hata uwe muislam uliekariri aya nyingi za korani na sauti nzuri ya kuzinukuu hawawezi kukupa binti yao labda kama utaweza kutumika kimaslahi aidha uwe na cheo kikubwa serikalini ama uwe na pesa nyingi sana.
Na hapa navomaanisha waafrika ni hadi wazanzibari ambao hufanana na wasomali, hali ni hivyo hivyo tu, japo wao hupenda kujiweka kundi moja na waarabu ila waarabu huwaona ni zao la watumwa
Mmmoja namfahamu kabisa ni Mwarabu na asili yake ni Oman na kabla lake ni Al Kindy. Na mwengine ni shombe la Kirabu kama ilivyo 90% ya Wazanzibari.Mambo mengine bwana, sasa wake za mwinyi ni waarabu? Kuna waarabu wa Kizimkazi? Wale ni wagunya na sio waarabu.
We ushawahi kuwaona Wa Oman? Kama Ilivyo Zanzibar Oman wamechanganyika, same kwa Yemen, Kuwait na mataifa mengi ya Gulf, na hao ndio waarabu wa kiasili, wengine ambao unawaona weupe sana wamekua tu arabised, ila sio biologically waarabu.Mambo mengine bwana, sasa wake za mwinyi ni waarabu? Kuna waarabu wa Kizimkazi? Wale ni wagunya na sio waarabu.
Kaa Chini ukasome vizuri waarabu maana ni topic ndefu, ila ulewa wenu humu ni Mdogo mno na mnaongea tu mambo ya nafsi zenu mnavyotamani yawe badala ya uhalisia.Hakuna aliyeforce, niforce mimi ni nani?
Ila Waarabu wengi ni religious, almost wote na ndio maana nchi zao karibu zote zinaendeshwa kidini LAKINI ni Wabaguzi kwasababu wanaenda kinyume na maagizo ya Deen ya hakhi
Alisikika mmoja akisema..Mie ukija kuoa au ukitaka kuolewa kwetu, tunakufanyia vetting ya nguvu kabisa, kama hauna ustaarabu huowi wala kuolewa.
Kigezoi cha kwanza kama unataka kuowa uwe Muislam uliyekatwa govi.
Kigezi cha pili uwe unasali sala zako smikitini, kama mwanamme na huendi msikitini utakuwa ni mgoinjwa tu.Hu[pati mke hata uende kwa waganga wakukulia pesa zako.
Utabwabwaja na kuhororoja kila namna, hayo ni ya mwanzo tu.
Kigezo cha tatu ukitaka kuoa kwetu, ni lazima mtoto wetu awe anaishi kwake, iwe tumemjengea sisi kama bado, basi kama unakidhi vigezo viwili vua awali na una haraka sana, sisi bado hatujamjengea inabidi umjengee nyumba yake kwa jina lake, hapo sasa tunaongea siku ya kufunga ndoa rasmi.
Hivyo vigezo vya mwanzo katika vetting yetu, kuna vingine vingi vidogo vidogo lakini hivyo ndiyo vya msingi.
Unaweza ukashangaa pamoja na vigezo vyote hivyo ulivyovitaja aka your vetting lakini bado masela wakapita na mabinti zenu.Mie ukija kuoa au ukitaka kuolewa kwetu, tunakufanyia vetting ya nguvu kabisa, kama hauna ustaarabu huowi wala kuolewa.
Kigezoi cha kwanza kama unataka kuowa uwe Muislam uliyekatwa govi.
Kigezi cha pili uwe unasali sala zako smikitini, kama mwanamme na huendi msikitini utakuwa ni mgoinjwa tu.Hu[pati mke hata uende kwa waganga wakukulia pesa zako.
Utabwabwaja na kuhororoja kila namna, hayo ni ya mwanzo tu.
Kigezo cha tatu ukitaka kuoa kwetu, ni lazima mtoto wetu awe anaishi kwake, iwe tumemjengea sisi kama bado, basi kama unakidhi vigezo viwili vua awali na una haraka sana, sisi bado hatujamjengea inabidi umjengee nyumba yake kwa jina lake, hapo sasa tunaongea siku ya kufunga ndoa rasmi.
Hivyo vigezo vya mwanzo katika vetting yetu, kuna vingine vingi vidogo vidogo lakini hivyo ndiyo vya msingi.
We lzm utakuwa uliajiriwa na mwarabu kisha ukaondoka na mali ya boss wako.ila kuna kiwango chake sasa,
waarabu wamezidi sana
Mshenzi CAPO DELGADO asiemjua babake.WAARABU NI WASHENZI
We ushawahi kuwaona Wa Oman? Kama Ilivyo Zanzibar Oman wamechanganyika, same kwa Yemen, Kuwait na mataifa mengi ya Gulf, na hao ndio waarabu wa kiasili, wengine ambao unawaona weupe sana wamekua tu arabised, ila sio biologically waarabu.
@FaizaFoxy bahati mbaya hukuzaliwa mwarabu, ungekuwa mbaguzi hatari. Umekuwa ukiuishi kwa kuunakili tu.Mie ukija kuoa au ukitaka kuolewa kwetu, tunakufanyia vetting ya nguvu kabisa, kama hauna ustaarabu huowi wala kuolewa.
Kigezoi cha kwanza kama unataka kuowa uwe Muislam uliyekatwa govi.
Kigezi cha pili uwe unasali sala zako smikitini, kama mwanamme na huendi msikitini utakuwa ni mgoinjwa tu.Hu[pati mke hata uende kwa waganga wakukulia pesa zako.
Utabwabwaja na kuhororoja kila namna, hayo ni ya mwanzo tu.
Kigezo cha tatu ukitaka kuoa kwetu, ni lazima mtoto wetu awe anaishi kwake, iwe tumemjengea sisi kama bado, basi kama unakidhi vigezo viwili vua awali na una haraka sana, sisi bado hatujamjengea inabidi umjengee nyumba yake kwa jina lake, hapo sasa tunaongea siku ya kufunga ndoa rasmi.
Hivyo vigezo vya mwanzo katika vetting yetu, kuna vingine vingi vidogo vidogo lakini hivyo ndiyo vya msingi.
Hujakutana na nguchiro wanaitwa Philippines ni wabaguzi sana wanajionaga wazunguIla ubaguzi wa Wa-Italy, Warusi, Germany na Waarabu ni next level.