Ni kwanini Chadema huwachukia na kuwabagua wa Zanzibar?

Zanzibar haichukiwi na yeyote ila wanatunyonya na huo ndiyo ukweli na unajua ila unajitoa ufahamu.

Sisi tulio CCM kindakindaki hatutaki makupe wanyonyaji.
ila waziwazi inatengwa na inabaguliwa na chadema,
na viongozi wa kike na kiume kutoka zanzibar Tanzania wanadhalilishwa kwa maneno na vitendo, picha na video mitandaoni kwa makusudi kabisa na chadema, right?
 
Hatuwezi kuwahudumia watu milioni 60, walioajiliwa kwenye mahoteli yetu wengi sio wazanzibar
 
afadhali mwanachadema halisi umejitokeza kukiri ukweli dhidi ya tabia hiyo mbaya ya ubaguzi kwa wazanzibari na waisilamu kwa ujumla ndani na nje ya chadema.

well done
Wazanzibari wanawabagua WaTanganyika kwenye kila kitu... Ila ujinga wa ccm umewafunika WaTanganyika wengi akili
 
Hiyo karata yenu ya Udini haiwezi fanikiwa,Watanzania wanafahamu fika hii michezo yenu,Chadema na Watanzania karibu wote wanataka mabadiliko,reforms kwenye kero za Muungano,Kero za Muungano ni tatizo la Mfumo na Si Wazanzibari walΔ… Watanganyika,CCM imeishiwa mbinu imebaki kutumia kero za Muungano kukeresha watu na kutushonganisha,Wazanzibari toka kitambo wamekuwa wanapiga kelele juu ya Muungano,Sasa Tanganyika nao wameamka,Tunaungana kudai reforms ..Hakuna mtu anachukia Wazanzibari walΔ… Watanganyika,Watu wanachukia kero za Muungano,CCM imeshanusa harufu ya Chadema na jitihada zao za kutuunganisha ndio maana ikakimbilia kufanya maridhiano na ACT Zanzibar,ile siku ya maridhiano yenu kule Zanzibar speech ile ilikuwa ni kuhakikisha kuwa Watanganyika na Wazanzibari kamwe hatuungani kutafuta suluhisho za kero za Muungano,Speech ilikuwa ni kuleta kero tu,eti Wabaki na Nnchi yao Sisi huku tunaendelea na Nchi yetu,hizi statement zinawekwa kwa makusudi kutaka Watanganyika na Wazanzibari wabaki tukanana wakati hamfanyi reforms,Watanzania wanafahamu Sasa hivi,
 
Wazanzibari wanataka Zanzibar Hutu na Watanganyika wanataka Tanganyika huru,hakuna karata ya Udini,au mbwebwe za kutumia kero za Muungano kutugawa,sana sana mnazidi kuelimishana Watanzania juu ya mfumo mbovu wa Muungano wetu..Hatutaki kupoteza muda kugombana wenyewe kwa wenyewe,tunataka mabadiliko
 
Ukisema ubaguzi dhidi ya Waislamu unamaanisha Chadema ni cha Wakristo?.
 
Ukisema ubaguzi dhidi ya Waislamu unamaanisha Chadema ni cha Wakristo?.
Gentleman,
hebu chunguza kidogo tu hata kwenye safu ya uongozi wao tu kitaifa, achilia mbali mapadre na maaskofu wenye kadi za chadema na wanatamani mpaka pawepo ofisi za chadema kwenye nyumba zao za ibada! πŸ’
 
Hakuna mapadri na maaskofu walio na kadi za CCM ? Au nikutajie.
 
Hakuna mapadri na maaskofu walio na kadi za CCM ? Au nikutajie.
hebu andikia uzi mahususi jukwaani tupate maoni mseto ya wadau wa Jf na itapendeza zaidi gentleman, right?πŸ’
 
kulikoni hakuna kiongozi wa chadema hata moja anae kubalika Bara na Visiwani gentleman? hakuna haja ya kuzunguka sana πŸ’
 
Kawaulize wenyewe
 
Kwasababu wao hawataki kubinafsisha bandari yao kwa DP world ili mapato yaongezeke kwenye nchi yetu ya Tanzania.
 
hii sio karata gentleman,
huu ni ukweli mtupu na waTanzania wote wanajua kwamba chadema inawabagua wazanzibari, inawadhalilisha kwa maneno na matendo, inawadhalilisha kwa picha, katuni na video, lakini pia inawachukia hadharani kabisa waisilamu wote
Gentleman,
hebu chunguza kidogo tu hata kwenye safu ya uongozi wao tu kitaifa, achilia mbali mapadre na maaskofu wenye kadi za chadema na wanatamani mpaka pawepo ofisi za chadema kwenye nyumba zao za ibada! πŸ’
Kama Chadema ni Wakristo Ccm ni Waislamu ni bora nibaki Chadema kuliko chama cha wezi na watekaji.
 
Kutugawa huko hamjengi bali mnabomoa, nanyi hamtabaki salama hata kidogo.

.
 
Kama Chadema ni Wakristo Ccm ni Waislamu ni bora nibaki Chadema kuliko chama cha wezi na watekaji.
gentleman,
mimi sifahamu ikiwa chadema ni ya hao ulowataja,

but
natumai hoja mahususi mezani unajieleza vizuri sana πŸ’
 
gentleman,
mimi sifahamu ikiwa chadema ni ya hao ulowataja,

but
natumai hoja mahususi mezani unajieleza vizuri sana πŸ’
Akili ishaanza kuwa sawa, ila umenifundisha kuwa mimi kama mkristo chama changu Chadema na ccm ni chama cha ufisadi, utekaji, na uuaji nashkuru sana kwa hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…