Baba Ndubwi
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 1,223
- 1,992
Hukupata tu mtu sahihi wa kukufundisha.Ndio mana nika devorce dini, Bible is complicated
Yo're joking brother , Hujitambui!! Biblia haifundishwi, Anaekufundisha mwenyewe kaisoma...Hukupata tu mtu sahihi wa kukufundisha.
Bible ina lugha yake na mtindo wake wa kujieleza.
Yo're joking brother .
Labda wewe ndio huelewi, usilazimishe wote tuwe na akili kama yako..
Logos.Kugonga milango ukiwa Yehova hakukupi tiketi ya kuielewa Biblia.
Sasa hayo maandiko yanashida gani ?
Kwani wewe huelewi nini hapo ?
Mwulize kijana wako anataka kuelewa nini.Logos.
Soma Qurani.Ndio mana nika devorce dini, Bible is complicated
Lugha orijino ya bibilia ni ipi?Soma Qurani.
Haina complication.
Imeandikwa kama Gazeti tu.
Teh! Teh!Soma Qurani.
Haina complication.
Imeandikwa kama Gazeti tu.
Lugha origino ya Biblia ni Lugha ya Mungu Mwenyewe.Lugha orijino ya bibilia ni ipi?
Soma Qurani kijana, utaielewa kwa urahisi sana.Teh! Teh!
One insane is one insane, Two are two insane but 10 are political parties ..
Jibu swali wewe wacha porojo. Wewe mmakonde nini?Lugha origino ya Biblia ni Lugha ya Mungu Mwenyewe.
Unajua anaongea lugha gani ?
Ungesema mapema kua wewe ni sheikh..Soma Qurani kijana, utaielewa kwa urahisi sana.
Biblia unatakiwa kwenda shule kwanza ili uielewe.
Shule ya Biblia.
Sawa , ila.kiufupi sikuelewi unatetea nini.. Mara una quote biblia mara nisome quran ..
Propaganda tupu
Amri Kumi ambazo Mungu alimpa Nabii Musa ziliandikwa na Mungu mwenyewe, ndio Torati hiyo.Jibu swali wewe wacha porojo. Wewe mmakonde nini?
Hiyo torati umeitowa wapi?Amri Kumi ambazo Mungu alimpa Nabii Musa ziliandikwa na Mungu mwenyewe, ndio Torati hiyo.
Aliziandika kwa Lugha yake,
Musa akazifasili kwa Lugha yake.
Bakita wakazifasili kwa Lugha ya Kiswahili.
Nimekuuliza unajua Mungu wa Musa anaongea Lugha gani?
Kwenye Qurani.Hiyo torati umeitowa wapi?