Ni kwanini Jina la YESU linafukuza mapepo tofauti na Jina Allah au Yehova?

😆😆😆 Mjinga ni mjinga, atabaki kua mjinga .
 
Ungesema mapema kua we ni sheikh..

Sasa unapita njia ndefu za nini?
😆😆
Wewe una wito kwenye nafsi yako.
Wito wa kuitangaza Habari Njema ya Ufalme wa Mungu.
Sema tu hujapata darasa sahihi.
Kuna vitu vidogo vidogo vinakuchanganya.
Ungekuwa karibu yangu ningekutoa kwenye huo utata unaousoma kwenye Biblia.
 
Wewe una wito kwenye nafsi yako.
Wito wa kuitangaza Habari Njema ya Ufalme wa Mungu.
Sema tu hujapata darasa sahihi.
Kuna vitu vidogo vidogo vinakuchanganya.
Ungekuwa karibu yangu ningekutoa kwenye huo utata unaousoma kwenye Biblia.
Kipi kinakufanya ufikiri hivyo? 🤔
 
Wewe umekuwa Mwislamu wa kurithi toka kwa wazazi wako.

Ulitakiwa uachane kwanza na dini ya Kurithi.
Uanze kuzisoma hizo nini na kuzielewa falsafa zake na kuamua kuifuata moja wapo.

Ungefanya hivyo ukiwa na mawazo huru, naamini kwa sasa ungekuwa Mkristo kama mimi.

Utajivuniaje Dini ya Kurithi?
Ungezaliwa kwa wazazi wa dini ya Kibudha ungekuwa Mbudha tu.
Huwezi kujitathmini wewe kama wewe na kuamua cha kufanya.
 
Kipi kinakufanya ufikiri hivyo? 🤔
Nimekujua kutokana na maongezi yako.
Una nia ya dhati ya kumtafuta Mungu ila unakwamishwa na mazingira.
Maswala ya Dini mala nyingi ni ya kujitolea, na hayana wadhamini wa wazi.
Kusoma Dini kunahitaji muda na raslimali za kutosha.
 
Nakupa ushauri wa bure tu, kama umeshindwa kuchanganuwa vitu vidogo sana ambavyo ni basic knoledge kwenye Biblia basi usiguse kabisa kitabu cha ufunuo.

Kitabu cha ufunuo kinasomwa na watu wenye akili tu maana mengi ya humo ni mambo yaliyotekea na siyo mambo yajayo na ndipo kwenye neno lenye akili la myama 666 mpinga Kristo ambaye ni Kaisar Nero.
 
Amepewa mamlaka yote mbinguni na duniani, sasa kwa akili ya kawaida huoni hapo kuna mkubwa zaidi yake aliyempa mamlaka?

Vijana wengi wa leo wanamjuwa Mo Dewji, lakini sisi tunamjuwa Ghullum Dewji ndiye amemuachia mtoto wake ambaye ni Mo Dewji aendeshe makampuni ya Metl lakini Ghullum Dewji mwenyewe yupo.
 
Kuona hivyo tu ,nitatizo la afya ya akili.
 
Nimekujua kutokana na maongezi yako.
Una nia ya dhati ya kumtafuta Mungu ila unakwamishwa na mazingira.
Maswala ya Dini mala nyingi ni ya kujitolea, na hayana wadhamini wa wazi.
Kusoma Dini kunahitaji muda na raslimali za kutosha.
Kumjuwa Mungu hakuhitaji dini na hata Yesu hakuleta dini, hata Ukristo siyo dini ila imelazimishwa tu kuitwa dini.
 
Katika Biblia
Yesu ametajwa kwa namna mbali mbali.
Ametajwa kama Mwana wa Mungu.
Ametajwa kama Mwana wa Daudi
Ametajwa kama Mungu
Sio Wakristo wanasema Yesu ni wa sifa zote hizo.
Ni Biblia ndio imeandika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…