Ni kwanini bado Waarabu wanatubagua, hata Mwafrika anapokuwa Muislam wanamkatalia kumuoa binti yao?

Kwa Waarabu nijuavyo kitu kinacho matter kwao ni Ustaarabu, kama si mstaarabu hupati mke au mume wa Kiarabu.

Utaishia kwa wazungu na mabaniani wasio na ustaarabu, kama Kingunge.
 
Mimi binafsi lije jitu jesui linatisha halina ustaarabu ahata wa kutumia maji linapokwenda haja, nime binti wa kwetu? Aaah hapo, haiendi kabisa.

Unamuoza mtu mkea ambae makuzi yake mke ni wakufanya kazi? Wakati utamaduni wetu sisi mke ni wakulishwa, kuvishwa na kujipamba tu?

Wapi na wapi?

Utaniita mbaguzi tena kwa sana tu lakini siwezi kumpa asiye mstaarabu mke au mume kutoka kwetu.

Wanipishe huko.
 
Naona watu watu hawaelewi Uarabu ni nini na Waarabu ni nani.

Kama Uarabu ni rangi, si siku hizi kuna mkorogo?

Kama Uarabu ni nyewele, siku hizi si zinabandikwa za kila aina? Pesa zako tu.

Kama Uarabu ni tamaduni, na wasiyo Waarabu si wana tamaduni zao?

Tatizo nini kama Mwarabu hataki kukupa binti yake kwa rangi yako?

Huyu Mzee Mwinyi ana wake wawili, na wote wana asili ya Kiarabu, kulikoni?
Mambo mengine bwana, sasa wake za mwinyi ni waarabu? Kuna waarabu wa Kizimkazi? Wale ni wagunya na sio waarabu.
 
Kwa wazungu ndoa za waafrika na wazungu zipo nyingi tu, ni kawaida.

Shida inakuja kwa waarabu, yani hata uwe muislam uliekariri aya nyingi za korani na sauti nzuri ya kuzinukuu hawawezi kukupa binti yao labda kama utaweza kutumika kimaslahi aidha uwe na cheo kikubwa serikalini ama uwe na pesa nyingi sana.

Na hapa navomaanisha waafrika ni hadi wazanzibari ambao hufanana na wasomali, hali ni hivyo hivyo tu, japo wao hupenda kujiweka kundi moja na waarabu ila waarabu huwaona ni zao la watumwa
Unachotakiwa uwe mstaarabu, cha kukariri ni Qur'an siyo hicho ulichoandika wewe, ukija umekariri hicho ulichoandika wewe hatukupi mke wala mume.

Kila tamaduni ina mila zake na vigezo vyake vya ndoa.

Waislam iwe Myemeni, Mndengereko au Mchina tuna vigezo vyetu vya ndoa vya Kiislam kwanza.

Wale wasiofata Uislam nao wana vigezo vyao.
 
Mambo mengine bwana, sasa wake za mwinyi ni waarabu? Kuna waarabu wa Kizimkazi? Wale ni wagunya na sio waarabu.
Mmmoja namfahamu kabisa ni Mwarabu na asili yake ni Oman na kabla lake ni Al Kindy. Na mwengine ni shombe la Kirabu kama ilivyo 90% ya Wazanzibari.

Wa kizimkazi hujaona hata mama Samia alipokwenda Oman alikwenda kumtembelea mjomba'ke private visit ingawa alikuwa huko Kiserikali?

Anayeikataa asili yake siyo jasiri.
 
Mambo mengine bwana, sasa wake za mwinyi ni waarabu? Kuna waarabu wa Kizimkazi? Wale ni wagunya na sio waarabu.
We ushawahi kuwaona Wa Oman? Kama Ilivyo Zanzibar Oman wamechanganyika, same kwa Yemen, Kuwait na mataifa mengi ya Gulf, na hao ndio waarabu wa kiasili, wengine ambao unawaona weupe sana wamekua tu arabised, ila sio biologically waarabu.
 
Hakuna aliyeforce, niforce mimi ni nani?

Ila Waarabu wengi ni religious, almost wote na ndio maana nchi zao karibu zote zinaendeshwa kidini LAKINI ni Wabaguzi kwasababu wanaenda kinyume na maagizo ya Deen ya hakhi
Kaa Chini ukasome vizuri waarabu maana ni topic ndefu, ila ulewa wenu humu ni Mdogo mno na mnaongea tu mambo ya nafsi zenu mnavyotamani yawe badala ya uhalisia.
 
