Ni kwanini Burundi inajipendekeza mno kwa Tanzania, lakini Rwanda inajiimarisha yenyewe kwa Kujipambania hadi Kusifika Kimataifa?

Ni kwanini Burundi inajipendekeza mno kwa Tanzania, lakini Rwanda inajiimarisha yenyewe kwa Kujipambania hadi Kusifika Kimataifa?

Bora leo umetutambulisha jinsia yako kwamba wewe ni demu.
Nilishakudharau Kitambo sana tu na nakushangaa Mtu ambaye umeshajinasibu hapa JamiiForums kuwa Unanichukia lakini 24/7 huachi Kunifuatilia kwa ama Kusoma threads au posts zangu.

Naona una hamu tena ya BAN uliyoipata Siku si nyingi kwa Kunitukana Kwako na nashangaa leo hujanitukana tena ili nikusakizie uilambe BAN nyingine na uje na zile ID's zako Mbili za akiba.

Naona Natural Charm yangu inakutesa.
 
Hii mitaa uliyomtajia hawezi kuijua kwa sababu kanajifanya kanyarwanda na huku sio Kanyarwanda...kuna mwaka aliwahi kutuongopea eti kakulia ikulu ya Uganda...kajamaa ni kaongo na kana majigambo ys kishamba sana
Cc LIKUD
 
Rwanda alijifanya anaingia Burundi kumpindua Pierre Nkurunzinza..ndani ya wiki moja baada ya kuingia makomandoo wa Tanzania, kitu tuliwafanya wanyarwanda...hawatokaa waizoee Tanzania Tena. Mara ya 2 sasa Tanzania anamkomesha mnyarwanda, kuanzia ile ya M-23.
 
You know nothing so better keep your Pig Mouth like Shut.
 
Hakuna nchi ukanda huu wote inayopokea misaada mingi ya kijeshi kama Rwanda iwe vifaa au mafunzo na hadi leo ndani ya vikosi vya Rwanda kuna baadhi hulipwa na nchi nyingine kwa task zao tuishie hapo tu.
Mkuu Arovera huko deep sana. Nafuatilia michango yako humu na nimejifunza mengi. Asante
 
Na cha Kushangaza zaidi kama Burundi inabebwa kwakuwa iliathirika na 1994 Genocide kwa Ripoti za UN zinasema kwamba Rwanda ndiyo iliathirika sana tu ila yenyewe wala haijikombi wala haijipendekezi kwa Mataifa makubwa ya Ukanda wake.

Naifananisha Burundi na Mtoto Mvivu na Mpumbavu pia anayependa Kudeka, Kuongozwa na asiyejitambua ila naifananisha Rwanda na Mtoto Yatima ila aliyejaaliwa Akili, Ushujaa, Mchapakazi, anayejiamini na asiyependwa Kupandwa Kichwani na Wapuuzi (wanaojiita Wakongwe)

Mwanamume Afrika ni Paul Kagame tu.
Binafsi simpendi kagame
 
Nilijua tu ulikua unaelekea huku.... Uganda inaongozwa na Mtutsi ina maendeleo gani kuzidi Kenya au Tz? Ethiopia,Eritrea, na Somalia si cuishites wenzenu mbona umaskini ni mkubwa sana licha ya kuongozwa na "special race"!!!

Mind you Burundi iliongozwa na watutsi kuanzia Prince Rwegasore,Mwami Mwambutsa, Michael Micombero, Pierre Buyoya, Bagaza, n.k wa kutoka chama cha watutsi UPRONA je miaka yote mbona hawakuleta maendeleo if at all tatizo ni Rais akiwa mtutsi?

Hakuna uhusiano kati ya umaskini wa burundi na uongozi wa kabila fulani.
Mkuu kwani mseven ni Mtutsi?
 
You know nothing so better keep your Pig Mouth like Shut.
Brother Nina mashaka na uraia wako au na wewe mnyaruanda kagame na hiko kinch ni matatizo na makwazo Kwa jirani zao na sisi ( ila namshukuru mungu HAKUNA AMBACHO HAKIKOMI
 
Swali fikirishi, kwanini Burundi haijikombi Rwanda iliyofanikiwa na kuwa na jeshi imara Afrika(kwa mtazamo wako) kuliko nchi nyingine.
Kwenye list ya nchi zenye jeshi imara Africa, Rwanda amezidiwa na nchi zote za Africa Mashariki.. acheni kutukuza wajinga wa kitusi. Angalia mtandao wa Fire Power uone list
 
Wewe na umri wako ulionao vijana wangapi wanakuzidi kila kitu.. acha ujinga wako wa kutusi watu hawana akili, we una akili? Kama una sema hawana akili kisa maendeleo wewe hapo ulipo una maendeleo gani? Usiseme watu jiseme wewe
Kakosea sana jamaa. Kuna familia flani hapa ya kihutu jirani yangu waliopewa ukimbizi story wanazonipatiaga wee acha tu. Lazima Rwanda kuwena usawa maelewano maridhiano. Uonevu Kagame anao ufanya na wamagharibi kuufumbia macho hayfai.
 
Huyu jamaa ameathirika kisaikolojia, anahitaji mtu wa kukaa nae, afya ya akili haipo sawa..
 
Kujenga urafiki na mataifa mengine sio kujipendekeza, ila ukiwa na mawazo finyu ndio utaona hivyo.
 
Kujenga urafiki na mataifa mengine sio kujipendekeza, ila ukiwa na mawazo finyu ndio utaona hivyo.
Mbona Taifa la Werevu ( Einsteins ) la Rwanda kamwe halijipendekezi wala Kujikomba Kwenu Tanzania lakini linapiga hatua za Kimaendeleo haraka tena hata Kuizidi Tanzania yako / yenu?
 
Back
Top Bottom