Ni kwanini Jina la YESU linafukuza mapepo tofauti na Jina Allah au Yehova?

Ibilisi akiamua kukupoteza tumia hata jina la kuku ata act anatoka na wewe utaendelea kuamini kuku ndio Mungu ... Ni sawa na muhindi na Ng'ombe wake ..anamuabudu anamuomba na akafanikiwa ..yote kazi ya shetani ..
 
Unamaanisha Majina mengine hayaishi?

Au tuseme Majina mengine hayana mamlaka kuzidi Jina Hilo?
Jina la Yesu ni kuu kuliko majina yote. Ni Jina lenye nguvu ktk mambo yote. Yesu mwenyewe alisema tuombe lolote kwa Baba Mungu kupitia Jina lake Yesu na yote tuyaombayo yatakuwa yetu.
 
Big up sana Brother Ibn Unuq, nakutakia mafanikio katika mambo yako yote. Nimefurahi sana unasoma maandiko ya Biblia.
Keep reading them,, 🌷🙏
Moyo wake ni udongo mzuri ambao unaweza kuzaa matunda.

Ni maombi yangu Yesu amtembelee kupitia Roho mtakatifu Ili awekwe huru.

Nimefurahi watu kumbe wanasoma BIBLIA yote, na huo wanaouita mkanganyiko, ndio njia pekee ya kuelekea kumjua Mungu na kuona Nuru yake.

Mimi nilipodhamiria kumjua Mungu, nilianza kuhudhuria kipindi Cha maombi, pia nikaanza kusoma BIBLIA, niliposoma Yohana chapter 1, nikatamani kujua tofauti kati ya Mungu na NENO na YESU ,ndipo nilipopata msaada wa Roho mtakatifu nikapata Amani.

Hivi sana Sina shaka tena.

Mungu ni MMOJA na YESU KRISTO/YESHUA HAMASHIACH ndilo JINA lake. Amen
 
Mkuu umewahi kutumia hilo jina la Allah na mapepo hayakutoka?
Hujasikia masheikh wanawalalamikia waumini kwenda kuombewa makanisani Kwa Jina la YESU?

Yesu yumo kwenye Quran, Badala ya kumtumia, mnahangaika na mudi ambaye hata hakuwa mcha Mungu 🤔
 
Hakuna jina linalolipita jina la Yesu
Yesu ni Jina la Mungu.

Malaika Gabriel alifungua code hiyo. Nabii isaya aliiacha kwenye Fumbo ya Jina Immanuel 🤔

Mungu amefunga sirini mambo mengi, anataka muda wote tumtafute na kumkaribia.

Amen
 
Hujasikia masheikh wanawalalamikia waumini kwenda kuombewa makanisani Kwa Jina la YESU?

Yesu yumo kwenye Quran, Badala ya kumtumia, mnahangaika na mudi ambaye hata hakuwa mcha Mungu 🤔
Lengo ni mapepo yatoke hivyo likitumika la Yesu yakatoka basi ni vizuri ilimradi mhanga amepona
 
Jina la Yesu ni kuu kuliko majina yote. Ni Jina lenye nguvu ktk mambo yote. Yesu mwenyewe alisema tuombe lolote kwa Baba Mungu kupitia Jina lake Yesu na yote tuyaombayo yatakuwa yetu.
Na Yesu huyo huyo akamjibu Filipo alipomuuliza Yesu kuwa tuonyeshe Mungu baba ni nani!!

Yesu akamjibu, anionaye Mimi, amemwona Baba.

Nilipokuja jua kuwa Mungu mwenyewe aliamua kuja duniani Kwa mwili wa binadamu, mamlaka ya kulitumia Jina la YESU maishani mwangu yameongezeka sana baada ya Imani yangu kukua baada ya kumjua kuwa Yesu ndiye Mungu.

Mungu ni MMOJA na YESU KRISTO/YESHUA HAMASHIACH ndilo JINA lake. Amen
 
Wayahudi wanajua sana mambo ya ulimwengu wa roho, ndio maana wakaandaa huu mfumo wa Ukristu.
 
Lengo ni mapepo yatoke hivyo likitumika la Yesu yakatoka basi ni vizuri ilimradi mhanga amepona
Sasa kwani masheikh wasilitumie Jina la YESU huko huko msikitini Ili waumini wasihangaike kutafuta msaada Kwa wakristo ilhali Jina YESU limethibitika kuwa na nguvu na mamlaka kuliko Jina Allah au Mudi?

