Ni kwanini Jina la YESU linafukuza mapepo tofauti na Jina Allah au Yehova?

Ni kwanini Jina la YESU linafukuza mapepo tofauti na Jina Allah au Yehova?

Ila kiukweli hili "Jina la YESU" lina nguvu isiyo ya kawaida.
Nimelitumia mara kadhaa kwenye sala zangu peke yangu na nikiwa na wengine na majibu yakawa ndio.
Ni hatari,mimi ni miongoni mwa watu waliokuwa waboshi sana kuhusu sala.
Nakuhakikishia kwa imani fanya sala kwa siku 3,nuia jambo utakalo utaona matokeo.
Kama una mashaka njoo tuombe pamoja
Note: Si kila mtu ana karama ya kulitumia jina hili la Yesu.🙏
 
Yo're joking brother .

Yohana 1:1
Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.
2 Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu.
3 Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika.
......
Hivi usimuliaji wa hapo juu wewe umeelewa nini hapo?
Najua umetoka 0% kabisa.
 
Kugonga milango ukiwa Yehova hakukupi tiketi ya kuielewa Biblia.
Sasa hayo maandiko yanashida gani ?
Kwani wewe huelewi nini hapo ?
 
Sawa , ila.kiufupi sikuelewi unatetea nini.. Mara una quote biblia mara nisome quran ..

Propaganda tupu

Asikusumbuwe, huyo ni Muislam aliye asi. Juzi kakiri kwenye uzi huu👇🏾👇🏾👇🏾

 
Jibu swali wewe wacha porojo. Wewe mmakonde nini?
Amri Kumi ambazo Mungu alimpa Nabii Musa ziliandikwa na Mungu mwenyewe, ndio Torati hiyo.
Aliziandika kwa Lugha yake,
Musa akazifasili kwa Lugha yake.
Bakita wakazifasili kwa Lugha ya Kiswahili.
Nimekuuliza unajua Mungu wa Musa anaongea Lugha gani?
 
Amri Kumi ambazo Mungu alimpa Nabii Musa ziliandikwa na Mungu mwenyewe, ndio Torati hiyo.
Aliziandika kwa Lugha yake,
Musa akazifasili kwa Lugha yake.
Bakita wakazifasili kwa Lugha ya Kiswahili.
Nimekuuliza unajua Mungu wa Musa anaongea Lugha gani?
Hiyo torati umeitowa wapi?
 
Back
Top Bottom