Ni kwanini Jina la YESU linafukuza mapepo tofauti na Jina Allah au Yehova?

Ni kwanini Jina la YESU linafukuza mapepo tofauti na Jina Allah au Yehova?

Asikusumbuwe, huyo ni Muislam aliye asi. Juzi kakiri kwenye uzi huu👇🏾👇🏾👇🏾

😆😆😆 Mjinga ni mjinga, atabaki kua mjinga .
 
Ungesema mapema kua we ni sheikh..

Sasa unapita njia ndefu za nini?
😆😆
Wewe una wito kwenye nafsi yako.
Wito wa kuitangaza Habari Njema ya Ufalme wa Mungu.
Sema tu hujapata darasa sahihi.
Kuna vitu vidogo vidogo vinakuchanganya.
Ungekuwa karibu yangu ningekutoa kwenye huo utata unaousoma kwenye Biblia.
 
Kipi kinakufanya ufikiri hivyo? 🤔
 
Asikusumbuwe, huyo ni Muislam aliye asi. Juzi kakiri kwenye uzi huu👇🏾👇🏾👇🏾

Wewe umekuwa Mwislamu wa kurithi toka kwa wazazi wako.

Ulitakiwa uachane kwanza na dini ya Kurithi.
Uanze kuzisoma hizo nini na kuzielewa falsafa zake na kuamua kuifuata moja wapo.

Ungefanya hivyo ukiwa na mawazo huru, naamini kwa sasa ungekuwa Mkristo kama mimi.

Utajivuniaje Dini ya Kurithi?
Ungezaliwa kwa wazazi wa dini ya Kibudha ungekuwa Mbudha tu.
Huwezi kujitathmini wewe kama wewe na kuamua cha kufanya.
 
Kipi kinakufanya ufikiri hivyo? 🤔
Nimekujua kutokana na maongezi yako.
Una nia ya dhati ya kumtafuta Mungu ila unakwamishwa na mazingira.
Maswala ya Dini mala nyingi ni ya kujitolea, na hayana wadhamini wa wazi.
Kusoma Dini kunahitaji muda na raslimali za kutosha.
 
Huo ni Ujasusi mbingu ziliamua kuufanyia Dunia,

Hujiulizi Yesu huyo huyo anatoa dalili za siku ya mwisho ikiwa hajui ni lini?

Soma pia ufunuo wa Yohana, Yohana Alimwona BWANA Mungu na ndiye aliyemwonyesha yote yatakavyokuwa Hadi siku hiyo ya mwisho.

Na Yohana katika kitabu Cha ufunuo amemwona Mungu katika KITI Cha enzi na Mungu huyo ni mtu tena ana matundu ya misumari katika viganja vya mikono yake🤔

Yesu ndiye Mungu aketiye katika KITI Cha enzi.

Mungu ni MMOJA na YESU KRISTO YESHUA HAMASHIACH ndilo JINA lake. Amen
Nakupa ushauri wa bure tu, kama umeshindwa kuchanganuwa vitu vidogo sana ambavyo ni basic knoledge kwenye Biblia basi usiguse kabisa kitabu cha ufunuo.

Kitabu cha ufunuo kinasomwa na watu wenye akili tu maana mengi ya humo ni mambo yaliyotekea na siyo mambo yajayo na ndipo kwenye neno lenye akili la myama 666 mpinga Kristo ambaye ni Kaisar Nero.
 
Ni kwanini wanafunzi wa Yesu walikuwa wanamsujudia?
Je ni kwakuwa walibaini ya kwamba ni Mungu ?
..............
Mathayo 28
17 Nao walipomwona, walimsujudia; lakini baadhi yao waliona shaka.
18 Yesu akaja kwao, akasema nao, akawaambia, Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.
..........
Hapa Yesu anathibitisha kuwa ana mamlaka yote Mbinguni na Duniani.
Wajameni Bado hamjagundua tu kuwa Yesu ndiye Mungu Mwenyezi.
.......
Mwenye mamlaka yote ya Mbinguni na Duniani ni nani ?
Amepewa mamlaka yote mbinguni na duniani, sasa kwa akili ya kawaida huoni hapo kuna mkubwa zaidi yake aliyempa mamlaka?

Vijana wengi wa leo wanamjuwa Mo Dewji, lakini sisi tunamjuwa Ghullum Dewji ndiye amemuachia mtoto wake ambaye ni Mo Dewji aendeshe makampuni ya Metl lakini Ghullum Dewji mwenyewe yupo.
 
Nimekujua kutokana na maongezi yako.
Una nia ya dhati ya kumtafuta Mungu ila unakwamishwa na mazingira.
Maswala ya Dini mala nyingi ni ya kujitolea, na hayana wadhamini wa wazi.
Kusoma Dini kunahitaji muda na raslimali za kutosha.
Kumjuwa Mungu hakuhitaji dini na hata Yesu hakuleta dini, hata Ukristo siyo dini ila imelazimishwa tu kuitwa dini.
 
Amepewa mamlaka yote mbinguni na duniani, sasa kwa akili ya kawaida huoni hapo kuna mkubwa zaidi yake aliyempa mamlaka?

Vijana wengi wa leo wanamjuwa Mo Dewji, lakini sisi tunamjuwa Ghullum Dewji ndiye amemuachia mtoto wake ambaye ni Mo Dewji aendeshe makampuni ya Metl lakini Ghullum Dewji mwenyewe yupo.
Katika Biblia
Yesu ametajwa kwa namna mbali mbali.
Ametajwa kama Mwana wa Mungu.
Ametajwa kama Mwana wa Daudi
Ametajwa kama Mungu
Sio Wakristo wanasema Yesu ni wa sifa zote hizo.
Ni Biblia ndio imeandika.
 
_20240828_065719.JPG
 
Back
Top Bottom