Swali fikirishi Hilo🤔
 
Wayahudi wanajua sana mambo ya ulimwengu wa roho, ndio maana wakaandaa huu mfumo wa Ukristu.
Sasa wayahudi mbona walimkataa Yesu?

Yesu ni Mungu aliyekuja katika mwili wa mwanadamu.

Mungu ni MMOJA na YESU KRISTO/YESHUA HAMASHIACH ndilo JINA lake. Amen
 
Ibilisi akiamua kukupoteza tumia hata jina la kuku ata act anatoka na wewe utaendelea kuamini kuku ndio Mungu ... Ni sawa na muhindi na Ng'ombe wake ..anamuabudu anamuomba na akafanikiwa ..yote kazi ya shetani ..
Imethibitika zaidi ya miaka 2000 kuwa Jina la YESU ndilo JINA lenye mamlaka kupita Majina yote Mbinguni na duniani.

Tumia Jina la YESU kama funguo ya kukutoa katika changamoto yoyote.

Aamin
 
"Anasema kwa jina langu mtatoa pepo"
Anasema"nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani"

Zingatia neno "mamlaka"
Ukitaka utoe mapepo kwa jina la yesu lazima ujue sio tu kutamka jina la yesu bali ujue jinsi ya kulink up na mamlaka iliyoko ndani ya jina la yesu
 
Anaposema nimepewa mamlaka yote anamaanisha watu na vitu viijazavyo nchi yakiwemo mapepo,majini,visoke,mizimu na etc viko chini ya comand ya yesu.akisema toka ni kutoka.
 
Walokole hua mnakuaga kama vile mnachanjiwa,wewe hapo akili yako ulishamkabidhi mchungaji,hata ueleweshwe vipi huwezi kukubali jibu,

Umeleta hoja kwa njia ya swali ila unakomaa na kutokwa povu kwa kila mwenye mawazo tofauti na unachokiamini wewe,

Sasa kulikua na umuhimu gani kwako kuuliza hili swali humu?

Issue sijui ya mapepo ni imani tu wala huwezi kuithibitisha,

Dunia ipo kwenye high techology na maendele ya viwanda,wewe unabishana hapa issue ya mapepo kama vile tunaishi Enzi za Zama za Mawe.
ameacha akili wapi?...kazia hapo📌🔨
ila angalia usiuwe🤣🤣😂
 
Moyo wake ni udongo mzuri ambao unaweza kuzaa matunda.

Ni maombi yangu Yesu amtembelee kupitia Roho mtakatifu Ili awekwe huru.

Nimefurahi watu kumbe wanasoma BIBLIA yote, na huo wanaouita mkanganyiko, ndio njia pekee ya kuelekea kumjua Mungu na kuona Nuru yake.

Mimi nilipodhamiria kumjua Mungu, nilianza kuhudhuria kipindi Cha maombi, pia nikaanza kusoma BIBLIA, niliposoma Yohana chapter 1, nikatamani kujua tofauti kati ya Mungu na NENO na YESU ,ndipo nilipopata msaada wa Roho mtakatifu nikapata Amani.

Hivi sana Sina shaka tena.

Mungu ni MMOJA na YESU KRISTO/YESHUA HAMASHIACH ndilo JINA lake. Amen
Qurani katika sura ya Nisaai yaani sura ya Wanawake ikianzia ile Aya ya 171 inamtaja Isa kama
Neno la Mungu
Roho ya Mungu
Katika Sura ya Maida yaani Sura ya Meza Aya ya 110 imemtaja Roho Mtakatifu.
Ila imemwita Roho Takatifu.
Mwandishi wa Qurani hajafafanua kiundani maana ya hayo majina.
 
Anaposema nimepewa mamlaka yote anamaanisha watu na vitu viijazavyo nchi yakiwemo mapepo,majini,visoke,mizimu na etc viko chini ya comand ya yesu.akisema toka ni kutoka.
Sasa masheikh msikitini wanakwama wapi kutafuta mamlaka Ili kulitumia Jina la YESU huko msikitini?

Cc: FaizaFoxy
 
Qurani katika sura ya Nisaai yaani sura ya Wanawake ikianzia ile Aya ya 171 inamtaja Isa kama
Neno la Mungu
Roho ya Mungu
Katika Sura ya Maida yaani Sura ya Meza Aya ya 110 imemtaja Roho Mtakatifu.
Ila imemwita Roho Takatifu.
Mwandishi wa Qurani hajafafanua kiundani maana ya hayo majina.
Ndugu zangu Islam wastuke na kuliamini na kulitumia Jina la YESU huko huko msikitini
 
Back
Top Bottom