GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #81
Nilishakudharau Kitambo sana tu na nakushangaa Mtu ambaye umeshajinasibu hapa JamiiForums kuwa Unanichukia lakini 24/7 huachi Kunifuatilia kwa ama Kusoma threads au posts zangu.Bora leo umetutambulisha jinsia yako kwamba wewe ni demu.
Cc LIKUDHii mitaa uliyomtajia hawezi kuijua kwa sababu kanajifanya kanyarwanda na huku sio Kanyarwanda...kuna mwaka aliwahi kutuongopea eti kakulia ikulu ya Uganda...kajamaa ni kaongo na kana majigambo ys kishamba sana
Yani wahutu wako sidelined na ndio wengi. Yani sasa hivi ukitaja Rwanda ni kama umetaja Tutsi land. Not fair lazima usawa uwepo ili kuwe na uiwano na maridhiano ya kudumu.Hujui tu wahutu wa Rwanda wanavoteseka na kufa na Tai shingoni
Sent from my DUB-LX1 using JamiiForums mobile app
You know nothing so better keep your Pig Mouth like Shut.Rwanda alijifanya anaingia Burundi kumpindua Pierre Nkurunzinza..ndani ya wiki moja baada ya kuingia makomandoo wa Tanzania, kitu tuliwafanya wanyarwanda...hawatokaa waizoee Tanzania Tena. Mara ya 2 sasa Tanzania anamkomesha mnyarwanda, kuanzia ile ya M-23.
Tulia we mtusi...acha kuhangaika kama chawaYou know nothing so better keep your Pig Mouth like Shut.
Mkuu Arovera huko deep sana. Nafuatilia michango yako humu na nimejifunza mengi. AsanteHakuna nchi ukanda huu wote inayopokea misaada mingi ya kijeshi kama Rwanda iwe vifaa au mafunzo na hadi leo ndani ya vikosi vya Rwanda kuna baadhi hulipwa na nchi nyingine kwa task zao tuishie hapo tu.
Binafsi simpendi kagameNa cha Kushangaza zaidi kama Burundi inabebwa kwakuwa iliathirika na 1994 Genocide kwa Ripoti za UN zinasema kwamba Rwanda ndiyo iliathirika sana tu ila yenyewe wala haijikombi wala haijipendekezi kwa Mataifa makubwa ya Ukanda wake.
Naifananisha Burundi na Mtoto Mvivu na Mpumbavu pia anayependa Kudeka, Kuongozwa na asiyejitambua ila naifananisha Rwanda na Mtoto Yatima ila aliyejaaliwa Akili, Ushujaa, Mchapakazi, anayejiamini na asiyependwa Kupandwa Kichwani na Wapuuzi (wanaojiita Wakongwe)
Mwanamume Afrika ni Paul Kagame tu.
Watusi hawana akili yoyote..wamejaa Tabora, Kigoma na Kagera zaidi ya karne moja sasa. Wanafaa kupiga miti tuWatutsi tuliosoma nao sekondari aliyefaulu sana alipata division 3.
Mkuu kwani mseven ni Mtutsi?Nilijua tu ulikua unaelekea huku.... Uganda inaongozwa na Mtutsi ina maendeleo gani kuzidi Kenya au Tz? Ethiopia,Eritrea, na Somalia si cuishites wenzenu mbona umaskini ni mkubwa sana licha ya kuongozwa na "special race"!!!
Mind you Burundi iliongozwa na watutsi kuanzia Prince Rwegasore,Mwami Mwambutsa, Michael Micombero, Pierre Buyoya, Bagaza, n.k wa kutoka chama cha watutsi UPRONA je miaka yote mbona hawakuleta maendeleo if at all tatizo ni Rais akiwa mtutsi?
Hakuna uhusiano kati ya umaskini wa burundi na uongozi wa kabila fulani.
Brother Nina mashaka na uraia wako au na wewe mnyaruanda kagame na hiko kinch ni matatizo na makwazo Kwa jirani zao na sisi ( ila namshukuru mungu HAKUNA AMBACHO HAKIKOMIYou know nothing so better keep your Pig Mouth like Shut.
Kwenye list ya nchi zenye jeshi imara Africa, Rwanda amezidiwa na nchi zote za Africa Mashariki.. acheni kutukuza wajinga wa kitusi. Angalia mtandao wa Fire Power uone listSwali fikirishi, kwanini Burundi haijikombi Rwanda iliyofanikiwa na kuwa na jeshi imara Afrika(kwa mtazamo wako) kuliko nchi nyingine.
Kakosea sana jamaa. Kuna familia flani hapa ya kihutu jirani yangu waliopewa ukimbizi story wanazonipatiaga wee acha tu. Lazima Rwanda kuwena usawa maelewano maridhiano. Uonevu Kagame anao ufanya na wamagharibi kuufumbia macho hayfai.Wewe na umri wako ulionao vijana wangapi wanakuzidi kila kitu.. acha ujinga wako wa kutusi watu hawana akili, we una akili? Kama una sema hawana akili kisa maendeleo wewe hapo ulipo una maendeleo gani? Usiseme watu jiseme wewe
Huyu jamaa ameathirika kisaikolojia, anahitaji mtu wa kukaa nae, afya ya akili haipo sawa..Kakosea sana jamaa. Kuna familia flani hapa ya kihutu jirani yangu waliopewa ukimbizi story wanazonipatiaga wee acha tu. Lazima Rwanda kuwena usawa maelewano maridhiano. Uonevu Kagame anao ufanya na wamagharibi kuufumbia macho hayfai.
Alituma Kwako Ombi kutaka Umpende?Binafsi simpendi kagam
Umetake personal sana fresh lknAlituma Kwako Ombi kutaka Umpende?
Mbona Taifa la Werevu ( Einsteins ) la Rwanda kamwe halijipendekezi wala Kujikomba Kwenu Tanzania lakini linapiga hatua za Kimaendeleo haraka tena hata Kuizidi Tanzania yako / yenu?Kujenga urafiki na mataifa mengine sio kujipendekeza, ila ukiwa na mawazo finyu ndio utaona hivyo.