Ni kwanini Jina la YESU linafukuza mapepo tofauti na Jina Allah au Yehova?

Ni kwanini Jina la YESU linafukuza mapepo tofauti na Jina Allah au Yehova?

Nimefanya Utafiti.

Nawe jaribu kumfuata mtu aliyepagawa na mapepo, tumia Jina la Babu Yako uone kama Pepo halijakutimua mbio!!

Everything can do and undo it is matter of your faith.

Buddhist
Christian
Muslim

Everybody can have a healing power and healing is not attached by name .✊🏿
 
Pepo gani ulimuona kafukuzwa kea jina la yesu?..pepo aogope jina yesu!?..yesu mwenyewe hakutumia jina lake kufukuza pepo
Kuna bosi mmoja ni Muislamu mwenzetu alipozidiwa na uchawi ofisini akaliita jina la Yesu Ktisto na akapona
 
Kuna bosi mmoja ni Muislamu mwenzetu alipozidiwa na uchawi ofisini akaliita jina la Yesu Ktisto na akapona
Waislamu wastuke na kuliamini na kulitumia Jina la YESU Ili wapate msaada huko huko msikitini maana hata katika vitabu vyao limetajwa.

Ubarikiwe 🙏
 
Sisi tunatumia bangi kutoa hayo mapepo, hapo vipi mwanakondoo?
 
Mabudha hawatoki Pepo, wanapunga Pepo na kuwabembeleza mapepo kuhama Toka sehemu Moja kwenda ingine au kuongeza mapepo yenye nguvu Kwa mtu Ili kutuliza yaliyomo.

Jina linalofukuza mapepo ni Jina la YESU pekee.

Karibu 🙏
Sisi tunatumia bangi kutoa hayo mapepo, hapo vipi mwanakondoo?
 
Islam na makundi mengine wastuke na kuliamini na kuanza kulitumia Jina la YESU huko huko msikitini maana hata katika vitabu vyao, limetajwa!!
😂😂😂😂😂😂Thubutu ongeza sauti ili wasikie wakalitumie huko
 
Tofautisha Kutoa Pepo na kupunga Pepo.

Jina la YESU pekee ndilo lenye mamlaka ya kufukuza mapepo yakatoka.

Litumie uone mabadiliko!!
Wasichojua ukipunga pepo maana yake ume reconcile pepo na nafsi ya mtu ili kwa pamoja na kwa amani waishi ndani ya mwili mmoja na kuna mmoja kati ya pepo au nafsi ya mtu anakuwa mtumwa wa mwenzie katika mwili wa mtu kwa kufuata oder.

Ila watu wa yesu wanakwambia "kuna uhusiano gani kati ya nuru na giza"

Kwahiyo by default mtu anayemjua yesu hakubali kamwe huu upuuzi wa kupunga mapepo bali yeye anafukuza tu
 
Na mapepo yamejaa makanisani
Kuna watu wanayamiliki na kuyatuma makanisani Ili kuwakomoa wakristo.

Huwajui wanaouza majini ni akina nani?

Ashukuriwe Mungu kutupa Jina lake Yesu kama funguo ya kufukuza Roho chafu zisitede watu.
 
Nimefanya Utafiti.

Umewahi ona shehe akikenea Pepo Kwa Jina la Allah au Mudi na Pepo likatoka?

Kuhusu matumizi ya Jina la YESU Kutoa mapepo ushahidi ni dhahiri.

Sasa tatizo liko wapi kuwa na jibu litokanalo na tafiti?
Unawezaje kujua kuwa pepo limetoka au limetulia tu?
 
Wasichojua ukipunga pepo maana yake ume reconcile pepo na nafsi ya mtu ili kwa pamoja na kwa amani waishi ndani ya mwili mmoja na kuna mmoja kati ya pepo au nafsi ya mtu anakuwa mtumwa wa mwenzie katika mwili wa mtu kwa kufuata oder.

Ila watu wa yesu wanakwambia "kuna uhusiano gani kati ya nuru na giza"

Kwahiyo by default mtu anayemjua yesu hakubali kamwe huu upuuzi wa kupunga mapepo bali yeye anafukuza tu
Acha uzezeta makanisani mmfenya ni sehemu ya biashara na sio ibada
 
Sisi tunatumia bangi kutoa hayo mapepo, hapo vipi mwanakondoo?
Kuna majini yasiopenda bangi ndio Huwa yanakimbia.

Ila yapo mapepo mavuta bangi hayo unayo😀

Ukitaka kuacha bangi, tumia Jina YESU kuyafukuza utarudi kuwa timamu tena.

Ubarikiwe 🙏
 
Hivi mtu akitaka kutoa pepo kwa kutumia jina la Isa kwa kukusudia Yesu je pepo halitotoka mpaka aseme Yesu au Jesus?
 
Acha uzezeta makanisani mmfenya ni sehemu ya biashara na sio ibada
Sasa kupeleka cholo kama sadaka ndio unaona ni Ibada hiyo?

Pesa ya kusaidia wajane na yatima utatoka wapi ikiwa mnatoa cholo🤔
 
Yale matangazo ya VIWETE watatembea! VIPOFU wataona! MABUBU wataongea! Siku hizi hakuna tumebaki TUNAPUNGA MAPEPO!....
 
Back
Top Bottom