The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
YOHANA 12:49Ongeza na hii:
Yohana 14:6-7 KJV
Yesu akasema, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba ila kwa njia ya mimi. Kama mngalinijua mimi, mngalimjua na Baba yangu;
Yn 14:7 Yesu akasema, “Kama mngalinijua mimi, mngalimjua na Baba; tangu sasa mnamjua, tena mmemwona.” Lakini wanafunzi wake hawakumwelewa anamaanisha nini, hivyo Filipo akamwambia tuonyeshe Baba. Na Yesu akawaambia “Aliyeniona mimi amemwona Baba”, kisha akafafanua zaidi kwamba, ni kwa sababu “mimi ni ndani ya Baba, na Baba yu ndani yangu? Hayo maneno niwaambiayo mimi siyasemi kwa shauri langu; lakini Baba akaaye ndani yangu huzifanya kazi zake. Yn 14:10, Akaweka wazi kwamba, “la! Hamsadiki hivyo, sadikini kwa sababu ya kazi zenyewe.” Yn 14:11
Mimi sikunena kwa mamlaka yangu mwenyewe,ila Baba aliyenituma ndiye aliyeniamuru niseme nini na niongee nini.
Hivi Mungu anaweza kupewa amri?