GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #81
Nilishakudharau Kitambo sana tu na nakushangaa Mtu ambaye umeshajinasibu hapa JamiiForums kuwa Unanichukia lakini 24/7 huachi Kunifuatilia kwa ama Kusoma threads au posts zangu.Bora leo umetutambulisha jinsia yako kwamba wewe ni demu.
Naona una hamu tena ya BAN uliyoipata Siku si nyingi kwa Kunitukana Kwako na nashangaa leo hujanitukana tena ili nikusakizie uilambe BAN nyingine na uje na zile ID's zako Mbili za akiba.
Naona Natural Charm yangu inakutesa.