Mie ukija kuoa au ukitaka kuolewa kwetu, tunakufanyia vetting ya nguvu kabisa, kama hauna ustaarabu huowi wala kuolewa.

Kigezoi cha kwanza kama unataka kuowa uwe Muislam uliyekatwa govi.

Kigezi cha pili uwe unasali sala zako smikitini, kama mwanamme na huendi msikitini utakuwa ni mgoinjwa tu.Hu[pati mke hata uende kwa waganga wakukulia pesa zako.

Utabwabwaja na kuhororoja kila namna, hayo ni ya mwanzo tu.

Kigezo cha tatu ukitaka kuoa kwetu, ni lazima mtoto wetu awe anaishi kwake, iwe tumemjengea sisi kama bado, basi kama unakidhi vigezo viwili vua awali na una haraka sana, sisi bado hatujamjengea inabidi umjengee nyumba yake kwa jina lake, hapo sasa tunaongea siku ya kufunga ndoa rasmi.

Hivyo vigezo vya mwanzo katika vetting yetu, kuna vingine vingi vidogo vidogo lakini hivyo ndiyo vya msingi.
 
Mimi namshangaa muafrica anaebaguliwa na watu wa mabara mengine alafu yeye anawanyenyekea,jino kwa jino akikubagua mbague tena kaa mbali kama ananuka mavi
 
Wahindi nao wanaongoza...
Pale Ilala jirani mmoja alitaka kuoa 😀 wakakataa mwisho akampachika mimba,Wazazi wa kihindi wakaona isiwe shida wacha Golo tumpe maua yake...
 
Mie ukija kuoa au ukitaka kuolewa kwetu, tunakufanyia vetting ya nguvu kabisa, kama hauna ustaarabu huowi wala kuolewa.

Kigezoi cha kwanza kama unataka kuowa uwe Muislam uliyekatwa govi.

Kigezi cha pili uwe unasali sala zako smikitini, kama mwanamme na huendi msikitini utakuwa ni mgoinjwa tu.Hu[pati mke hata uende kwa waganga wakukulia pesa zako.

Utabwabwaja na kuhororoja kila namna, hayo ni ya mwanzo tu.

Kigezo cha tatu ukitaka kuoa kwetu, ni lazima mtoto wetu awe anaishi kwake, iwe tumemjengea sisi kama bado, basi kama unakidhi vigezo viwili vua awali na una haraka sana, sisi bado hatujamjengea inabidi umjengee nyumba yake kwa jina lake, hapo sasa tunaongea siku ya kufunga ndoa rasmi.

Hivyo vigezo vya mwanzo katika vetting yetu, kuna vingine vingi vidogo vidogo lakini hivyo ndiyo vya msingi.
Alisikika mmoja akisema..
Hayo ndio mafundisho ya Mtume¤
Mwenye akili ndio mwenye kuzingati...
 
Mie ukija kuoa au ukitaka kuolewa kwetu, tunakufanyia vetting ya nguvu kabisa, kama hauna ustaarabu huowi wala kuolewa.

Kigezoi cha kwanza kama unataka kuowa uwe Muislam uliyekatwa govi.

Kigezi cha pili uwe unasali sala zako smikitini, kama mwanamme na huendi msikitini utakuwa ni mgoinjwa tu.Hu[pati mke hata uende kwa waganga wakukulia pesa zako.

Utabwabwaja na kuhororoja kila namna, hayo ni ya mwanzo tu.

Kigezo cha tatu ukitaka kuoa kwetu, ni lazima mtoto wetu awe anaishi kwake, iwe tumemjengea sisi kama bado, basi kama unakidhi vigezo viwili vua awali na una haraka sana, sisi bado hatujamjengea inabidi umjengee nyumba yake kwa jina lake, hapo sasa tunaongea siku ya kufunga ndoa rasmi.

Hivyo vigezo vya mwanzo katika vetting yetu, kuna vingine vingi vidogo vidogo lakini hivyo ndiyo vya msingi.
Unaweza ukashangaa pamoja na vigezo vyote hivyo ulivyovitaja aka your vetting lakini bado masela wakapita na mabinti zenu.
 
ila kuna kiwango chake sasa,

waarabu wamezidi sana
We lzm utakuwa uliajiriwa na mwarabu kisha ukaondoka na mali ya boss wako.
Akakupa maumivu flani ya kisaikolojia sasa unamalizia hasira hapa.

Pole sana
 
Inaonekana hata makabila ya kiarabu huyajui vizuri na ukitamka kauli hii hata waarabu wenyewe watakucheka. Ila usichokijua pia ni kuwa hata waarabu wenyewe huwa wanabaguliwa na wazungu.

Ubaguzi ni jambo la asili na siku zote aliye dhaifu hubaguliwa.
We ushawahi kuwaona Wa Oman? Kama Ilivyo Zanzibar Oman wamechanganyika, same kwa Yemen, Kuwait na mataifa mengi ya Gulf, na hao ndio waarabu wa kiasili, wengine ambao unawaona weupe sana wamekua tu arabised, ila sio biologically waarabu.
 
Mie ukija kuoa au ukitaka kuolewa kwetu, tunakufanyia vetting ya nguvu kabisa, kama hauna ustaarabu huowi wala kuolewa.

Kigezoi cha kwanza kama unataka kuowa uwe Muislam uliyekatwa govi.

Kigezi cha pili uwe unasali sala zako smikitini, kama mwanamme na huendi msikitini utakuwa ni mgoinjwa tu.Hu[pati mke hata uende kwa waganga wakukulia pesa zako.

Utabwabwaja na kuhororoja kila namna, hayo ni ya mwanzo tu.

Kigezo cha tatu ukitaka kuoa kwetu, ni lazima mtoto wetu awe anaishi kwake, iwe tumemjengea sisi kama bado, basi kama unakidhi vigezo viwili vua awali na una haraka sana, sisi bado hatujamjengea inabidi umjengee nyumba yake kwa jina lake, hapo sasa tunaongea siku ya kufunga ndoa rasmi.

Hivyo vigezo vya mwanzo katika vetting yetu, kuna vingine vingi vidogo vidogo lakini hivyo ndiyo vya msingi.
@FaizaFoxy bahati mbaya hukuzaliwa mwarabu, ungekuwa mbaguzi hatari. Umekuwa ukiuishi kwa kuunakili tu.

Ungejua hata hili neno 'ustaarabu' asili yake ni ubaguzi usingejinadi nalo huku. Hivi hujui mababu zako ndiyo waliokuwa wakitukanwa na waarabu kuwa hawajastaarabika 'being not culturally arabized'.

Pengine ungejifunza kutofautisha kati ya kuwa 'being arabized' na 'being civilized'
 
Sisi wenyewe ndiyo tunajidharau kwanza, timu zetu bila kutumia kocha mzungu tunajiona hatuwezi. JPM alituamsha kwamba tunaweza. Tabia zetu ni tofauti na wengine. Wenzetu wanawekeza sana kwenye tafiti na zinafanyika ki kweli. Sasa uje siye ipe taasisi pesa za utafiti, itaishia kwenye mifuko ya watu, kwa nini tusibaguliwe.

Ugonjwa wa malaria mpaka leo unatushinda. Wakati huo huo ukimpa hii nchi au bara zima mzungu haipiti miaka miwili malaria kwisha. Siyo kwamba hatuwezi ila tabia ya kuchopoa/ kuiba pesa za tafiti ndiyo ugonjwa wetu. Kwa nini tusibaguliwe?

Miradi mingi inatushinda kuiendesha au kuifanya kwa sababu ya uroho wa pesa binafsi na wizi. Kwa nini tusibaguliwe?

Unafunga pump ya maji kwa ajili ya wanakijiji ili wapate maji, inaibiwa na hao hao. Kwa nini tusibaguliwe?

Serikali inatoa dawa za bure kwa hospitali zetu, zinaibwa na hao hao watoaji. Kwa nini tusibaguliwe?

Mwizi wa mali ya umma anaonekana mjanja mbele za jamii, na jamii inamuona wa maana. Kwa nini tusibaguliwe?

TUJITHAMINI WENYEWE, TUJIPENDE WENYEWE, KURITHIKA NA KILE UPATACHO, TUPUNGUZE UBINAFSI ILI NA SISI TUONEKANE BINADAMU TULIOSTAARABIKA NA WENYE AKILI ZA KUZALIWA MBELE ZA BINADAMU WENGINE.
 
Back
Top Bottom